Mjerumani Chotara
Senior Member
- Jan 29, 2014
- 153
- 34
Ba Loreen sijahalisha hayo mauwaji.Ni vyema tukufaham kuwa sio kila kinachofanywa na tinny population so called terrorist kitumiwe kudefine majority of moslems 90%.
kama uislam ni mauwaji iweje wewe unaishi na hao ndugu zako na rafiki zako waislam kwa upendo na Amani.
media zinatumika sana kuchafua uislam.Kwanini mnatafuta maana ya uislam kwa kuangalia vikundi vya wachache then mnawablame majority ilhali mnaishi nao kwa wema.
Polite nakufatilia nii nyuma yako Mkuu.