Boko haram ni mali ya CIA ya Marekani

Ras Rizzy G

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
225
241
BOKO HARAM MSHIRIKA WA MAREKANI NIGERIA

Maneno yangu ni kama kitanzi, Yanakaza katika shingo za baadhi ya watu humu ndani Facebook, Usalama,viongozi na watu wa kawaida kama mimi,musinichukie ninaposti hivi vitu,kwa sababu watu hatufanani,sisi wengine tunaapoona ovu huwa akili yetu inatutuma kulikemea Mara moja ili lisije au lisiendelee kuuleta maandalizi katika jamii.Ingawa kwenye jamii kuna watu mbali mbali,kuna wajinga,werevu na wapumbavu,Kwa upande wa wapumbavu hapa sio mahali pao,kwani wao hata wakajua ukweli Bali wataendelea kukaidi tu.Na upumbavu sio tusi Bali ni sifa ya MTU.Mpumbavu ni yule anayejua kitu au msomi lakini taswira au mtazamo wake ni potofuSasa tuanze kaziWakati wa utawala wa Bush, ndani ya Nigeria kulianzishwa kile kilicho fahamika kama ACRI, yaani Africa Response Initiative, lakini taasisi hii ilikuwa kama msimamizi wa taasisi nyingine inayofahamika kama ECOWAS au zaidi ilifahamika kama ECOMOG, kutokana na shughuli yake iliyofanyika Liberia ya kutuliza vita vya wenyewe kwa wenyewe.Nigeria ndani ya ECOMOG mchango wake ulionekana waziwazi, Nigeria iliweza kulimaliza sakata lile la Liberia bila msaada wowote kutoka kwenye taasisi za kimataifa na mataifa ya kimagharibi wala Washington.

Taarifa za kijasusi kwenye mataifa ya Magharibi zinasema, mataifa hayo yalihofia endapo Nigeria itaendelea kuyamaliza matatizo yake na nchi jirani kwa kutumia ECOMOG, tafasiri yake ni kwamba, Nigeria itapata heshima kubwa ndani ya Afrika kiasi kwamba umuhimu wa mataifa ya kikoloni eneo hilo kama vile Uingereza na Ufaransa ukatoweka kabisa. Hivyo ushawishi wa mataifa hayo ya kimagharibi ukawa si chochote si lolote kwenye eneo hilo la Afrika Magharibi.Sababu Liberia ilikuwa ni matokeo ya kazi chafu za Marekani, ingekuwa ni hatari sana kwa Liberia kuangukia kwenye mikono ya Nigeria kwa kutumia ECOMOG ambayo ilionesha mafanikio makubwa ya kutatua mizozo ya eneo hilo. Hivyo Marekani nayo haikuwa na budi ila kuingilia kati kuona uchafu wake bado unaendelea kuwepo kwa faida yake. Kwa maneno mengine ushawishi wa Marekani ndani ya Liberia nao ungefutwa na Nigeria, na maslahi ya mataifa ya magharibi katika eneo la Afrika magharibi yangebakia kwa watu hao wenyewe, kitu ambacho hakikubaliki katika sera zozote, kwenye zama zozote za mataifa ya Magharibi.Suluhisho ikaonekana ni lazima Marekani na washirika wake, wahakikishe kuwa hali hiyo wanaibadilisha.Ushawishi wa Nigeria kwenye mataifa ya Afrika lazima uzikwe na ECOMOG lazima ibaki kama mbwa asiyekuwa na meno.

Lakini bila kuwashtua walio lala na kutengeneza mazingira ya chuki baina ya Marekani, washirika wake na nchi za Afrika Magharibi ambapo ushawishi wa Nigeria ni mkubwa, mpango huu ukaonekana utakuwa na tija zaidi kwa kutumia njia za kidiplomasia.Ndipo Marekani walipokujwa na kile kilicho kuja kufahamika kama Africa Response Initiative (ACRI), lakini wakachagua nchi mahususi za kuwauzia ACRI na Nigeria ikawekwa kushoto, sababu ACRI ilikuja kufanya kazi ambayo tayari ilishamalizwa na ECOMOG, hivyo kwa Nigeria isingeuzika.Hivyo wakatafuta washirika muhimu ndani ya ECOMOG na kuwauzia ACRI lengo ikiwa ni kuzitoa nchi hizo kwenye ushirika wa ECOMOG na hivyo kuibakiza Nigeria peke yake. Hivyo Nigeria ikaachwa na zikatafutwa nchi zilizo na ushawishi mkubwa ndani ya ECOMOG na kuuziwa ACRI ambayo iliahidi kuleta msaada ya kijeshi na kibinaadam.Wakati Marekani na washirika wake, ambao ni Uingereza na Ufaransa wakiwauzia baadhi ya Waafrika ACRI, wakati huohuo walikuwa wakiziambia nchi hizo kuna haja ya ECOMOG kutizamwa upya na kupatiwa mwelekeo mwingine.Mwisho wa yote ECOMOG ikawekwa pembeni kwenye mgogoro wa Liberia, na Marekani wakatengeneza AFRICOM kama kiranja wa mgogoro wa Liberia.Kinyume na ilivyokuwa ACRI ambayo ilijaribu kila lililowezekana kuficha maslahi ya Marekani ndani ya mpango huo, kiasi cha kuzishirikisha nchi za Latin Amerika na Asia na mpaka UN, ilimradi tu, mapango uonekane ni kwa ajili ya Waafrika wenyewe na maendeleo yao.

AFRICOM ilikuwa ni tofauti kabisa.AFRICOM ilionekana kuandaliwa kufanya mipango na stratejia za kijeshi kulinda maslahi ya Marekani kwenye eneo hilo dhidi ya Wachina ambao ushawishi wao kidunia na ndani ya Afrika umefikia kwenye silingi bodi. Ushawishi huo wa Wachina ni changamoto kubwa na kikwazo kwa maslahi ya Marekani na washirika wake kwenye bara hili.Ilikukabiliana na ukuaji huu wa ushawishi Wachina ndani ya Afrika na upanukaji wa viwanda vya Wachina kwenye bara hili, ni kazi ya AFRICOM kuhakikisha inayakamata maeneo yote ya kistartejia ndani ya Afrika na kuyaweka kwenye milki ya Marekani ilikuweza kumzuia Mchina kuzifikia hizo rasilimali na nishati kwa ajili ya uchumi wake unao kuwa kwa kasi ya ajabu.HIVYO UTAONA MWISHO WA SIKU, ITS ALL ABAOUT BUSINESS,HAKUNA SHAHADA, HAKUNA KALMA, HAKUNA UISLAM, HAKUNA SHARIA, ITS ALL BUSINESS.SOMALIA HAKUKALIKI SABABU LILE NI ENEO LA KISTRATEJIA. PAKITENGENEZEKA PALE PWANI YOTE YA AFRIKA MASHARIKI ITAGEUKA KUWA HONGKONG YA AFRIKA.ZANZIBAR CHINI YA SERIKALI YA MUUNGANO NAYO IMETULIZWA, NA SABABU ZA MSINGI ZANZIBAR KUINGIZWA KWENYE MUUNGANO SI KWAMBA NYERERE ALITAKA, AU KARUME ALIPENDA, HAPANA SABABU LILE NI ENEO LA KISTRATEJIA NA MAREKANI ALIONA NJIA NZURI YA KUISHIKILIA ZANZIBAR NI KUILAZIMISHA IUNGANE NA TANGANYIKA.KWANZA ILIKUWA IUNGANISHWE NA NCHI ZINGINE ZA AFRIKA MASHARIKI, YAANI KENYA, NA UGANDA, LAKINI HILO LIKAWA GUMU, IKABIDI KARUME ALAZIMISHWE KUPITIA NYERERE KUIUNGANISHA TANGANYIKA NA ZANZIBAR. TANGU 1964 MASLAHI YA MAREKANI ENEO HILI YAKAWA YAPO SALAMA.LAKINI KUNAYO PWANI YA SOMALIA, NAO NI UCHOCHORO MZURI, HATA KUSHINDA ZANZIBAR, TUTAFANYAJE?

TUWAPE VITA, TANGU BAREKH AFARIKI MPAKA SASA SOMALIA NI VITA MWANZO MWISHO, NA HAVITA KWISHA SABABU KUPITIA VITA HIVYO MASLAHI YA MAREKANI NA WASHIRIKA WAKE YANAHIFADHIKA.NENDA KONGO, NENDA AFRIKA YA KATI, NENDA RWANDA, NENDA SYRIA, NENDA LIBYA NENDA ... ... ... HADITHI NI ILEILE.Sasa basi ili AFRICOM iweze kufanya kazi yake vyema, inabidi nchi ambazo zimechaguliwa kama ni maeneo ya kistartejia, kwanza zizoroteshwe ndani kwa ndani kiasi kwamba zenyewe zitambue kwamba katu haziwezi kushindana na hali hiyo bila kwanza kupata msaada eidha kiufundi, kivifaa, wataalam kutoka Marekani.- Kiufundi ni wanajeshi wako kwenda kupatiwa mafunzo ya kijeshi ndani ya Marekani au kwa Washirika wake.- Kivifaa ni nchi yako kukopeshwa zana mahususi za kijeshi kupambana na janga husika.- Kiutaalam ni nchi yako kuletewa wataalam kutoka Marekani kama vile FBI na wenzao kuja kukusaidia.Nchi ambayo itakuwa imechaguliwa na Marekani na washirika wake halafu wakawa wabishi kwamba hawaelewi au wanajua sana na hawahitaji msaada wowote kutoka kwa mabwana wakubwa hao, itaanza kutengwa huku na huko kama Zimbabwe, na kuwekewa vikwazo kadha wa kadha kama Sudan na mwisho watatengenezwa watu wa kujifanya kuwa na mrengo tofauti na serikali na kutengeneza vurugu baina ya serikali na watu hao kiasi cha kupaza kelele kuingiliwa kwa nchi hiyo kijeshi na mataifa ya magharibi wakiongozwa na Marekani kama ilivyo tokea Libya.Tumeona kwa macho yetu hayo yakitoka kwenye nchi za maziwa makuu, ambapo Marekani mara kadhaa imepeleka wanajeshi wake na bado wapo Uganda na Rwanda kwa kiasi kikubwa kwa ajili ya kuzilinda nchi hizo na maharamia ambao wao Marekani wamewatengeneza. Wanajeshi hao utawakuta Somalia, Kenya sasa mlango nao upo wazi kama itakuwa bado hawajaingia kupitia ‘CTU’ ya Kenya.Sudan tumeona kupitia blangeti la ‘Humantarian Aids’ lililoshonwa kwenye mashine ya Darfur ambapo Al-Bashir alishushiwa lawama zote. Watu wa kawaida wanakuambia ni kwa sababu ya Uislamu wake, au Waarabu hawawataki Wakristo.

Sudan ya Kusini kunayo Mwarabu au Mwislamu? Mbona vurugu ndiyo zinashika kasi?Waafrika tuna nini sisi jamani? Sudan ya Elbashir imetengwa na ulimwengu kutokana na kisanga hicho. Lakini hiyo ilikuwa ni kiboko kwa Elbashir kutokana na kusaini kwake ‘Dili la Mafuta’ na Wachina na ‘kuzipotezea’ kampuni za Marekani. Hakuna ishu ya Uislamu hapo, wala Shariah, wala Uarabu, ishu ni nani kapata nini, na Mchina hatakiwi Afrika na Obama hiyo ndiyo jukumu lake kubwa alililogewa wakati anaachiwa ofisi na Bush.Kwa mchezo huohuo tumemuona Gaddafi wa Libya akipotozwa. Ishu ilikuwa na bado inaendelea kuwa ni mafuta hakuna cha udikteta wala utawala bora, mafuta kwanza. Lakini zawadi kubwa kabisa kwa AFRICOM na malengo lake mahususi ni kujenga dola ya Marekani ndani ya Afrika, PAX AMERICANA IN AFRICA.Libya hayupo, nani kabaki Afrika? Mwenye jeuri kama Libya?

Mwenye utajiri na kiburi cha rasilimali na nishati muhimu kama Libya? Hapana shaka ni jina moja tu ndilo litasimama kwenye kinyang’anyiro hicho; NIGERIA. Hapo ndipo umuhimu wa BOKO HARAM ndani ya NIGERIA UNAPO ONEKANA.WAKATI WEWE UNASHABIKIA KWAMBA NI SAWA HIVYO, ATI WANASIMAMISHA DOLA YA KIISLAM, ATI WANASIMAMISHA SHARIAH, ATI ... ... ... ADUI YAKO MBAYA KULIKO WOTE ANAWATAWALA NYOTE WEWE NA BOKO HARAM.HII INANIKUMBUSHA KISA CHA NG’OMBE ALIYELIWA NA SIMBA NA HUKU AKIPIGA KELELE KUWA ‘NILISHALIWA TANGU SIKU YA KWANZA NILIPORUHUSU MWENZANGU KULIWA.’AFRIKA, WAISLAM KWA UJUMLA TULISHAMALIZWA PALE TULIPO RUHUSU VIJANA WETU KWENDA KUPIGANA ‘JIHAD’ AFIGHANSTAN ... HAIKUWA ‘JIHAD’ ILIKUWA JUHUDI YA MAREKANI KUSIMAMISHA KITI CHAKE CHA UTAWALA DUNIANI, NA LEOWANAENDELEA NA MCHEZO HUOHUO KWA KUTUMIA VIKUNDI VYA KIISLAM NA SISI TUNASHABIKIA, LAKINI TUTAKAPO GEUZA NYUSO ZETU NA KUTAZAMANA USO KWA USO NA ADUI YETU ...KAZI YA BOKO HARAM

Tangu Oktoba 2010 mirindimo ya mabomu imekuwa ikisikika ndani ya Abuja, kutoka kwenye majengo ya serikali, taasisi za elimu, maeneo ya wazi na kwenye mikusanyiko ya watu na kuuwa takribani watu 15,000 na mauaji yupo huru kila akijisikia anatoa vidio yake na kuuambia ulimwengu kile anacho jisikia kuambia.Serikali ipo, inayo majeshi, vifaa, mbinu na pesa, lakini haijaweza kufanya chochote mpaka Aprili 14 wanafunzi zaidi ya 300 wakatekwa na Boko Haram na kutokomea nao kusiko julikana. Sasa ni kama dunia nzima imeamka, turudishieni, turudishieni, turudishieni mabinti zetu ndiyo habari zinazo pamba vyombo vya habari.Kama kawaida Boko Haram wakafetua albamu yao inayo sema hawatawarudisha kamwe mpake wapatiwe wenzao waliokamatwa na serikali, albamu hii nayo imeuza sana kutoka kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kitaifa, magazeti na hata mitandao ya kijamii.Watu tunajiuliza ni nani hao Boko Haram, wanacho taka nini? Vipi kwa muda wote huo serikali imeshindwa hata kufahamu makazi yao, sura zao?

Mohammed Yussuf, kiongozi wa kundi asiye na maarifa na mbinu za kijeshi, kufumba na kufumbua anaikimbiza Nigeria yote na serikali yake mchakamchaka. Mbinu hizi za hali ya juu za kutega mabomu, kuteka watu nyara, kulipua majengo makubwa na kutoweka bila kuacha hata unyayo wake kajifunzia wapi? Ametolea wapi silaha hizo nzito za kivita? Anatolea wapi fedha za kuwalisha wanamgambo wake kiasi wasiweze kumsaliti?Maswali ni mengi, mazito si ya kudharaulika na wala hayahitaji majibu mepesi.Tafiti zinatambulisha kuwa, kazi inayo fanywa na Boko Haram kwa sasa ni shughuli kivuli za CIA ambazo zinaratibiwa na ubalozi wa Marekani ndani ya Nigeria.Kwa kipindi sasa CIA wamekuwa wakiendesha kambi za siri za mafunzo na kuwafunda dhana za wahabisim and new salafisim kwenye vichochoro vya mipaka ya Niger, Chad na Cameroon. Katika kambi hizi vijana kutoka kwenye familia masikini, kutoka kwenye tabaka lililo tengwa na kunyimwa fursa mbalimbali na wakati mwingine vijana hawa ni wale wahanga wa mihadarati mbalimbali na hivyo akili zao hazifanyi kazi vizuri, vijana hao ndiyo walengwa wa kambi hizi, ambapo hapo mbali na mafunzo ya kivitendo, watapatiwa tafsiri na maelezo ya Quran na Hadithi kutoka kwa wakufunzi wa CIA wenye asili ya Mashariki ya kati, lakini mafunzo hayo si chochote zaidi ya kazi mahususi zilizokuwa zikitumika tangu miaka ya mwisho ya 70 na 80 kuwaandaa vijana kwenda kwenye Jihad ya Afghanistan.

Tafsiri hizo ni kinyume kabisa na mafunzo ya Quran na Sunnah na hazihusiani na chochote katika kuihuisha Uislamu, bali kuuporomosha na wakati huohuo kuyalinda maslahi ya Illuminanti, a.k.a Marekani na washirika wake.Mkufunzi wa kazi hiyo anawatengeneza vijana hao kuamini kuwa kazi inayo fanywa ni ya Allah kwa ajili ya kusimamisha dola ya Kiislam, na Allah atawalipa malipo mazuri sana kwa juhudi hiyo waliyo jitolea. Baada ya miezi kadhaa ya mafunzo ya kivitendo, namna ya kushika na kuitumia silaha, mbinu za kijeshi na kivita, uvamizi na kujilinda, dhana za kifikra na mtazamo wa Wahabisim na Salafisim, vijana hao wanakuwa wameiiva na sasa wanawekwa tayari kwa hatua ya pili ya operesheni hiyo.Hatua ya pili inahusisha na kutambua na hatimaye kuchagua maeneo yanayo lengwa kwa ajili ya mashambulizi. Jengo ambalo linakuwa limechaguliwa kwa ajili ya mashambulizi hayo, silaha na zana zingine huwasilishwa hapo mapema na kuhifadhiwa kwenye chumba mahususi kusubiri wakati wa tukio.

Tukiwa tunahesabu masaa kadhaa kabla ya tukio, kijana aliyeandaliwa kwa shughuli husafirishwa na kwenda kuhifadhiwa kwa takribani saa moja kwenye nyumba/chumba maalum karibu na eneo la tukio.Baada ya shambulizi na wakati watu wameingiwa na wazimu wa shambulizi ‘gaidi’ wetu anakimbilia kwenye nyumba ileile aliyokuwa awali kabla ya shambulizi, huko anaziharibu zana na vifaa vilivyotumika kwenye shambulizi kufuta ushahidi wa wapi silaha hizo zimetokea, hii ndiyo sababu hakuna chochote polisi wa nchi husika wanachopata kuhusiana na aina gani ya bomu lililotegwa, malighafi za bomu hilo ni kutoka nchi gani hakuna. Baada ya kuziharibu zana hizo ‘gaidi’ anajichanganya na watu walio changanyikiwa kutokana na mlipuko na kutokomea anapo pajua.Hatua ya tatu baada ya hapo ni kutuma taarifa kwenye vyombo vya habari kwa kutumia barua pepe, ujumbe mfupi wa simu ukiwa na jina la Boko Haram/ Alshabab/Al Qaedah n.k ndiye waliyo fanya shambulizi hilo. Hatua hii ya tatu hufanywa na mtaalam na mkufunzi wa mawasiliano ambaye anaweza kuwa ni CIA au afisa wa Marekani mwenye dhamana na ‘project’ hiyo. Mtaalam huyo hutumia vyombo vya kisasa vya mawasiliano ambavyo ni vigumu kuweza kufuatilia nyayo zake.Ikiwa bomu limelipuliwa kwa njia ya mlipuaji kujitoa muhanga, kinachofanyika kinafahamika kama ‘MIND CONTROL PROGRAMME.’

Hili ni darasa la aina yake, na kijana aliyeandaliwa kwa ajili ya kujitoa muhanga huandaliwa kwa zaidi ya miezi 6, mwaka na hata miaka, tizama filamu inayokwenda kwa jina la Munchiria Candidate kupata mwanga kidogo wa kile ninacho zungumzia hapa. Siku zote wale wanaojitoa muhanga hufanya kitu hicho bila kuwa na hata chembe ya kufahamu ni nini anachokifanya, huwa kama robota la kibinadam, hii ni moja ya taaluma mbaya na inayo gofia na silaha mahususi kwa Illuminanti, mkufunzi wa ‘MIND CONTROL SLAVERY’ huwa na kitu kinacho tambulika kama ‘MULTIPLE PERSONALITY DISORDER’.Huenda siku moja tukalizungumzia somo hilo matata.Nigeria kwenye mpango huu utakao kamilika 2015 inatakiwa iwe chakari na si chochote si lolote kama ilivyo Pakistan leo. Moja ya taifa kubwa na lenye nguvu za kinyuklia imegeuzwa kuwa kama mwanasesere kwenye jukwaa la kimataifa; kuondoa uwezekano wa Nigeria kuwa ni kwakozo kwa maslahi ya Marekani na washirika wake barani Afrika, haina budi kupigishwa magoti kama ilivyofanya Pakistani kupitia kwa Al Qaedah na Talibani. Lakini kwa Nigeria, mwenye zamana hiyo ni Boko Haram. Hatua tatu mahususi zimependekezwa kuifikisha Nigeria hapo

.HATUA YA KWANZA.
Hatua ya kwanza ni kujenga mgawanyiko baina ya Wanigeria wenyewe kwenye misingi ya UISLAM na UKRISTO. Mabomu na mashambulizi ambayo yatakuwa yakiwalenga watu wenye imani mahususi hivyo kupalilia chuki baina ya wafuasi wa imani hizo mbili. Utaona mabomu hayo yakilipuka kwenye makanisa na pia kwenye misikiti na pia kwenye mikusanyiko mikubwa ya watu wa imani hizo mbili.Kutakuwa na majibizano na maneno ya kujikweza kama wanavyo fanya Boko Haram kila baada ya shambulizi kutokea. Hili litapelekea mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kwenye misingi ya kidini. Nchi itakapo fikia hapo itakuwa iko uchi kwa yeyote kuingia eidha kwa jina ‘HUMANTARIAN AID’ au ‘WAR ON TERROR.’ Vyovyote itakavyo kuwa hilo ndilo lengwa stahiki na lililokuwa likisubiria kwa muda mrefu.

HATUA YA PILI
.Hatua itakayo fuatia ni kupiga ukunga kwa dunia nzima na kusema kuwa Nigeria inamalizika lazima tufanye kitu pale. Sababu nchi itakuwa imechanwa chanwa vipande vipende kwenye misingi ya kidini na kila ina ya mgawanyiko na ubaguzi, na mauaji yake yatakuwa hayana kanuni wala taratibu, ukunga utapigwa kutoka Marekani a.k.a Washington, kutoka European Union na kutoka United Nations ukiitaka dunia kuingilia kati suala la Nigeria.Hatua hii imeshaanza kufanyiwa kazi kwa upande mmoja, viongozi mbalimbali wa kidunia wamepiga picha wakiwa na mabango yanayo dai mabinti wanao shikiliwa na Boko Haram warudishwe.Hali ikichachamaa kiasi kila mahala kuna maiti ya huyu na yule kama tunavyo ona CAR, vikao vya dharura vitaitishwa na nchi washiriki na hapa nikimaanisha nchi za Ulaya na Marekani pamoja na mwanasesere wao anayeitwa UN, na mara moja vikosi vinavyo kwenda kwa jina la ‘Humantarian Aid’ vitaanza kumiminika Nigeria, halafu wanajeshi wa kulinda amani kutoka nchi fulanifulani, halafu ahadi wa msaada wa zana za kijeshi kwa serikali ya Nigeria, tahamaki nchi yote iko chini ya ‘wageni.’

HATUA YA TATU
.Baada ya Marekani kujiweka kwenye kona nzuri ya kuzinyonya rasilimali za nchi hiyo bila kuingiliwa na Mchina, aliye mpinzani wake mkubwa leo, sakata hili sasa atarudishiwa mwanasesere UN, ambapo midahalo, vikao na majadiliano yatakuwa yakifanyika katika kuipatia UN nafasi ya kusimamia na ‘kutatua’ tatizo hilo. Kuna maeneo ambayo yatawekwa chini ya UN kwa ajili ya uangalizi na kupambana na magaidi, wakati nchi washirika nao kuna maeneo yao mahususi ambayo walikuwa wakiyahitaji tangu awali, watayakalia maeneo hayo kwa kutumia vikosi vyao, na hivyo ndiyo itakayo kuwa historia mpya ya Nigeria.Muda utakapo fika sasa Nigeria irudishwe kwa wananchi wake, nchi washirika tayari watakuwa wameshamuandaa kibaraka wao, kama walivyo fanya Afghanistan na sehemu zingine, na kibaraka huyo ataiongoza nchi kama wanavyo taka mabwana wakubwa wakiongozwa na Marekani. Atakaye nufaika na utaratibu huu, si Afrika wala Nigeria, bali ni Marekani na washirika wao ambao ndiyo waliyo tengeneza zogo hili tangu mwanzo. Mchina atakuwa kaekewa fullstop kutia mguu wake hapo , na Marekani itakuwa imejiweka kwenye sehemu nyingine ya kistartejia kwa maslahi yake ndani ya Afrika na kutengeneza njia ya kuunda Pax Amerika ndani ya Afrika.Mwisho wa siku, hakuna Jihad, hakuna Shariah, hakuna dola ya Kiislam wala Uislam. Mwisho wa siku kuna Marekani na maslahi yake, na sisi wengine wote ni wanasesere tunao chezeshwa viungo vyake na kuvichezesha kama wanavyo taka mabwana wakubwa.

Kulingana na yote hayo, na wewe uliye na akili huru, swali la msingi la kujiuliza ni vipi taarifa kama hizi ziwe uchi kwa kila mtu kuona? Au viongozi wa Nigeria na Afrika kwa ujumla pamoja na wakazi wake tunaandaliwa kisaikolojia kukubaliana na hali inayo tokea na kujihesabu hatuwezi kufanya chochote kinyume na mpango huu unao simamiwa na mataifa makubwa duniani? Katika utaratibu wowote wa utafiti, ushahidi usio na shaka huwekwa mezani sambamba na tafiti hizo. Je kauli ya Marekani ya kuichakachana Nigeria kabla ya 2015 haiwiani na kile ambacho Nigeria leo inakishuhudia kupitia mirindimo ya mabomu na risasi mahala ambapo kabla palikuwa ni shwari na salama?Kwanini nchi ambayo hapo kabla iliweza kutatua matatizo yake yenyewe, bila ushirika wowote wa kimataifa, na hata kutatua matatizo ya nchi jirani kama Liberia leo imegeuzwa kuwa mwanasesere na kituko kwenye jukwaa la kimataifa?Je wananchi milioni 160 wa Nigeria watasimama pembeni na kuwaachia Marekani waifanye nchi yao kama walivyo ifanya Libya, Iraq, Afghanistan, Syria, Egypti, Latini Amerika na kwengineko? Ambako kote huko rekodi ya taifa hili jeuri na lenye kiburi imekuwa ni chafu na mbaya kurekodiwa kwenye vitabu huru vya historia.

Huu ni mtihani kwa Wanigeria, na somo kwa Waafrika

by SULEIMAN RIDHWALI
 
Lakini na sisi waafrika tunao kubali kusaliti nchi zetu kwa nini tusikatae?
Kama Afrika tumeliona hili kuwa tatizo kwa nini tusiungane kukataa huu upuuzi wa ki magharibi?
 
Nadhani siku tanzania tukileta kihelehele nchi itakuwa base ya vita kama nchi nyingine za africa na hili linawezekana kwa namna moja au nyingine chini ya uongozi wa makinikia
Bahati yetu ni kuwa tulisaidia nchi Zaidi ya tano kupata uhuru, ilikuwa hakuna kulala mpaka Afrika nzima iwe huru, damu za ndugu zetu zilimwagika.....Nchi yetu Tanzania tuliwaelimisha wakimbizi na kuwatunza wakati wansubiri nchi zao kuwa huru!
Haki ni ya Mwenye Enzi Mungu, hazina tulio jiwekea ni kubwa mno, hakuna mshenzi yeyote atakaye jaribu kutuvuruga na akabaki salama!
HAKUNA BAYA LOLOTE LITAKALO TOKEA NCHINI KWETU MILELE! Believe me!
 
Ile dini ya haki inayotolewa na viongozi wasiosoma mengine wao wamesoma ya ahela tu ndio inatufikisha huku

MTU ajilipue ilikupata mabikra ahera ndio tulikofikia shenz
 
Labda
 
Sisi Tulishakubaliana Nao Wabebe Mali Yetu Kidogo Watupe Ila Tu Wasituvuruge Sasa Wale Wabishi Ndiyo Ya Kina Gadaffi
tunaliwa kibabe .ngoja tuone mwisho wake itakuwaje kwa sababu kwa uwezo wetu wenyewe africa naona ni shida/hatuwawezi wazungu.labda viungane vyama vyote katika kila nchi na kuunda serikali moja km china.hapo mmarekania atakosa mbinu za kuituingilia...juzi tuu kalianzisha Iran lakini yale maandamano yakazimwa...trump alishaanza kuropokwa kama kawaida yake kujitia anajua haki za watu.akawaomba Iran ijitadhmini serikali yake na iwaskilize wananchi wake
tuombee umoja wa nchi na uzalendo...lakini shida hizi vitu huletwa na serikali siyo wapinzani.kuwajali wananchi kunawafanya wawe wazalendo zaid jambo ambalo africa limepuuziwa
 
Tz pia ndipo kulikua nyumbani kwa kabila na museven .wamejifunzia huku lkn wakabadlika mashetani nchini kwao.sa huwez jua hilo suala kama MOLA ataliacha lipite hivi hivi...tunawalinda madikteta.bora ata JK alimponda kagame kwa unyanyasaji...ila soon kila kitu kitakua wazi.nani ni nani na nani kafanya nini.ukweli woote wa uhuni wa hizi nchi za duniani zitakua wazi .Tz tujiandae.tupo na sie humo ktk hiyo list ya kuchokonoa nchi za watu...
 
Ile dini ya haki inayotolewa na viongozi wasiosoma mengine wao wamesoma ya ahela tu ndio inatufikisha huku

MTU ajilipue ilikupata mabikra ahera ndio tulikofikia shenz
soma post vizuri wewe mrusi.inasema kuna watu wanajua ku controll akili za watu...wengine huwa hawafi huwa wanasema tuu mtu kajitoa mhanga lakini kumbe mtega bomu katega na kuondoka zake bila kuacha alama baada ya kulipua bomu na kudhuru watu...
wanaojiua kwa mabomu wengi wao hufanya bila ridhaa yako.soma post upya mkuu.isitoshe dini hairusu mtu kujiua .na pili ni kosa kuua mtu asiyekuwa na makosa.hivyo hayo mabomu huua wasio hatia.hivyo hii kitu hawaezi kufanya waislam kamili wanaojua dini yao vyema
 
Back
Top Bottom