Nafikir n vyema kabla hujaanza kuunga mkono harakat wanazofanya Boko haram km kweli Lina lengo la kusimika utawala wenye dola ya kiislam n vyema ukajiuliza maswali yafuatayo mosi wanachokifanya Ndyo msingi kweli wa Jihad aliotuagiza mtume s.a.w, pili hivi kweli juhad ni pamoja kuua watu hovyo wakiwemo waumin wa itikadi tajwa!?, tatu ni kweli uislamu umekataza mabinti wa kiislam kusoma? hapa rejea na kundi lingine la kigaidi TALIBANI KWA wanayoyafanya kuzuia watoto wa kike kwenda shule mfano mzuriiiiii ni bint Malala Yousfadhali waliompiga risasi!! Tafakari