Boko haram jana wameua 17 juzi 118

Boko haram jana wameua 17 juzi 118

Lumanyika nashukuru sana kutoliweka pingamizi juu uislam kuwa dini ya kweli.

Mimi nimeanzia kwenye neno uliloliweka "Amerca Book of secrets".kwahio Amerika inaongozwa na secret society which they have their own system of control America politicaly,socialy etc.

Usichokijua na ndicho kinachowasumbua walio wengi ni kuwa Nini maana ya dini.

Ngoja nitoke ijuma' kisha nikute umeweka kitu chochote unachokijua kikielezea maana ya neno dini. Kisha tuanzie hapo.

Who spoke about sectret society? Kwani Tanzania inaongozwa na hio kitu? Ngoja niliweke hili sawa book of secrets ni sera zao.hata Tanzania ina sera zake si ndio? It's not actually a book ila ni mipango yao ya jinsi gani wataendelea kuwa walivyo.kila nchi ina siri zake na jinsi yakujiweka sawa.tatizo liko hapa America anabomb mahali kwa mgongo wake mwenyewe hakuna dini yeyote inatumika katika hilo...labda tumalizie hivi ili nijue muono wako.unaunga mkono vitendo vya boko haram au unavipinga?
 
Akili zao zinawatuma kuwa kikwazo kikubwa kwa ushetani wao ni Uislam baada ya kuusambaratisha ukomunisti. Wasichokielewa ni kuwa Uislam si ubunifu wa mwanaadam. Uislam ni kujisalimisha kwa mola wako aliyekuumba. Na hakuna kitu kizuri kama hicho katika haya maisha yetu.

Leo hii wote uwaonao wanaupiga vita Uislam wanafanya kazi ya shetani.

Mtu ambae hata kusali hasali, kujiweka nadhifu hajui, kujitoharisha hajui, anatembea nusu uchi au uchi kabisa kila apatapo nafasi leo anakuja anakwambia mtu ambae ana sali sala tano kwa siku akiwa tohara na msafi, anajistiri kuanzia mavazi mpaka kichwa eti huyo ndiye mbaya!

Mtu anaekataza zinaa, pombe, kamari, wizi, uongo, uchafu, huyo ndio mbaya?

Yule anaefanya yote hayo na kufikia mpaka kuoana na mbwa ndiye mzuri?

Amma kwa hakika walimwengu ni wa ajabu sana.
kaka mwezi mtukufu ukifika biashara hizo zinadoda kabisa kwa nini? Gesti hazijai, Bar zinakosa watu, Kitimotos bei bwerere!! Machangu nao wanalalamika kwamba biashara inakuwa ngumu - tusaidie wa hili.
 
nigeria ni kama Tanzania kwa uwiano wa kidini kwa maana kuwa hesabu ya wakristo na waislamu ni almost 50 kwa 50,sasa huwezi kupata data kwamba askari wa nigeria ni wa dini ipi.

huo ni uwongo, wanajeshi majority nigeria ni waislamu, na kila siku akiwa rais mkristo lazima matatizo yatokee, mapinduzi n.k. Huo uwiano wako linganisha na malalamiko ya "mfumo kristo", kuwa ingawa tunaweza kuwa na idadi karibu na sawa maendeleo ya wakristo ni makubwa kuliko ya waislamu...
 
Who spoke about sectret society? Kwani Tanzania inaongozwa na hio kitu? Ngoja niliweke hili sawa book of secrets ni sera zao.hata Tanzania ina sera zake si ndio? It's not actually a book ila ni mipango yao ya jinsi gani wataendelea kuwa walivyo.kila nchi ina siri zake na jinsi yakujiweka sawa.tatizo liko hapa America anabomb mahali kwa mgongo wake mwenyewe hakuna dini yeyote inatumika katika hilo...labda tumalizie hivi ili nijue muono wako.unaunga mkono vitendo vya boko haram au unavipinga?

Ndugu yangu unataka kuniruka.
Ila ukweli ni kwamba sera haziwezi kuwa secrety kama unavyodai.
Hata hapa tz sera huwa zinanadiwa.mimi binafsi nina vitabu vingi ambavyo ni sera za serekali kupitia wizara.
Jambo la pili nimekuomba unijulishe nini maana ya dini?
Jambo la tatu hata wewe ni Boko haram by meaning.
1.kama nikubomb tayari umeshatoa goahead kwa wamarekani kwao ni sawa so as to maintein their status.
2.kama ni kupinga western education tayari umeshakataa secret society.
 
Sera sio secret?? Watu wasingekuwa na cyber security..unadhani America analalamika nini akigundua kuna mtu ame hack mjadala wa siri? Wewe unazisoma sera za maji na umeme na barabara mpya itajengwa ila sio kambi ya bububu au ya mwanyanya Zanzibar zina vifaa vipya toka urusi(sio kweli huu ni mfano) ikiwa sera na mipango ya America si siri imeichukua dunia miaka mingapi kuja kugundua juu ya September 11? Walishamaliza kilichowapeleka Afghanistan na sasa wanatoa majeshi.sijawahi kutetea anachokifanya mmarekani ipo mijadala mingi tu hata humu niliyosema wazi kuwa mmarekani ana sera chafu.na leo nasema tena America ana sera chafu.mimi sio boko haram wala siamini katika kuua watu wasio na hatia ili nisimamishe dini.they sound funny wako against westerners kisha wanaowaua ni northern Nigerians.wanao waua hawana hatia iwapo wana nia wawafuate mahasimu wao ambao wanawapinga na sio wasio na hatia.hujaniambia kama unawaunga mkono ama la...
 
dini ni (Mfumo/utaratibu Fulani wa maisha unaofuatwa na jamii Fulani ya wanadamu). Hili ndilo eleweko la dhana dini kupitia akili, fikra na mawazo ya binadamu. Sasa basi ili kuutambulisha kwa walimwengu mfumo wa maisha aufuatao mwanadamu akaamua kuupa jina mfumo wake huo aliojichagulia na kuufuata. Unaweza kuukuta mfumo huo chini ya majina kama mila/desturi/ utamaduni, au ujamaa, ukomunisti, ubepari, kutoamini kuwepo kwa Munguu (Atheism), ushirikina (Polytheism) na kadhalika. Hii yote ni miongoni mwa mifumo hai ya maisha inayofutawa na matabaka Fulani ya watu wanaounda jamii ya wanadamu katika ulimwengu huu.2
 
Akili zao zinawatuma kuwa kikwazo kikubwa kwa ushetani wao ni Uislam baada ya kuusambaratisha ukomunisti. Wasichokielewa ni kuwa Uislam si ubunifu wa mwanaadam. Uislam ni kujisalimisha kwa mola wako aliyekuumba. Na hakuna kitu kizuri kama hicho katika haya maisha yetu.

Leo hii wote uwaonao wanaupiga vita Uislam wanafanya kazi ya shetani.

Mtu ambae hata kusali hasali, kujiweka nadhifu hajui, kujitoharisha hajui, anatembea nusu uchi au uchi kabisa kila apatapo nafasi leo anakuja anakwambia mtu ambae ana sali sala tano kwa siku akiwa tohara na msafi, anajistiri kuanzia mavazi mpaka kichwa eti huyo ndiye mbaya!

Mtu anaekataza zinaa, pombe, kamari, wizi, uongo, uchafu, huyo ndio mbaya?

Yule anaefanya yote hayo na kufikia mpaka kuoana na mbwa ndiye mzuri?

Amma kwa hakika walimwengu ni wa ajabu sana.

wewe gamba wewe. hakuna anayekataa usiwe swala tano, hakuna anayekuzuia usijistiri, hakuna anayekataa usifanye yote yaliyomema kwa Mungu na wanadamu.

linalo huzunisha ni kutenda yote hayo na kuongeza na mauaji huku mkiyajumuisha kuwa sehemu ya sala au imani.

by the way, Mungu gani asiye na nguvu amyegemeaye kiumbe chake kumtetea?
 
Lumanyika
nimetoa maana ya neno dini ili kupunguza maswali ya watu wanaoshambulia waislam.kwamba wanauwa watu kwa mgongo wa dini.
 
Polite.
Mkristo humjui. Mkristo hufanya yote kwa kutazama jiwe lililokataliwa na waashi yaani YESU KRISTO. Mkristo hufanya matendo aliyoagozwa na Yesu. nje ya hapo hakuna ukristo.

kama marekani waliua, hawakuua kwa sababu ni wakristo bali kwa sababu ni wamarekani wenye economic motives. hali kadhalika Adlof Hitler, Musolin, na wengine uliowataja.

katika dunia hii, haijawahi tokea wakristo wakafanya uhalifu kwa jina la Mungu au hata la Yesu. Na kumbuka hakuna uhusiano wa jina na imani ya Yesu Kristo. jina ni jina tu. hapo ndipo mkristo anapokuwa tofauti na iman nyingine.

kwa hiyo jina lisikusumbue kumtambua mkristo bali matendo yake ndiyo yakusumbue.

mathayo 28:19 "enendeni ulimwenguni mwote, mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi wangu, mkiwabatiza kwa jina la baba, mwana na roho mtakatifu; na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi....".

na tena, wakati wayahudi wanamteka, Peter/Petro alikuwa na upanga akamkata sikio la mmoja wa watekaji huku akiomba ruhusa kwa Yesu aanze kazi lkn alikataliwa. badala yake alichukua sikio lile na kulirudisha mahali pake. na akatoa msimamo, ufalme wake si wadunia hii.

ndio maana nakukumbusha, hakuna mristo aliyewahi kuua. kuua ukristo hauruhusu ni sawa na kutoa hukum kitu ambacho Mungu alikataza.
 
Naomba kutoa ufafanuzi zaidi kwamba dini ni mfumo unaotawala kimwili na kiakili. Kwahio dini kwavyovyote vile lazima zishindane kwamujibu wa Qur-an 9:33.

Kwahio ukiona unashindana na uislam kwa kutengeneza fitina zozote basi na wewe unadini fulani unayoiprefer
 
wakuu
hawa jamaa wameshindikana kabisa kwanini wanaua watu wasio na hatia yeyote?
na je wanavyoua hivi hata waislam nao si wanakufa au wanawabagua pembeni?
_Na je wale mabiniti bado wametekwa?
=======================
pia kuna maswali najiuliza
haya makundi ya kiislam
silaha magari na pesa za
kufanya harakati zao
wanazipata wapi?
maana toka nimeanza
kusikia vita dhidi ya ugaidi
duniani sijawahi kusikia nchi
yeyote ikitajwa kuwauzia
silaha hawa jamaa au dunia
ikiwasaka hawa wanawauzia
silaha.
we unajua?

Halal money mkuu. Ndio chanzo chao kikuu.
 
from kogi, nigeria....In The History Of The
World Who Has Killed Maximum Innocent
Human Beings??? 1) "Hitler" Do You Know Who
Was He????? He Was a Christian, But Media Will
Never Say That Christians Are Terrorist!!!!! 2)
Joseph Stalin Called As Uncle Joe "He Has Killed 20 Million Human Beings Including 14.5 Million Were Starved To Death" Was He Muslim??? 3) Mao Tse Tsung (China) "He Has Killed 14 To 20Million Human Beings." Was He Muslim??? 4) Benito Mussolini (Italy) "He Has Killed 400 Thousand Human Being, Was He Muslim??? 5) Ashoka "In Kalinga Battle He Has Killed 100Thousand Human Being, Was He Muslim??? 6) Embargo Put By George Bush In Iraq 1/2 Million Children Has Been Killed In Iraq Alone!!!

Imagine This People Are Never Called Terrorist
By The Media. Why??? Today The Majority Of The Non Muslims Are Afraid By Hearing The Words

"Jihad" Jihad Is An Arabic Word Which Comes
From Root Arabic Word "Jahad" Which Means
"To Strive" Or "To Struggle" "To Strive Or
Struggle" Against Evil And For Justice, It Does
Not Mean Killing Innocents,The Difference is We Stand Against Evil , Not With Evil".
Much As u Can !!! You still think that ISLAM is the problem??? 1. The First World War 17 Million dead (caused by non-Muslim) 2. The Second World War 50-55 Millions dead (caused by non- Muslim) 3. Nagasaki atomin bombs 200000 dead (caused by non-Muslim)

4. The War in Vietnam over 5 Million dead (caused by non- Muslim)

5. The War in Bosnia/ Kosovo over 500000 dead (caused by non-Muslim)

6. The War in Iraq (so far) 1,2000,000 deaths (caused by non-Muslim)

7. Afghanistan, Burma etc (caused by non muslim) In cambodia 1975-1979 almost 3 million deaths (caused by non muslim )

Unalinganisha mayai na machungwa. Hao uliowataja ikiwa ni pamoja na Idi Amini, Bokasa na wengineo wa aina hiyo walikuwa ni wauaji waliofanya hivyo kwa sababu za ubinasfi wao kisiasa na wala hawakuwa wanafanya hivyo kwa ajili ya dini zao. Al Qaida, Boko Haram na Al-Shabaab hufanya hivyo kwa mgongo wa dini, na hiyo ndiyo tofauti kubwa baina yao.

Dunia nzima tunatakiwa tushirikiane kupinga watu hawa, siyo kuwatetea kwa sababu ya dini zao; iwe ni kama ambavyo dunia nzima ilivyosiamama dhidi ya Hitler.
 
Tumia google ujionee. Yanini kuandikia mate na wino upo?
agoogle nini? Kigezo chenu chema ni muham mad basi! Tena chema! Ndivyo? Kama huyu ndie kigezo chenu chema, hakuna jema ndani yenu hata moja! Taja uovu.1 tu ambao mnaye mgeza hajafanya! HATUDANGANYIKI na mashairi matamu!
 
Mi niliomba tu kujua unawaunga mkono boko haram?

Na wewe unasemaje kuhusu hii. Kwasababu ulishakubali kwamba huwa haukubaliani na CIA Oparation. Sasa na hii ni ya mossad.Angalia hii. Mtandao wa ALL AFRICA
tarehe 28,April, 2014 iliandika habari hii.
But the Fulani vehemently condemned
this laudable step taken by the governor
against violence in the state, saying
"Operation Rainbow security outfit was being trained by Israeli security experts
suspected to be from the Mossad, the
Israeli Intelligence security organisation,
and likely fromthe most dreaded and
feared Special Operation Division also
known as the Metsada, which specialises in carrying out assassination, sabotage,
kidnapping and psychological warfare. "
National Secretary of Miyetti Allah Cattle
Breeders Association of Nigeria
(MACBAN), Alhaji Saleh Bayeri, in a
statement expressed worry about the security implication of the training
andthose behind it.
Baada ya hao mtsada ndio yakaanza hayo mabo ya boko haram wa kubumba.
 
Baada ya hao mtsada ndio yakaanza hayo mambo ya extremist.
 
Akili zao zinawatuma kuwa kikwazo kikubwa kwa ushetani wao ni Uislam baada ya kuusambaratisha ukomunisti. Wasichokielewa ni kuwa Uislam si ubunifu wa mwanaadam. Uislam ni kujisalimisha kwa mola wako aliyekuumba. Na hakuna kitu kizuri kama hicho katika haya maisha yetu.

Leo hii wote uwaonao wanaupiga vita Uislam wanafanya kazi ya shetani.

Mtu ambae hata kusali hasali, kujiweka nadhifu hajui, kujitoharisha hajui, anatembea nusu uchi au uchi kabisa kila apatapo nafasi leo anakuja anakwambia mtu ambae ana sali sala tano kwa siku akiwa tohara na msafi, anajistiri kuanzia mavazi mpaka kichwa eti huyo ndiye mbaya!

Mtu anaekataza zinaa, pombe, kamari, wizi, uongo, uchafu, huyo ndio mbaya?

Yule anaefanya yote hayo na kufikia mpaka kuoana na mbwa ndiye mzuri?

Amma kwa hakika walimwengu ni wa ajabu sana.

Aksante saana Faiza.
 
Na wewe unasemaje kuhusu hii. Kwasababu ulishakubali kwamba huwa haukubaliani na CIA Oparation. Sasa na hii ni ya mossad.Angalia hii. Mtandao wa ALL AFRICA
tarehe 28,April, 2014 iliandika habari hii.
But the Fulani vehemently condemned
this laudable step taken by the governor
against violence in the state, saying
"Operation Rainbow security outfit was being trained by Israeli security experts
suspected to be from the Mossad, the
Israeli Intelligence security organisation,
and likely fromthe most dreaded and
feared Special Operation Division also
known as the Metsada, which specialises in carrying out assassination, sabotage,
kidnapping and psychological warfare. "
National Secretary of Miyetti Allah Cattle
Breeders Association of Nigeria
(MACBAN), Alhaji Saleh Bayeri, in a
statement expressed worry about the security implication of the training
andthose behind it.
Baada ya hao mtsada ndio yakaanza hayo mambo ya extremist.

Boko haram imetoka kwenye ugomvi kati ya wakulima na wafugaji? Yule kiongozi wa boko ni mfulani? Sijui labda kama ninachojua mimi ni tofauti na ukweli.........hata hivyo tofyo swali langu ni unawaunga mkono boko haram nadhani huu ni mchango wangu wa mwisho iwapo swali hilo bado litaendelea kuwa jepesi sana ama gumu zaidi kwako
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom