Boko haram jana wameua 17 juzi 118

Boko haram jana wameua 17 juzi 118

Vp unataka kama hili

"Kisha ikawa hapo walipokuwa wakikimbia
mbele ya Israeli, hapo walipokuwa katika
kutelemkia Beth-horoni, ndipo BWANA
alipowatupia mawe makubwa kutoka
mbinguni juu yao hata kufikilia Azeka, nao
wakafa, hao waliokufa kwa kuuawa na hayo
mawe ya barafu walikuwa ni wengi kuliko
waliouliwa na wana wa Israeli kwa upanga".
(Yoshua 10:11)

Hao waliua kwa roho zao n thy never mentioned Jesus lakini materrorist wa kiislamu wanaua wakisema in the name of allah eti watapata swawabu mbinguni kha?who does that n think dum like that....only muslim terrorists aisee
 
Waafrika walio wengi wanadanganywa wauwane wenyewe kwa wenyewe ili watenganishwe kiulaini lakini masikini ya Mungu hawajijui.

Devide and rule, unafikiri kwa sasa itakuwa ya kuchukuwa ramani kupiga mstari hapa wewe, hapa mimi?
 
Hao waliua kwa roho zao n thy never mentioned Jesus lakini materrorist wa kiislamu wanaua wakisema in the name of allah eti watapata swawabu mbinguni kha?who does that n think dum like that....only muslim terrorists aisee

N the bible shows kuwa Mungu aliangamiza maadui wa israel sababu walikuwa na hatia....sasa hao materrorist wanaangamiza viumbe visivyo na hatia...yani mfano wako inshort ni pumba hamna mahusiano kabisa hapa, usitetee ujinga kisa wanaofanya ivo ni waislamu wenzako, wapo waislamu safi wanapinga hayo sasa ww unajustify eti christians nao walifanya the same kha, the fact kuwa wanaua innocent people in the name of God z so wrong
 
Wauaji waliojificha katika mwavuli wa uislamu.

Nakubaliana na wewe 100% njia rahisi kabisa sasa hivi ya kuwatenganisha Waafrika ni kutumia jina Uislam.

Mkristo gani duniani ataekubali Mkristo mwenzake auliwe na Muislam?
 
Hao waliua kwa roho zao n thy never mentioned Jesus lakini materrorist wa kiislamu wanaua wakisema in the name of allah eti watapata swawabu mbinguni kha?who does that n think dum like that....only muslim terrorists aisee

Jee, kuna Mkristo yeyote duniani ataekubali kuuliwa Mkristo mwenzie na Muislaam?
 
from kogi, nigeria....In The History Of The
World Who Has Killed Maximum Innocent
Human Beings??? 1) "Hitler" Do You Know Who
Was He????? He Was a Christian, But Media Will
Never Say That Christians Are Terrorist!!!!! 2)
Joseph Stalin Called As Uncle Joe "He Has Killed 20 Million Human Beings Including 14.5 Million Were Starved To Death" Was He Muslim??? 3) Mao Tse Tsung (China) "He Has Killed 14 To 20Million Human Beings." Was He Muslim??? 4) Benito Mussolini (Italy) "He Has Killed 400 Thousand Human Being, Was He Muslim??? 5) Ashoka "In Kalinga Battle He Has Killed 100Thousand Human Being, Was He Muslim??? 6) Embargo Put By George Bush In Iraq 1/2 Million Children Has Been Killed In Iraq Alone!!!

Imagine This People Are Never Called Terrorist
By The Media. Why??? Today The Majority Of The Non Muslims Are Afraid By Hearing The Words

"Jihad" Jihad Is An Arabic Word Which Comes
From Root Arabic Word "Jahad" Which Means
"To Strive" Or "To Struggle" "To Strive Or
Struggle" Against Evil And For Justice, It Does
Not Mean Killing Innocents,The Difference is We Stand Against Evil , Not With Evil".
Much As u Can !!! You still think that ISLAM is the problem??? 1. The First World War 17 Million dead (caused by non-Muslim) 2. The Second World War 50-55 Millions dead (caused by non- Muslim) 3. Nagasaki atomin bombs 200000 dead (caused by non-Muslim)

4. The War in Vietnam over 5 Million dead (caused by non- Muslim)

5. The War in Bosnia/ Kosovo over 500000 dead (caused by non-Muslim)

6. The War in Iraq (so far) 1,2000,000 deaths (caused by non-Muslim)

7. Afghanistan, Burma etc (caused by non muslim) In cambodia 1975-1979 almost 3 million deaths (caused by non muslim )
Hivi kwanini hawa wenzetu uwa wanapenda kusoma vitu nusunusu...hapa kinacho jadiliwa ni watu kuua kwa mgongo wa dini,hawa boko haram,alshabab na alquida wote wanaua kwa kutete dini,tofauti na uliowataja,wao waliua on political bases and not religious bases n by the way hivi hitler alikua ni mkristu wa dhehebu gani?
 
from kogi, nigeria....In The History Of The
World Who Has Killed Maximum Innocent
Human Beings??? 1) "Hitler" Do You Know Who
Was He????? He Was a Christian, But Media Will
Never Say That Christians Are Terrorist!!!!! 2)
Joseph Stalin Called As Uncle Joe "He Has Killed 20 Million Human Beings Including 14.5 Million Were Starved To Death" Was He Muslim??? 3) Mao Tse Tsung (China) "He Has Killed 14 To 20Million Human Beings." Was He Muslim??? 4) Benito Mussolini (Italy) "He Has Killed 400 Thousand Human Being, Was He Muslim??? 5) Ashoka "In Kalinga Battle He Has Killed 100Thousand Human Being, Was He Muslim??? 6) Embargo Put By George Bush In Iraq 1/2 Million Children Has Been Killed In Iraq Alone!!!

Imagine This People Are Never Called Terrorist
By The Media. Why??? Today The Majority Of The Non Muslims Are Afraid By Hearing The Words

"Jihad" Jihad Is An Arabic Word Which Comes
From Root Arabic Word "Jahad" Which Means
"To Strive" Or "To Struggle" "To Strive Or
Struggle" Against Evil And For Justice, It Does
Not Mean Killing Innocents,The Difference is We Stand Against Evil , Not With Evil".
Much As u Can !!! You still think that ISLAM is the problem??? 1. The First World War 17 Million dead (caused by non-Muslim) 2. The Second World War 50-55 Millions dead (caused by non- Muslim) 3. Nagasaki atomin bombs 200000 dead (caused by non-Muslim)

4. The War in Vietnam over 5 Million dead (caused by non- Muslim)

5. The War in Bosnia/ Kosovo over 500000 dead (caused by non-Muslim)

6. The War in Iraq (so far) 1,2000,000 deaths (caused by non-Muslim)

7. Afghanistan, Burma etc (caused by non muslim) In cambodia 1975-1979 almost 3 million deaths (caused by non muslim )
Hivi kwanini hawa wenzetu uwa wanapenda kusoma vitu nusunusu...hapa kinacho jadiliwa ni watu kuua kwa mgongo wa dini,hawa boko haram,alshabab na alquida wote wanaua kwa kutetea dini,tofauti na uliowataja,wao waliua on political bases and not religious bases kama wanavofanya hao wenzanu n by the way hivi hitler alikua ni mkristu wa dhehebu gani?
 
Nakubaliana na wewe 100% njia rahisi kabisa sasa hivi ya kuwatenganisha Waafrika ni kutumia jina Uislam.

Mkristo gani duniani ataekubali Mkristo mwenzake auliwe na Muislam?

Hivi nigeria imeahindwa kabisa kutokomeza boko haram?? Kwanini hao Boko Haram wajifiche chini ya uislam na sio ukristo?? Who ia behind this na what is the way forward kutokomeza hili?
 
Hizo ni propaganda zisizo na mpango.

Leo hii ikiwa unauliwa, unateswa, unanyanyaswa kwa ajili ya dini yako halafu ukae unangoja anaekuuwa mpaka alete polisi wake na majeshi yake yaje kukuuwa na kukumaliza vizuri? Utakuwa huna akili vizuri.

Cha kujiuliza ni kimoja tu, hao wanaouwana huko, silaha na fedha za kuendeleza hayo mapambano wanazitoa wapi?

Swali Zuri Sana mwishoni hapo;SILAHA NA PESA WANAZIPATA WAPI? Na Silaha zinatoka Mataifa ya magharibi??
Hili swali linanirudisha kwenye Filamu ya BLOOD DIAMOND...Humo utagundua UNAFIKI Wa kutupwa wa Hao Wazungu watu wanaowaona wa Maana...
Wanaanzisha Ghasia/Machafuko ili wauze SILAHA Na WAKUKOPESHE..Wakisaidiwa na Vyombo vyao vya Propaganda CNN,BBC n.k
MWISHO;Unajua Adhabu ya Mnafiki?? Kufungwa Jiwe Shingoni na Kutoswa Baharini..
 
Hawa watu hutakiwi bishana nao wacha wafanya yao Mungu anajua mwenyewe atahukumu vipi
 
Unaposema boko haramu wanatuwa nakua sikuelewi kabisa...siku zote waislamu wamekua wakidanganywa kua matatizo yao yanasababishwa na wakristu kitu ambacho si kweli.!kwa mbali naona na wew unaelekea ukouko,tboko haramu wamekua wakilazimisha nigeria kuendeshwa kwa sheria za kiislamu sasa unapotwambia wanatumika, wanatumika na nani..wakristu???utanichekesha kama jibu lako litakua ndio..
 
Kwa hakika dini inayoruhusu hayo si dini ni balaa.

Tumeona Umoja wa Mataifa juzi unailalamikia Vatican! Sijui ilikuwa kwanini?

Tumeona hitler, musolini, bush na wengineo waliotajwa juu huko kuwa wameua Mamilioni ya watu, sijui hawa wana dini kweli? Kama wana dini basi hiyo dini yao ni ya kukaa nayo mbali kama ukoma.

Mumie, comment vas tu. Cava?, wewe na wenzio msitumie jazba,ila mjaribu kutathmini alichouliza mleta uzi kwamba JE BOMU AU GRENADE LINABAGUA WA KUUA? AU WAISLAMU HUWA WANAWEKWA PEMBENI HALAFU NDO LINALIPUKA?
 
hili swali la msingi wameruka wameenda kwenye swali la nyongeza
_wapi makinda
 
Nafikir n vyema kabla hujaanza kuunga mkono harakat wanazofanya Boko haram km kweli Lina lengo la kusimika utawala wenye dola ya kiislam n vyema ukajiuliza maswali yafuatayo mosi wanachokifanya Ndyo msingi kweli wa Jihad aliotuagiza mtume s.a.w, pili hivi kweli juhad ni pamoja kuua watu hovyo wakiwemo waumin wa itikadi tajwa!?, tatu ni kweli uislamu umekatazabwanawake wa kiislam kusoma hapa rejea na kundi lingine la kigaidi TALIBANI KWA wanayoyafanya kuzuia watoto wa kike kwenda shule mfano mzuriiiiii ni bint Malala Yousfadhali waliompiga risasi!! Tafakari
 
Nabii Muddy aliua wangapi??

Mbona hujaweka takwimu zake??

Boko Haram wanachofanya ni ushetani, no justifications
Katika vitabu vyote vitakatifu halipo jina hilo, hebu nikumbushe mkuu
 
Back
Top Bottom