Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,253
- 10,250
Hii inanikumbusha yaliyomtokea msela wangu Sam
Full ku chit chat na Mdada, demu saut tamu balaa, wakawa hadi wana fanya Software Sexi (Wana nyevuana thru Mobile Phone), Oooh, umelala umevaa nn, na machejo Kibaaaaaaaaaaaao, sasa Hamad siku ya kukutana, tuko Gheto, Sam anaenda kukutana na kitu Mwenge akilete Gheto, na sie kwa kushadadia si tukawa tumasubiri shemej yetu tumsabah na ku evaluate, Hamad Sam katuma sms "Wazee, mtego umenasa Chui"
Tukamuuliza vp Kaka, akasema "Mtakuja mjionee wenyewe"
Kuja demu si Demu, kama mwanaume bwanaa, Full Mikono Kujazia kama ana nyanyua Vyuma, Demu Blackiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Kama Mkaa, Tukamwambia Sam tunakuachia Gheto lakini anaglia usije Ukabakwa na Huyo Jike Dume.
Tokea siku Ile Sam akabadilisha kabisa na Line Kulikwepa Jike Dume