BLIND DATES: Kukutana face to face kwazua jambo

Kwa wanaume wengi, sura aka mwonekano kwa nje unalipa in the first instance, lakini as the time goes on anawezakuta actually uzuri haulipi sana and you may end up being just a girlfriend.
Ni kweli kabisa, mwonekano ni kwa ajili ya kutamaniana na si mahusiano................
na ndo maana ukibadilika kidogo tu mtu anaanza, sababu unakuwa siyo yule aliyekutamani...........
mlikuwa wapi nyie sasa mimi nilijikuta nipo peke yangu tu hapa mpaka nikadhani labda mimi ni wa ajabu sana kufikiria hivi?
hivi rafiki BAK hakuna kibao cha kuwashukuru hawa watu wenye mitazamo kama yangu?
copy Kongosho, Elizabeth Dominic, EMT, labda babu Dark City sijui anasemaje kuhusu hili!
 
Last edited by a moderator:
Kila saa mtu anakukumbusha, una sura kama zamadamu, mie huwa nawauliza tu
SO??
ha haaaaaaaaaa, siku ntakayekutana na wa hivyo (kama kuna kukutana na mtu tena, anyway) nitajitahidi kumfahamisha kuwa wakati Mungu anaumba kila mmoja alimwumba kwa SURA NA MFANO WAKE, lol! kwa hiyo mimi na yeye wote tunafanana na MUNGU
 
Hahaha......................eti! utafikiri alishiriki kwenye uumbaji, mi kwa ukweli wangu nishawahi kukutana na watu ambao sikuvutika nao lakini kwa njia za kidiplomasia unapart ways vizuri bila kuwakwaza au to make them feel small
Mimi nilishakutana na watu ambao wanavutia tu (according to watu) lakini kadiri tunavyokaa na kuongea naona kabisa huyu sitaweza kumvumilia......... unasepa taratibuuuuuuuuuu
 
Kwa hiyo unakubali ni mchanganyiko wa mwonekano na character?

Lakini, je kama mie ni mzuri, is it fair to brag about it?? Anyway, afadhali hata kubrag, je, is it fair to look down on someone sababu tu sio good looking?

Kwani mtu huwa nafanya nini kuupata uzuri?

Huwa naamini kuwa attraction rather than uzuri au urembo ndiyo kitu kinacho-matter mnapokutana kwa mara kwanza. Attraction inaweza kutokana na mwonekano wa mtu, character or both. Hapa ni muhimu sana kutofautisha kati ya attraction na affection.

Kuna sehemu dada yangu FP kasema kuwa hajawahi kumpenda mtu kwa jinsi alivyo, ila mpaka mtu amwingie moyoni mwake na kutamani baada ya kuongea sana na kushawishiwa naye kuwa anaweza kuwa naye. Kwa hapa sasa inakuwa ni affection kwa sababu true affection is totally satisfying.

Hapa FP atakuwa ameridhishwa kabisa na huyo mtu. Lakini kabla ya kufikia stage ya affection, lazima FP atakuwa alikuwa attracted na huyo mtu mpaka akaamua kumpa nafasi ya kuongea nae na kushawishiwa

Attraction may or may not be satisfying. Ukiangalia hapa ndiyo mahusiano mengi yanavunjika. Unakuta watu wamekuwa attracted to each other lakini badala ya kujipa muda mambo ili ya-cool off wanajicommit kwenye life long relationship (affection). Japokuwa kuna tofauti kubwa sana kati ya attraction na affection, hutajua hii tofauti mpaka muda uwe umepita baada ya mahusiano kuvunjika.

Kama ni mzuri sidhani kama ni fair ku-brag out. Tena inaweza ku-back fire unless wewe ni mzuri universally. Uzuri ni subjective. Naweza kukuona mzuri, lakini Dark City akakuona huna lolote. Afterall baadhi yetu huwa tunaamini kuwa wanawake wengi wazuri hawana personality. Nani anataka kuboreka? Jaribu ku-flash back kama yule msichana ambaye alikuwa mzuri kupita wote darasani kwako ndiye huyo huyo alikuwa anaongoza darasani kwa kuwa na a great sense of personality.

Kuhusu kwani mtu huwa anafanya nini kuupata uzuri, nafikiri ni bora kutengeneza personality yako than kutafuta uzuri. At the end of the day personality ndiyo itakayokufanya kuwa na watu karibu and when you are not there people will badly miss you. I am sure kuna watu humu JF ikipita wiki bila kuwasoma unaona kama una-miss kitu fulani vile. Lakini huwajui kwa sura na wala huna mpango wa kuwaona physically.
 
Na hii ndio utu uzima huo

Nimependa neno ulilotumia'sikuvutika nao', sio lazima wawe wabaya

Hahaha......................eti! utafikiri alishiriki kwenye uumbaji, mi kwa ukweli wangu nishawahi kukutana na watu ambao sikuvutika nao lakini kwa njia za kidiplomasia unapart ways vizuri bila kuwakwaza au to make them feel small
 
Well Said.

Double Like!

Huwa naamini kuwa attraction rather than uzuri au urembo ndiyo kitu kinacho-matter mnapokutana kwa mara kwanza. Attraction inaweza kutokana na mwonekano wa mtu, character or both. Hapa ni muhimu sana kutofautisha kati ya attraction na affection.

Kuna sehemu dada yangu FP kasema kuwa hajawahi kumpenda mtu kwa jinsi alivyo, ila mpaka mtu amwingie moyoni mwake na kutamani baada ya kuongea sana na kushawishiwa naye kuwa anaweza kuwa naye. Kwa hapa sasa inakuwa ni affection kwa sababu true affection is totally satisfying.

Hapa FP atakuwa ameridhishwa kabisa na huyo mtu. Lakini kabla ya kufikia stage ya affection, lazima FP atakuwa alikuwa attracted na huyo mtu mpaka akaamua kumpa nafasi ya kuongea nae na kushawishiwa

Attraction may or may not be satisfying. Ukiangalia hapa ndiyo mahusiano mengi yanavunjika. Unakuta watu wamekuwa attracted to each other lakini badala ya kujipa muda mambo ili ya-cool off wanajicommit kwenye life long relationship (affection). Japokuwa kuna tofauti kubwa sana kati ya attraction na affection, hutajua hii tofauti mpaka muda uwe umepita baada ya mahusiano kuvunjika.

Kama ni mzuri sidhani kama ni fair ku-brag out. Tena inaweza ku-back fire unless wewe ni mzuri universally. Uzuri ni subjective. Naweza kukuona mzuri, lakini Dark City akakuona huna lolote. Afterall baadhi yetu huwa tunaamini kuwa wanawake wengi wazuri hawana personality. Nani anataka kuboreka? Jaribu ku-flash back kama yule msichana ambaye alikuwa mzuri kupita wote darasani kwako ndiye huyo huyo alikuwa anaongoza darasani kwa kuwa na a great sense of personality.

Kuhusu kwani mtu huwa anafanya nini kuupata uzuri, nafikiri ni bora kutengeneza personality yako than kutafuta uzuri. At the end of the day personality ndiyo itakayokufanya kuwa na watu karibu and when you are not there people will badly miss you. I am sure kuna watu humu JF ikipita wiki bila kuwasoma unaona kama una-miss kitu fulani vile. Lakini huwajui kwa sura na wala huna mpango wa kuwaona physically.
 
Ni kweli kabisa, mwonekano ni kwa ajili ya kutamaniana na si mahusiano................
na ndo maana ukibadilika kidogo tu mtu anaanza, sababu unakuwa siyo yule aliyekutamani...........
mlikuwa wapi nyie sasa mimi nilijikuta nipo peke yangu tu hapa mpaka nikadhani labda mimi ni wa ajabu sana kufikiria hivi?
hivi rafiki BAK hakuna kibao cha kuwashukuru hawa watu wenye mitazamo kama yangu?
copy Kongosho, Elizabeth Dominic, EMT, labda babu Dark City sijui anasemaje kuhusu hili!

Dada FP wengine tunajifunza the hard way hadi kufikia mitazamo hiyo, wanasema ubinadamu kazi..........lol
 
Last edited by a moderator:
naungana n a Mkuu

AshaDii

"Emancipate yourselves from Mental Slavery,

Non BUT you and you women only can Free your Minds...."
- Bob Marley (Redemption Song)

Huwa naamini kuwa attraction rather than uzuri au urembo ndiyo kitu kinacho-matter mnapokutana kwa mara kwanza. Attraction inaweza kutokana na mwonekano wa mtu, character or both. Hapa ni muhimu sana kutofautisha kati ya attraction na affection.

Kuna sehemu dada yangu FP kasema kuwa hajawahi kumpenda mtu kwa jinsi alivyo, ila mpaka mtu amwingie moyoni mwake na kutamani baada ya kuongea sana na kushawishiwa naye kuwa anaweza kuwa naye. Kwa hapa sasa inakuwa ni affection kwa sababu true affection is totally satisfying.

Hapa FP atakuwa ameridhishwa kabisa na huyo mtu. Lakini kabla ya kufikia stage ya affection, lazima FP atakuwa alikuwa attracted na huyo mtu mpaka akaamua kumpa nafasi ya kuongea nae na kushawishiwa

Attraction may or may not be satisfying. Ukiangalia hapa ndiyo mahusiano mengi yanavunjika. Unakuta watu wamekuwa attracted to each other lakini badala ya kujipa muda mambo ili ya-cool off wanajicommit kwenye life long relationship (affection). Japokuwa kuna tofauti kubwa sana kati ya attraction na affection, hutajua hii tofauti mpaka muda uwe umepita baada ya mahusiano kuvunjika.

Kama ni mzuri sidhani kama ni fair ku-brag out. Tena inaweza ku-back fire unless wewe ni mzuri universally. Uzuri ni subjective. Naweza kukuona mzuri, lakini Dark City akakuona huna lolote. Afterall baadhi yetu huwa tunaamini kuwa wanawake wengi wazuri hawana personality. Nani anataka kuboreka? Jaribu ku-flash back kama yule msichana ambaye alikuwa mzuri kupita wote darasani kwako ndiye huyo huyo alikuwa anaongoza darasani kwa kuwa na a great sense of personality.

Kuhusu kwani mtu huwa anafanya nini kuupata uzuri, nafikiri ni bora kutengeneza personality yako than kutafuta uzuri. At the end of the day personality ndiyo itakayokufanya kuwa na watu karibu and when you are not there people will badly miss you. I am sure kuna watu humu JF ikipita wiki bila kuwasoma unaona kama una-miss kitu fulani vile. Lakini huwajui kwa sura na wala huna mpango wa kuwaona physically.

THE MIGHTY LAWS OF ATTRACTION!!!!!!!!!! Ngoja nirudie kusoma hiko kitabu upyaaaa!!!!
 
Ngoja ni-update personality yangu

Maana vinginevyo, am out of the game

HAHAHAAAAAAAAA! Ile commnt ya SURA KAMA ZAMADAMU!!!!!!!! Imenichekesha sana na kuniacha FRESH MCHANA KUTWA!!!!!!!!! Hivi hili neno ZAMADAMU lipo kwenye Kamusi kweli? LOL!

Kumvutia mtu kwa sura tu KAZI kweli kweli je hiyo Personality si balaaaaa!!!!!!!!! Kila unachofanya unbaer in mind lengo kumfurahisha tu muhusika!!!!!!! Si zama za Utumwa zitarudi kivingine!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom