Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,660
You took me slightly out of context. Siyo wazuri wote wenye personality mbaya. Na ukiangalia kwa undani wala sio wao per se wanaosababisha kuwa na personality mbaya.
Wanawake wazuri wanakuwa objectified na wanaume kadri wanavyokua. Badala ya kutambuliwa as a person wanatambuliwa as an object na jamii. Kila mara these "beauty queens" wanaambiwa na familia zao, marafiki, school mates na jamii kwa ujumla kuwa they are beautiful.
Matokeo yake wanadhani kuwa wana sense of entitlement and get used to everyone vying for their attention. Hii inaweza kuwaletea madhara makubwa sana kwenye personality zao. Wengi huwa hawajui wafanye nini pale wanapokuwa kwenye room na watu ambao hawathamini uzuri wao au hawana mpango uzuri wao.
Uzuri siyo identity ya mtu. Identity ya mtu ni personality yake. Ndiyo maana mtu akifa watu wanamkumbuka not on how beautiful/handsome s/he was, but how a person s/he was.
Kwa hiyo, vitu subjective kama I am a beauty" havina substance sana kwa mhusika na vinaweza kumwadhiri kwa kushindwa kutambua her concrete identity na sense of self. Na kama alikuzwa kwenye rough life anaweza kuwa identity disturbance au Personality Disorders.
Having said that sina maana kuwa wanawake wote wazuri wana personality mbaya. Kwa hiyo Kongosho asitishike. Lakini kuna funny tafiti zimefanywa kuwa mwanaume aliyeoa mwanamke mzuri sana huwa anakufa 10 years kabla ya the actual date he was supposed to die. lol. Sijui kwa wanawake vipi?
Got u Kaka.... Good observation! Kwanini wanaume wanayeoa vipusa wanajifia mapema?