AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,118
Kosa ambalo watu wengi wanaofanya blind dates wanalifanya ni kufanya mind creation halafu anaipeleka katka uhalisia. Utamkuta mvulana anamuumba msichana mithili ya Christian Milan na Msichana anamuumba mvulana mithili ya Nick Canon.. Sasa hapo kila mmoja anakuwa na mawazo yake. Mvulana anawaza kuwa anaenda kumeet na Christian Milan na Msichana anawaza kuwa anaenda kumeet na Nick Canon. Kimbembe kinakuja pale ambapo mmoja wapo au wote wawili watakuta walichokiona ni tofauti na walichokiumba.. Kuna uwezekano mkubwa sana wa kukimbiana katika eneo la tukio before meeting au after meeting..
Caution😀ont create your own person katika blind date..
Wewe Nicas unaongea nini kakangu? Taswira ndio mpango mzima! sasa unadhani bila mind creation mtafika popote? Lazima u create namna mtu anavyo onekana whether you like it or not. Sio lazima tu kwa ajili ya mapenzi tu ila ndio nature ya mwanadamu, curiosity haiepukiki...
Ndio maana saa ingine mtu anaweza ingia mkenge, katika vitu ambavyo havizeki ni sauti... Unatakuta toka sauti ipevuke una miaka 18/20 hadi unafika miaka ya 40 sauti ipo pale pale... Sasa mkilikoroga mkaongea na kuongea, kinachofuata ni kujenga taswira ya kufa mtu.... Hahaha!