My wife AshaDii mbona unafanyia mali zangu matangazo? Ngoja nirudi home...Ulivyosema umbo I get what you mean kabisa... Kwa mfano mimi ni mnene. Nikipiga picha half; You would never tel kuwa am big. Ila sasa ukipata picha nzima... That is another matter whole together! Lol.
Tatizo humu ndani unaezajikuta unamtongoza dada au ndugu yako, au anaweza kuwa na a/c 2 ukamtongoza member mara mbili mbili au ukajikuta unamdate mkeo/mmeo humu ndani maana hamjuani! Duh!
kwi kwi kiiiiiiiii, kila mtu atamwambia mi nilikuwa najua ni wewe nilikuwa nakutest tu, lol!Hiyo tamu hiyooo na mtakapoweka appointment ya kukutana afu mnakutana mme na mke. Ndo mtapojua nani mzinzi kati yenu. Kwi kwi kwiiiiiiiiiii
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
kwi kwi kiiiiiiiii, kila mtu atamwambia mi nilikuwa najua ni wewe nilikuwa nakutest tu, lol!
BTW nalijua hili at first hand... Absolutely right. Huwa nashangaa kaka/baba zangu wanavyo jishauwaga wengine kwa kuponda wanawake wazuri na wanaojipendezesha hasa kwa accessories. Wanacho ongea tofauti na wanachotaka in reality. Mwisho wa siku mwanamke mrembo na mzuri ana uhakika wa kupata mwanaume wa maana kuliko yule ambaye si mzuri wala si mrembo...
Tumewahi gusia hili in one of the topics... Nadhani WomanOfSubstance anakumbuka vema...
Hahahaaa... Hii kitu bwana, ni nooma!
Unamuuliza mtu akueleze alivyo kabla hujamuona..!! Anakwambia mie ni mrefu kiasi, maji ya kunde na mwili wa wastani..!!
Ukija kumuona kumbe ni mfupi, mweusi, halafu ni mnene..!! Kama sio vitu ulivyotegemea kutoka kwake lazima ule kona kali saaaan..!! Lol
ukitegemea kukutana na Denzel lazima ukimbie..
anaibuka dkt Remmy ongala lol
likukwepalo lina heri..............
hahahahaha maneno ya mkosaji.......
Wanaume mseme nini wakati mmekimbia baruuuuuu!!! Watu wabaya sana nyinyi!
wewe wasema...........