BLIND DATES: Kukutana face to face kwazua jambo

BLIND DATES: Kukutana face to face kwazua jambo

Haaaa haaaa Sredi imewagusa watu pabaya . . . .People, you need really to address the key issues: What is really a man looking from a woman or Vice Versa.Mind you the first impression lasts longer. Mkikutana, the first five minutes minds a lot. Things to watch as I see:
  1. Dressing code
  2. Manners
  3. The way yo talk
  4. Confidence
I would like to see a woman who is having a top confidence and dresses smartly (Not extravaganza), ila apendeze basi. Then awe na tabia za ki-Lady not otherwise and of course should be pretty with a nice figure.Height? lol. Does height really matter? Mi sijui.
Kweli imewagusa watu pabaya ...watu wamepoaaaa!!
 
mimi nilidhani peke yangu nafikiria hivi, asante sana mtu mzima mwenzangu..........
sasa nimepata nguvu ya kuandika nilichokuwa nakiwazia.
kiukweli, sijawahi kumpenda mtu kwa jinsi alivyo........hili halijawahi kunitokea kabisa........ yaani mpaka mtu aniingie moyoni mwangu na kutamani kuwa naye ni ambapo tumeshaongea saaana na kushawishiwa naye kuwa naweza kuwa naye. kwangu mimi mtu ninayependa kuwa naye haijalishi ana muonekano gani, awe Denzel washington, wassira, Remmy ongala, sijui handsome gani kwangu mimi haina maana. ninachoangalia kwa mtu ni kuwa huyu mtu anani-treat vipi.
kama mtu ananipenda, ananijali, ananiheshimu, ananisikiliza, anafanya kila kitu kunifanya nifurahi huyu mtu hata awe na mwonekano gani nitampenda. lakini wewe ndo nau-handsome wako halafu huni-treat kama vile ambavyo naona na-deserve kufanyiwa yaani hata hutanisikia katika foleni yako.
na hivyohivyo hta kwa mtu ambaye naweza kukutana naye mtandaoni......naweza kumpenda hata kama siwajahi kuona picha yake, ilimradi tu anifanye mwenye furaha......niwe najiona kabisa kuwa nahitaji kuonana na huyu mtu.
huyu ni mimi lakini..... sijasema na upande wa pili anaweza akajisikia kama mimi............

@FP, ...umeongea neno kubwa!!! Pamoja sana!!!
 
wewe ni she solution? maana nimeambiwa haya yana-apply kwa she tu.......wenzetu upande wa pili wanavutika na mwonekano...........

Mimi ni He ..

Lakini kweli kabisa ..unaweza ukawa Miss Universe lakini hicho kwangu sio kigezo hata kidogo ... Kinachonigusa ni thamani ya moyoni kwa muhusika ... yaani hizo thamani ulizozitaja hizo ...
 
Mimi ni He ..

Lakini kweli kabisa ..unaweza ukawa Miss Universe lakini hicho kwangu sio kigezo hata kidogo ... Kinachonigusa ni thamani ya moyoni kwa muhusika ... yaani hizo thamani ulizozitaja hizo ...
du! asante kwa kunifanya nisijisikie siwajui wakaka kiasi hicho wakati ndo marafiki zangu haswaaaaaaaaaaaaa.....
 
du! asante kwa kunifanya nisijisikie siwajui wakaka kiasi hicho wakati ndo marafiki zangu haswaaaaaaaaaaaaa.....
... Naamini wapo ... ingawa sio wengi ..kwani huwa wanachukuliwa na "muonekano" hasa inapokuja kwa kizazi cha sasa mambo ya kumoyo na thamani ya undani wa mtu ...ahhh! nani anajali ... lakini maafa yake ni makubwa ...
 
Ngumu sana kutafsiri uzuri, maana ni mjumuisho wa mwonekano na character.

Kama umewahi ona ile movie ya 'daddy Little Girls' yule mdada alienda kwenye blind date, akakutana na kijana kwa mwonekano si mbaya, ila baada ya kuongea, mbona aliomba bill na kuondoka.

Lakini, turudi nyuma, naomba nikuulize swali hasa kama wewe sura inalipa, ni nini ulifanya kuupata huo uzuri??
Labda nitaona mantiki ya kujidai na uzuri.

Ni sawa mtu kuringia uzuri wake (ingawa tunasema ni subjective, unaweza kuwa mzuri kwa huyu lakini siyo kwa yule)
la kuangalia ni je uzuri ndo kila kitu mtu anahitaji katika mahusiano?
kama ndo hivyo mbona hao akina Remmy / wassira/ sijui akina michelini mbona wana watu wao?
na hao "wazuri" mbona hawadumu kwenye relationships? tutasema labda demand kwa wao ipo juu.........
lakini ndo hicho wakaka wanachotaka? kuwa na mtu ambaye hajui kama kesho atakuwa naye? na hicho ndo tunakiita nini? mimi hata sijui........ mtu unakuwa na mtu, huna amani, huna furaha, wasi wasi tele, kisa "handsome"!
mtu ananidhalilisha, haniheshimu, hanijali........... bado nipo naye tu, kisa, "handsome"!
 
Ngumu sana kutafsiri uzuri, maana ni mjumuisho wa mwonekano na character.

Kama umewahi ona ile movie ya 'daddy Little Girls' yule mdada alienda kwenye blind date, akakutana na kijana kwa mwonekano si mbaya, ila baada ya kuongea, mbona aliomba bill na kuondoka.

Lakini, turudi nyuma, naomba nikuulize swali hasa kama wewe sura inalipa, ni nini ulifanya kuupata huo uzuri??
Labda nitaona mantiki ya kujidai na uzuri.

Kwa wanaume wengi, sura aka mwonekano kwa nje unalipa in the first instance, lakini as the time goes on anawezakuta actually uzuri haulipi sana and you may end up being just a girlfriend.
 
Kwa hiyo unakubali ni mchanganyiko wa mwonekano na character?

Lakini, je kama mie ni mzuri, is it fair to brag about it?? Anyway, afadhali hata kubrag, je, is it fair to look down on someone sababu tu sio good looking?

Kwani mtu huwa nafanya nini kuupata uzuri?

Kwa wanaume wengi, sura aka mwonekano kwa nje unalipa in the first instance, lakini as the time goes on anawezakuta actually uzuri haulipi sana and you may end up being just a girlfriend.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
umeona eeh!

Mie nilishindwa hata kukomenti zaidi.

Afu ukifikiria sana, uzuri wa mwili ni kitu gani hadi ujisikie so special?

Ni nini ulifanya kupata uzuri huo?

Ni kubahatisha tu maana si kwamba ulikuwa mjanja kuwahi sura nzuri.

Sasa hata bahati nasibu nazo tuziringie?

Afu kwa mstaarabu, kama umeona mtu ni kiwango duni, bora kukaa kimya kuliko kuumiza hisia zake bure.

Umeongea sahihi kabisa Kongosho kuna watu wengine wanaishi kwa kuumiza hisia za wenzao kabisa as if wao wako perfect. Ukija angalia kwa undani zaidi utakuta wao ndio wana mapungufu zaidi
 
Last edited by a moderator:
Jamaa naye katili,si angeendelea kuchati naye hata angalau kumpa moyo kwamba bado wapo wote ktk chatin...Bidada atafakari na kuchukua hatua..
 
Huu uzi sio zangu sana ila najua kuna tofauti ya uzuri na urembo. Uzuri kwaujumla wake mtu anajaliwa na Mungu na unaonekana machoni pa mtazamaji. Urembo unatokana na juhudi binafsi za mhusika na hasa mdada. Ila watu na hasa wanaume wanafuata Mvuto. Mvuto upo ndani ya mtu, unaweza ukawa mtu wa kujifunika kama avator yako lakini ukawa unapokea application mia kidogo, na ukawa unavaa ovyo kama akina Wema uliowataja, application zikifika 5 zote za wanaume wahuni wanaotaka kulala na mwanamke star na sio Wema. Sasa kwa kuwa star aliyembele yake ni wema ndoo anaenda nae. (Wema namtumia kuwakilisha star tu sina lolote binafsi na wema kwani nimewahi kumuona kwa mbali tu) Hil unaliongeleaje?.

i very much second this...watu siku hizi kwa kujua au kutokujua wanakimbilia kutafuta kutamaniwa...ndio hapo mtu anajipimp kwa makorokoro kibao,binafsi namuangalia mwanamke mwenye artificiality kama mtu asiyejiamini muonekano wake...sisemi asiwe smart, don't quote me wrong...lazima avae vizuri (as in afiche uchi) na ajipatie according to muonekano alio nao...suala ni mvuto...na huu unatokea ndani, it's sth complex...mtu ataeamua kuendelea kuwasiliana na wewe kwasababu ya mfano kiuno au hips zako...basi kinachofuatwa ni hips au hicho kiuno na sio wewe...kama mtu anasearch for a long term relationship kuna vitu vingi sana vya kuangalia, na tunaangalia kilong term zaidi...urembo wa mtu hautoi guarantee ya kuwa a good partner in life...it's a combination of a lot of things...mtu anaweza akadate mwanamke mreeeeeeembo haswa ila kwenye kuoa wote tukabakia gaaaah....these things r complex.

shoste ya Lara aendelee kujipenda na kufeel she is very beautiful, judgement ya mtu mmoja isimfanye akashusha esteem yake...anaweza kupata mtu wa maana zaidi ambaye atadiscover mvuto wake...huyo jamaa anaweza akawa ndio wale mahandsome mnaowapenda na ana hela may be ila yawezekana asingemfaa kabisa bdae u never know....dada arejeshe confidence...mvuto haubomolewi na mtu mwingine, unaubomoa kwa perception yako mwenyewe...
 
Umeongea sahihi kabisa Kongosho kuna watu wengine wanaishi kwa kuumiza hisia za wenzao kabisa as if wao wako perfect. Ukija angalia kwa undani zaidi utakuta wao ndio wana mapungufu zaidi

watu wa namna hiyo ni viazi tu vyenye low self esteem...yaani ili wao wajisikie vizuri shurti wawafanye watu wengine wajifeel kama wapo low alafu wao ndio ati wapo perfect...ni ujinga tu
 
Kila saa mtu anakukumbusha, una sura kama zamadamu, mie huwa nawauliza tu
SO??
Hahaha......................eti! utafikiri alishiriki kwenye uumbaji, mi kwa ukweli wangu nishawahi kukutana na watu ambao sikuvutika nao lakini kwa njia za kidiplomasia unapart ways vizuri bila kuwakwaza au to make them feel small
 
Back
Top Bottom