lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,223
Wakubwa zangu shikamooni!
Niajeeeeeeeeeee!!!!!
Mnisamehe bure, huwa sipendi kuandika thread mpya wakt ya zamani bado ipo kwenye chati!!!!!!! LOL! Msione nimejibinafsishia hili jamvi wajameni. Ila hii ni breaking news si ya kukosa!!!!!!!!! Nimeshindwa kujibana imebidi kuandika humu.
Ile hali ya watu hamfahamiani, ila imetokea mmechat chat na nini, au mmewasiliana wee sasa mkaona, enough is enough lets meet tuonane sasa! Au mtu kachukua namba yako pahala, kakutongoza yo fell for his charm ndo namna gani vipi mmeona mkutane Face to Face!!!!
Hapo kwenye simu wakarimu kwa kila mmoja wenu, mipromise kibao, full kupigiana 24/7, mto unaisha kwa kukumbatiwa! Kichwani mwenyewe umeweka taswira yako unayoitaka!!!!!! You expect even better!!!! Mhhhhhhh!! Mda ukikaribia ndo painfull truth hits you, huenda ikawa ndio ya sio? Now you start having doubts n second thoughts! Unajilipua tu ngoja niende, WTF!? Kila mtu anadress to kill siku hiyo, full kugongea unyunyu!!!! Ukifika sasa hapo bar au resturant au beach huoni na kuangazaa waliokaa peke yao wote Idi Amini Dada, hapo ndo janja ya nyani inapoanzaa! Simu silent, hata vibration huweki! Rangi ya nguo umedanganya! Unasikilizia upepo kwanza! Simu ikiita unacheki nani anapiga kati ya hao watu!!!! Hapo unaichungulia ndani ya hand bag ukiona NO WAY! unaikata. You dont give up easly, unamtext umevaaje? Akikutajia ukicomfirm!!!!!! Unatokaje baruuuuuu!!!!!
Kuna mtu huku ofisini maji yalizidi ungaa, Bidada akajitosa kwa kijana mwenzie mmoja hivi, manake wanaume wenye pesa, wazuri na hawajaoa washida kweli siku hizi! Bibi katupa karata zake, wakachat wee hadi mambo yakakolea ile ile! She got her hopes high!!!!!! Jumapili ndo ilikuwa Blind Date yenyewe. Ijumaa master nilienda kutoa mawaiza yangu ya mwisho before the big day! NO MATTER WHAT DONT SLEEP WITH HIM!!!! Be your self, Leave the attitude at home blah! blah! Basi bana yeye alipofika She focused on WHAT DOES HE HAVE? Akasahau kufocus kwenye WHAT DO I/SHE HAVE? Kajibanza kamuona kaka watu MZURI basi weee kalipukaje kwa furaha!!! Kamfuata pale, the dude was vry kind, na nini. Wakaongea hili na lile mwisho kamrudisha mpaka kwake. Hajashuka kwenye gari(what a gentle man!)
Bi dada jtatu kangojea simu/sms wapii!!! Kimyaaaaaa! J nnee Holaaaa!!!!! Leo kapiga yeye, wala haipokelewei! Katext bila bila! Mmmmmh! Ndo kaja hapa tufanye kikao cha dharura! Mi nimebaki SINA MBAVU! Does this mean The Package didnt interest him!!!!? Mi nimemwambia jtano bado haijaisha, siku 3 tu jamani asubirie tu jamani, Maybe atapiga!!!!!!! Hizi network haziaminiki! LOL!
Its so SAD! she feels so STUPID! Maskini dada wa watu! Mi nikamwambia coz alikwambia anakofanya kazi ikibidimfate ili ujue kama mbwai mbwai tu, kuliko kujiuliza na kujijibu! (IT AINT A LAUGHING MATTER DONT LAUGH GUYS) Ama coz umeusaminisha mzigo si mbaya sana, basi kama Fupa wewe Mbwa limekishinda, niachie mimi Fisi nikukuruke nalo!!!! Huwezi jua it might be my lucky day! LOL (Jst kidding people)
ITS SUCH A CRUEL WORLD FOR WOMEN OUT THERE!!!!!!!!!