HAHAHAAAAAAAAA! Ile commnt ya SURA KAMA ZAMADAMU!!!!!!!! Imenichekesha sana na kuniacha FRESH MCHANA KUTWA!!!!!!!!! Hivi hili neno ZAMADAMU lipo kwenye Kamusi kweli? LOL!
Kumvutia mtu kwa sura tu KAZI kweli kweli je hiyo Personality si balaaaaa!!!!!!!!! Kila unachofanya unbaer in mind lengo kumfurahisha tu muhusika!!!!!!! Si zama za Utumwa zitarudi kivingine!!!!!!!!
ha ha ha ha......., maneno ya wakosaji ndo hayo. bidada ni kipori ndo maana katoswa.
umeona eeehhh!Dada FP wengine tunajifunza the hard way hadi kufikia mitazamo hiyo, wanasema ubinadamu kazi..........lol
Umefafanua vizuri sana rafiki..........Huwa naamini kuwa attraction rather than uzuri au urembo ndiyo kitu kinacho-matter mnapokutana kwa mara kwanza. Attraction inaweza kutokana na mwonekano wa mtu, character or both. Hapa ni muhimu sana kutofautisha kati ya attraction na affection.
Kuna sehemu dada yangu FP kasema kuwa hajawahi kumpenda mtu kwa jinsi alivyo, ila mpaka mtu amwingie moyoni mwake na kutamani baada ya kuongea sana na kushawishiwa naye kuwa anaweza kuwa naye. Kwa hapa sasa inakuwa ni affection kwa sababu true affection is totally satisfying.
Hapa FP atakuwa ameridhishwa kabisa na huyo mtu. Lakini kabla ya kufikia stage ya affection, lazima FP atakuwa alikuwa attracted na huyo mtu mpaka akaamua kumpa nafasi ya kuongea nae na kushawishiwa
Attraction may or may not be satisfying. Ukiangalia hapa ndiyo mahusiano mengi yanavunjika. Unakuta watu wamekuwa attracted to each other lakini badala ya kujipa muda mambo ili ya-cool off wanajicommit kwenye life long relationship (affection). Japokuwa kuna tofauti kubwa sana kati ya attraction na affection, hutajua hii tofauti mpaka muda uwe umepita baada ya mahusiano kuvunjika.
Kama ni mzuri sidhani kama ni fair ku-brag out. Tena inaweza ku-back fire unless wewe ni mzuri universally. Uzuri ni subjective. Naweza kukuona mzuri, lakini Dark City akakuona huna lolote. Afterall baadhi yetu huwa tunaamini kuwa wanawake wengi wazuri hawana personality. Nani anataka kuboreka? Jaribu ku-flash back kama yule msichana ambaye alikuwa mzuri kupita wote darasani kwako ndiye huyo huyo alikuwa anaongoza darasani kwa kuwa na a great sense of personality.
Kuhusu kwani mtu huwa anafanya nini kuupata uzuri, nafikiri ni bora kutengeneza personality yako than kutafuta uzuri. At the end of the day personality ndiyo itakayokufanya kuwa na watu karibu and when you are not there people will badly miss you. I am sure kuna watu humu JF ikipita wiki bila kuwasoma unaona kama una-miss kitu fulani vile. Lakini huwajui kwa sura na wala huna mpango wa kuwaona physically.
Wakubwa zangu shikamooni!
Niajeeeeeeeeeee!!!!!
Mnisamehe bure, huwa sipendi kuandika thread mpya wakt ya zamani bado ipo kwenye chati!!!!!!! LOL! Msione nimejibinafsishia hili jamvi wajameni. Ila hii ni breaking news si ya kukosa!!!!!!!!! Nimeshindwa kujibana imebidi kuandika humu.
Ile hali ya watu hamfahamiani, ila imetokea mmechat chat na nini, au mmewasiliana wee sasa mkaona, enough is enough lets meet tuonane sasa! Au mtu kachukua namba yako pahala, kakutongoza yo fell for his charm ndo namna gani vipi mmeona mkutane Face to Face!!!!
Hapo kwenye simu wakarimu kwa kila mmoja wenu, mipromise kibao, full kupigiana 24/7, mto unaisha kwa kukumbatiwa! Kichwani mwenyewe umeweka taswira yako unayoitaka!!!!!! You expect even better!!!! Mhhhhhhh!! Mda ukikaribia ndo painfull truth hits you, huenda ikawa ndio ya sio? Now you start having doubts n second thoughts! Unajilipua tu ngoja niende, WTF!? Kila mtu anadress to kill siku hiyo, full kugongea unyunyu!!!! Ukifika sasa hapo bar au resturant au beach huoni na kuangazaa waliokaa peke yao wote Idi Amini Dada, hapo ndo janja ya nyani inapoanzaa! Simu silent, hata vibration huweki! Rangi ya nguo umedanganya! Unasikilizia upepo kwanza! Simu ikiita unacheki nani anapiga kati ya hao watu!!!! Hapo unaichungulia ndani ya hand bag ukiona NO WAY! unaikata. You dont give up easly, unamtext umevaaje? Akikutajia ukicomfirm!!!!!! Unatokaje baruuuuuu!!!!!
Kuna mtu huku ofisini maji yalizidi ungaa, Bidada akajitosa kwa kijana mwenzie mmoja hivi, manake wanaume wenye pesa, wazuri na hawajaoa washida kweli siku hizi! Bibi katupa karata zake, wakachat wee hadi mambo yakakolea ile ile! She got her hopes high!!!!!! Jumapili ndo ilikuwa Blind Date yenyewe. Ijumaa master nilienda kutoa mawaiza yangu ya mwisho before the big day! NO MATTER WHAT DONT SLEEP WITH HIM!!!! Be your self, Leave the attitude at home blah! blah! Basi bana yeye alipofika She focused on WHAT DOES HE HAVE? Akasahau kufocus kwenye WHAT DO I/SHE HAVE? Kajibanza kamuona kaka watu MZURI basi weee kalipukaje kwa furaha!!! Kamfuata pale, the dude was vry kind, na nini. Wakaongea hili na lile mwisho kamrudisha mpaka kwake. Hajashuka kwenye gari(what a gentle man!)
Bi dada jtatu kangojea simu/sms wapii!!! Kimyaaaaaa! J nnee Holaaaa!!!!! Leo kapiga yeye, wala haipokelewei! Katext bila bila! Mmmmmh! Ndo kaja hapa tufanye kikao cha dharura! Mi nimebaki SINA MBAVU! Does this mean The Package didnt interest him!!!!? Mi nimemwambia jtano bado haijaisha, siku 3 tu jamani asubirie tu jamani, Maybe atapiga!!!!!!! Hizi network haziaminiki! LOL!
Its so SAD! she feels so STUPID! Maskini dada wa watu! Mi nikamwambia coz alikwambia anakofanya kazi ikibidimfate ili ujue kama mbwai mbwai tu, kuliko kujiuliza na kujijibu! (IT AINT A LAUGHING MATTER DONT LAUGH GUYS) Ama coz umeusaminisha mzigo si mbaya sana, basi kama Fupa wewe Mbwa limekishinda, niachie mimi Fisi nikukuruke nalo!!!! Huwezi jua it might be my lucky day! LOL (Jst kidding people)
ITS SUCH A CRUEL WORLD FOR WOMEN OUT THERE!!!!!!!!!
Ni kweli kabisa, mwonekano ni kwa ajili ya kutamaniana na si mahusiano................
na ndo maana ukibadilika kidogo tu mtu anaanza, sababu unakuwa siyo yule aliyekutamani...........
mlikuwa wapi nyie sasa mimi nilijikuta nipo peke yangu tu hapa mpaka nikadhani labda mimi ni wa ajabu sana kufikiria hivi?
hivi rafiki BAK hakuna kibao cha kuwashukuru hawa watu wenye mitazamo kama yangu?
copy Kongosho, Elizabeth Dominic, EMT, labda babu Dark City sijui anasemaje kuhusu hili!
babu taratibu, mimi ni mtu mzima mwenzako....huko kwenye uzee bado saaaaannaaaa, lol!Mzee mwenzangu @FP, sina zaidi ya yale yale tuliyoongea mchana?
Sura ni kitu muhimu kama unafanya window shopping...ila ukishaamua kununua, thamani yake inaweza kuwa NIL
Hata hivyo, haya ni matokeo ya kuuziana mbuzi kwenye gunia....
Bado nawashauri vijana waache kupandishana mori kwa kuhashuana, tena wakiwa hawafahamiani...
Nawaonea huruma sana kwani haya matukio yatawatesa!!
Babu DC!!
babu taratibu, mimi ni mtu mzima mwenzako....huko kwenye uzee bado saaaaannaaaa, lol!
hapa mimi naona tumeshamaliza kula kitu, kazi kwao, wafanya window shopping na wanunuzi..........
sisi zamu ilishapita na hayo ndo tuliyokuwa tunayazingatia.......... na ndo maana mpaka sasa bado tupo "HAPPILY MARRIED"
zingatia hapo kwenye kapito leta....
ha haaaa, umeona eeh!Na kuhashuana haimo kwenye kamusi zetu za MMU.....Labda tukiwa na wale waliopewa ruksa na BWANA....
Mengine tuwaachie wenyewe!!
Babu DC!!
Kumbe bidada mzuri weye? maana according to EMT wazuri ndio wenye personality mbaya
Ni kweli kabisa, mwonekano ni kwa ajili ya kutamaniana na si mahusiano................
na ndo maana ukibadilika kidogo tu mtu anaanza, sababu unakuwa siyo yule aliyekutamani...........
mlikuwa wapi nyie sasa mimi nilijikuta nipo peke yangu tu hapa mpaka nikadhani labda mimi ni wa ajabu sana kufikiria hivi?
hivi rafiki BAK hakuna kibao cha kuwashukuru hawa watu wenye mitazamo kama yangu?
copy Kongosho, Elizabeth Dominic, EMT, labda babu Dark City sijui anasemaje kuhusu hili!
Rafiki FP muonekano/mwonekano ndiyo nini? lol! Kibao ndiyo nini? Cha kukunia nazi au kibao cha chapati? lol!
Jokes aside IMO there are three pillars of love namely: True love, Trust and Respect. If one of those 3 pillars is missing then love will stand on a very shaky ground. Mafiga mawili kamwe hayawezi kuinjika sufuri/chungu shurti yawe matatu.
Muonekano leo upo kesho haupo, kama ulipenda kwa muonekano wa muhusika ukipotea na penzi ndio linanyauka?
Hapo kwenye rangi uwe unazuka tu rafiki hata kama uko pekee yako si unatetea kila unachoamini banaa!!!
Najifunza a lot kwa kufuatilia mtiririko wa hoja/mijadala inavyoenda!
Mwanzo ilianza...sarcasim, huruma
Katikati.....kuopt kwa non blind dates
Sasa hivi......uzuri na mvuto
Baadaye......?????
Pia kuna vinara wachangiaji wenye kuinfluence mitazamo
Mwanzoni................
Katikati................
Sasa hivi..............
Baadaye..............
Mwisho kuna tricks za kupata support ya mtazamo
"Mention people it will be hard for them kwenda kinyume sana na maoni yako"
JF very educative in every aspect.
likukwepalo lina heri..............
Haha haha hahaaa.. Nimecheka balaa.. Mi mgeni kwa hili lol..
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums