Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,502
Jamani si kuna picha? Msitumiane picha kwanza ili atleast mjue what not to expect. Lbd hakukuwa na chemistry tu!
Mimi naamini ktk kuput impression iliyo low ili mkionana na kujuana akutane na vitu vilivyo juu kuliko alivyotegemea; in that way mnalast kuliko kujiweka artificially juu na baadaye mtu anakuwa disappointed mwisho wa siku.