The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,535
Absolutely, YES..Na hii ni habari ya Siasa?
Tapeli tu na muongo. Kama ina muamini basi utakuwa Mwehu sio bure!Absolutely, YES..
Gwajima ni mchungaji na ni mwanasiasa mwanachama wa chama cha siasa kiitwacho CCM...
Kwa hiyo ni siasa 100%..
Labda nikutonye...
Atasema kuhusu ishu ya UVIKO 19 na chanjo yake na wanaomtupia maneno na kumchokoza...
Sasa anakwenda "kuwavua nguo" kwa maana ya ku - expose ujinga na unafiki wao...
Hapa Spika wa bunge Job Ndugai hatapona. Shemejie Dr Dorothy Gwajima hatapona...
Katika ibada ya leo J'mosi amegusa gusa kidogo kwa mbali japo haikuwa ktk ukamilifu wake. Ila tulimwelewa....
Gwajima ni TAPELI la madhabauni.Absolutely, YES..
Gwajima ni mchungaji na ni mwanasiasa mwanachama wa chama cha siasa kiitwacho CCM...
Kwa hiyo ni siasa 100%..
Labda nikutonye...
Atasema kuhusu ishu ya UVIKO 19 na chanjo yake na wanaomtupia maneno na kumchokoza...
Sasa anakwenda "kuwavua nguo" kwa maana ya ku - expose ujinga na unafiki wao...
Hapa Spika wa bunge Job Ndugai hatapona. Shemejie Dr Dorothy Gwajima hatapona...
Katika ibada ya leo J'mosi amegusa gusa kidogo kwa mbali japo haikuwa ktk ukamilifu wake. Ila tulimwelewa....
Nimeona lile "tangazo" la serikali (MoHA) linalotaka taasisi za kiraia kuomba leseni za miaka mitano mitano. Linafikirisha sana.Leo sasa ndio atazungumzia hili
P#COVID19 - Visions & Trends Readings: Unaweza Usiamini Hili, "Namuona Baba Askofu Mpinga Chanjo, Ukichanjwa Chanjo ya Corona!"
Wanabodi Hili ni bandiko la Visions na Trends Readings, Visions za Trends Reading sio utabiri, ni maono ya mielekeo. Ni tofauti na maono ya utabiri. Kwenye visions za trends readings zangu, zinanionyesha "Mbunge Wangu wa Kawe, Baba Askofu, Mheshimiwa sana, Dr. Josephat Gwajima" akichanjwa...www.jamiiforums.com
ule ni mkwala tuu hakuna lolote. Serikali yetu inaheshimu sana dini, Viongozi wa dini na Viongozi wa kiroho.Nimeona lile "tangazo" la serikali (MoHA) linalotaka taasisi za kiraia kuomba leseni za miaka mitano mitano. Linafikirisha sana.
Mnataka kutumia siasa madhabahuni kujiomgezea sadaka! Mnataka kutumia ugonjwa wa corona kujiongezea sadaka? Acheni upotoshaji. Kwamba corona haikuwepo, ni wakati gani corona iliondoka Tanzania tangia ilipoingia mwezi March 2020? Acheni ku mobilize sadaka kwa kupotosha watuAbsolutely, YES..
Gwajima ni mchungaji na ni mwanasiasa mwanachama wa chama cha siasa kiitwacho CCM...
Kwa hiyo ni siasa 100%..
Labda nikutonye...
Atasema kuhusu ishu ya UVIKO 19 na chanjo yake na wanaomtupia maneno na kumchokoza...
Sasa anakwenda "kuwavua nguo" kwa maana ya ku - expose ujinga na unafiki wao...
Hapa Spika wa bunge Job Ndugai hatapona. Shemejie Dr Dorothy Gwajima hatapona...
Katika ibada ya leo J'mosi amegusa gusa kidogo kwa mbali japo haikuwa ktk ukamilifu wake. Ila tulimwelewa....
Serikali inapiga mkwara?ule ni mkwala tuu hakuna lolote. Serikali yetu inaheshimu sana dini, Viongozi wa dini na Viongozi wa kiroho.
P
Haijui!!Ajikite kwenye Homiliya.