Bishop Rev. Josephat Gwajima kusema neno tena kesho. Unakaribishwa katika ibada kanisa la Ufufuo na Uzima....!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
39,591
2,000
Naomba mifano tafadhali!!
Mangapi serikali imesema lakini haikutenda?. Kauli nyingine ni mikwala tuu usiogope.

Tena hata enzi za Mwendazake, japo alisema katiba sio kipaumbele chake, kama Mungu asinge muita kwake, kumpa majukumu muhimu zaidi, amini usiamini, alikuwa anatuachia katiba mpya !.

P
 

Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
3,352
2,000
Alishaufyata wiki iliyopita kwa kusema Samia ana nia nzuri tatizo ni wasaidizi wake na atakomaa nao, leo tena anataka kusema kitu gani?

Huyu msanii anajifanyia promo watu waende kanisani kwake aongeze sadaka, nothing else.
Yaani hawa wasanii wanavyowapelekesha na kuwavuruga vuruga waumini wao hadi mtu unaweza kuwaonea huruma!! Halafu wanasema wachoma chanjo watakuwa mazombie, mimi naona wao tayari wameshakuwa mazombie wa Gwajima!!! Jinsi alivyokuwa anajiuma uma jumapili iliyopita alikuwa anaonesha kabisa yeye ni mnafiki, hajui chochote kuhusu chanjo na mpiga deal tu! Nadhani hakutegemea reaction aliyopata kutoka CCM, ameogopa tayari!
 

Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,502
2,000
Mangapi serikali imesema lakini haikutenda?. Kauli nyingine ni mikwala tuu usiogope.

Tena hata enzi za Mwendazake, japo alisema katiba sio kipaumbele chake, kama Mungu asinge muita kwake, kumpa majukumu muhimu zaidi, amini usiamini, alikuwa anatuachia katiba mpya !.

P
Mkuu Pascal Mayalla kwa Mwendazake hilo linawezekana kwa kuwa mwishoni mwa utawala wake angekuwa ametimiza vipaimbele vyake na hivyo kutaka kujenga legacy nyingine ya kisiasa kwa kutuachia Katiba mpya.
 

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
30,868
2,000
Mbwa Kala Mbwa
Ccm Sasa Hivi Mwendo Wa Fitna
Jobo Naye Akasema Lazima Wachanjwe Ndiyo Waingie Jirani Na CBE Dodoma


Jafo
Msukuma
Kabudi
Bashiru
Pole X 2
Na Wengine Tayari Wametafuta Mbinu Mpya 😂😅😃
 

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
172,932
2,000
Mbwa Kala Mbwa
Ccm Sasa Hivi Mwendo Wa Fitna
Jobo Naye Akasema Lazima Wachanjwe Ndiyo Waingie Jirani Na CBE Dodoma


Jafo
Msukuma
Kabudi
Bashiru
Pole X 2
Na Wengine Tayari Wametafuta Mbinu Mpya
JamiiForums2011088224.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom