Askofu Josephat Gwajima unaliona anguko lako la kiroho? Kwanini umeamua kuichagua mauti badala ya uzima?

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
Karibu hapa askofu Josephat gwajima! Heri konzi Moja pamoja na furaha ! Kuliko konzi mbili pamoja na huzuni ,nakuuliza askofu wangu ndugu Josephat kwamba hulioni anguko lako Bado najua Unafahamu thamani na heshima ya kuhani wa mungu ! Mimi nauliza tu Bado tuendelee kuiamini mikono yako vichwani mwetu? Bado tuendelee kunywa mvinyo ambayo tayari imechanganywa na siasa? Nauliza tu ameenda wapi yule Josephat gwajima wa mwaka 2000? Yameenda wapi Yale maono makubwa ya kujenga mji wa mwanakondoo? Maelfu ya watu waliokuwa wanakanyagana pale kawe na ubungo hapo waendelee kuiamini mikono yako? Nauliza tu askofu wangu ! Wale ulikuwa unawatolea mapepo na kuponya magonjwa yao kwa sasa wanajua wewe ni mwanasiasa ! Ninini kimekuondoa madhabahuni na kwenda kwenye ulingo wa siasa uliojaa chuki ,visasi ,matusi na dhihaka za Kila aina ? Waumini wako wanakuona bunju unacheza singeli ! Nini kimekupata tajiri mkubwa! ....si ni wewe uliagiza trein? Si ni wewe uliagiza ndege? Si ni wewe ulikuwa unaongea na Amina chifupa kwa nguvu ya maombi ? Ninini kimekupata? Wewe unaonaje kanisa lako la 2000 ni sawa na la Leo? Najua utajikaza kisabuni lakini kiufupi Hilo nianguko kubwa sana kwako! YESU alisema toshekeni na mishahara ! Mungu wako alikunyima nini ukiwa mtumishi wake? Akija Josephat yule wa 2010 akakutana na wewe Josephat wa 2024 ! Atakupiga vibaya sana umemharibia heshima yake ! Na umemuondolea Nuru yake! Kwa nini unamfanyia hivi josephati gwajima yule asilia? Wewe ni gwajima yupi? Ok sawa ! Umeamua kuchagua mauti na kuukataa uzima? Umeamua kuchagua kumtumikia herode ? Umeamua kuchagua kuvaa utukufu wa farao !? Nimeona nikukumbushe huenda macho yako yamepofuka hayaoni ! Asante sana
 
Karibu hapa askofu Josephat gwajima! Heri konzi Moja pamoja na furaha ! Kuliko konzi mbili pamoja na huzuni ,nakuuliza askofu wangu ndugu Josephat kwamba hulioni anguko lako Bado najua Unafahamu thamani na heshima ya kuhani wa mungu ! Mimi nauliza tu Bado tuendelee kuiamini mikono yako vichwani mwetu? Bado tuendelee kunywa mvinyo ambayo tayari imechanganywa na siasa? Nauliza tu ameenda wapi yule Josephat gwajima wa mwaka 2000? Yameenda wapi Yale maono makubwa ya kujenga mji wa mwanakondoo?
ungeweka hoja moja baada ya nyingine ili ujibiwe. though kwa upande wangu najua wachungaji wengi uwa wanaenda kiroho wakiwa na shida, wakisapata pesa wanaanza kwenda kwa kutumia akili na elimu, mwisho wanaishia kustaafu tu, pia yeye ndio anajua kama alikuwa anaoperate kimungu au la, siri anayo. kwasababu ukionja ukuu na raha ya uwepo wa Mungu huwezi kukaa kwa raha ukiupoteza, yatakuwa majonzi matupu. Gwajima amesali sana pale kwa Askofu swai kiondoni, na kwengine anakujua, kama misingi alikuwa nayo.

kuchanganya siasa sio shida, shida ni je? upo unatembea na kuoperate kwenye uwepo wa Mungu? that is what counts, kama umeupoteza uwepo na Mungu amekuneemia amekupa pumzi, jua anataka urudi, utubu, kabla hajakutapika mazima. uwe mchungaji na uwe mbunge wa ccm unachotafuta ni nini? pesa? manake kama umaarufu alishakuwa nao, pesa alishapata, anachotafuta ni nini? kondoo wanashida akiwa bungeni? tuseme anatumikia mabwana wawili au ni bwana mmoja tu? hilo yeye analijua, na ni yeye atawajibika kwa Mungu wake, sisi hatuwezi kumwajibisha, hatukuwepo alipoitwa, kama kweli aliitwa.
 
Karibu hapa askofu Josephat gwajima! Heri konzi Moja pamoja na furaha ! Kuliko konzi mbili pamoja na huzuni, nakuuliza askofu wangu ndugu Josephat kwamba hulioni anguko lako Bado najua Unafahamu thamani na heshima ya kuhani wa mungu ! Mimi nauliza tu Bado tuendelee kuiamini mikono yako vichwani mwetu?

Bado tuendelee kunywa mvinyo ambayo tayari imechanganywa na siasa? Nauliza tu ameenda wapi yule Josephat Gwajima wa mwaka 2000? Yameenda wapi Yale maono makubwa ya kujenga mji wa mwanakondoo?
Siyo kila aniitaye Bwana Bwana......
 
ungeweka hoja moja baada ya nyingine ili ujibiwe. though kwa upande wangu najua wachungaji wengi uwa wanaenda kiroho wakiwa na shida, wakisapata pesa wanaanza kwenda kwa kutumia akili na elimu, mwisho wanaishia kustaafu tu, pia yeye ndio anajua kama alikuwa anaoperate kimungu au la, siri anayo. kwasababu ukionja ukuu na raha ya uwepo wa Mungu huwezi kukaa kwa raha ukiupoteza, yatakuwa majonzi matupu. Gwajima amesali sana pale kwa Askofu swai kiondoni, na kwengine anakujua, kama misingi alikuwa nayo.

kuchanganya siasa sio shida, shida ni je? upo unatembea na kuoperate kwenye uwepo wa Mungu? that is what counts, kama umeupoteza uwepo na Mungu amekuneemia amekupa pumzi, jua anataka urudi, utubu, kabla hajakutapika mazima. uwe mchungaji na uwe mbunge wa ccm unachotafuta ni nini? pesa? manake kama umaarufu alishakuwa nao, pesa alishapata, anachotafuta ni nini? kondoo wanashida akiwa bungeni? tuseme anatumikia mabwana wawili au ni bwana mmoja tu? hilo yeye analijua, na ni yeye atawajibika kwa Mungu wake, sisi hatuwezi kumwajibisha, hatukuwepo alipoitwa, kama kweli aliitwa.
Hahahaha ,Kuna kitu umeongea nimekuelewa sana ! Lakini sasa binadamu tuna kilevi kibaya sana kinaitwa umaarufu ! Kutafuta umaarufu ! Kwa kazi inavyozidi kuporomoka hatuwezi kukaa kimya
 
ungeweka hoja moja baada ya nyingine ili ujibiwe. though kwa upande wangu najua wachungaji wengi uwa wanaenda kiroho wakiwa na shida, wakisapata pesa wanaanza kwenda kwa kutumia akili na elimu, mwisho wanaishia kustaafu tu, pia yeye ndio anajua kama alikuwa anaoperate kimungu au la, siri anayo. kwasababu ukionja ukuu na raha ya uwepo wa Mungu huwezi kukaa kwa raha ukiupoteza, yatakuwa majonzi matupu. Gwajima amesali sana pale kwa Askofu swai kiondoni, na kwengine anakujua, kama misingi alikuwa nayo.

kuchanganya siasa sio shida, shida ni je? upo unatembea na kuoperate kwenye uwepo wa Mungu? that is what counts, kama umeupoteza uwepo na Mungu amekuneemia amekupa pumzi, jua anataka urudi, utubu, kabla hajakutapika mazima. uwe mchungaji na uwe mbunge wa ccm unachotafuta ni nini? pesa? manake kama umaarufu alishakuwa nao, pesa alishapata, anachotafuta ni nini? kondoo wanashida akiwa bungeni? tuseme anatumikia mabwana wawili au ni bwana mmoja tu? hilo yeye analijua, na ni yeye atawajibika kwa Mungu wake, sisi hatuwezi kumwajibisha, hatukuwepo alipoitwa, kama kweli aliitwa.
sina maoni 🐒
 
Hivi hawa matapeli huwa wanatumia mbinu gani hadi kuaminisha watu kuwa wao ni watumishi wa mungu hapa duniani?? maana ukiwa na akili timamu ukimtazama mtu kama mwamposa na uhuni anaowafanyia watu unaweza ukamtandika makofi mbele ya kadamnasi
 
Dunia ina watu mchanganyiko.werevu kwa wajinga,vibaka na wastaarabu.waongo na wakweli,wezi na waaminifu na kadhalika.Sasa ukiona tapeli kapata wafuasi jua hao wafuasi wako kundi fulani hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu hapa askofu Josephat gwajima! Heri konzi Moja pamoja na furaha ! Kuliko konzi mbili pamoja na huzuni ,nakuuliza askofu wangu ndugu Josephat kwamba hulioni anguko lako Bado najua Unafahamu thamani na heshima ya kuhani wa mungu ! Mimi nauliza tu Bado tuendelee kuiamini mikono yako vichwani mwetu? Bado tuendelee kunywa mvinyo ambayo tayari imechanganywa na siasa? Nauliza tu ameenda wapi yule Josephat gwajima wa mwaka 2000? Yameenda wapi Yale maono makubwa ya kujenga mji wa mwanakondoo? Maelfu ya watu waliokuwa wanakanyagana pale kawe na ubungo hapo waendelee kuiamini mikono yako? Nauliza tu askofu wangu ! Wale ulikuwa unawatolea mapepo na kuponya magonjwa yao kwa sasa wanajua wewe ni mwanasiasa ! Ninini kimekuondoa madhabahuni na kwenda kwenye ulingo wa siasa uliojaa chuki ,visasi ,matusi na dhihaka za Kila aina ? Waumini wako wanakuona bunju unacheza singeli ! Nini kimekupata tajiri mkubwa! ....si ni wewe uliagiza trein? Si ni wewe uliagiza ndege? Si ni wewe ulikuwa unaongea na Amina chifupa kwa nguvu ya maombi ? Ninini kimekupata? Wewe unaonaje kanisa lako la 2000 ni sawa na la Leo? Najua utajikaza kisabuni lakini kiufupi Hilo nianguko kubwa sana kwako! YESU alisema toshekeni na mishahara ! Mungu wako alikunyima nini ukiwa mtumishi wake? Akija Josephat yule wa 2010 akakutana na wewe Josephat wa 2024 ! Atakupiga vibaya sana umemharibia heshima yake ! Na umemuondolea Nuru yake! Kwa nini unamfanyia hivi josephati gwajima yule asilia? Wewe ni gwajima yupi? Ok sawa ! Umeamua kuchagua mauti na kuukataa uzima? Umeamua kuchagua kumtumikia herode ? Umeamua kuchagua kuvaa utukufu wa farao !? Nimeona nikukumbushe huenda macho yako yamepofuka hayaoni ! Asante sana
Weka paragraph basi

Unarap Kama busta rhymes
 
Tatizo siasa. Akikosa ubunge 2025 kama atagombea ndio atakuwa amepoteza vyote, waumini wake watajua kumbe huku alikuja kutafuta pesa tu, ndio maana akakimbilia kwenye siasa ili aongeze.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Karibu hapa askofu Josephat gwajima! Heri konzi Moja pamoja na furaha ! Kuliko konzi mbili pamoja na huzuni ,nakuuliza askofu wangu ndugu Josephat kwamba hulioni anguko lako Bado najua Unafahamu thamani na heshima ya kuhani wa mungu ! Mimi nauliza tu Bado tuendelee kuiamini mikono yako vichwani mwetu? Bado tuendelee kunywa mvinyo ambayo tayari imechanganywa na siasa? Nauliza tu ameenda wapi yule Josephat gwajima wa mwaka 2000? Yameenda wapi Yale maono makubwa ya kujenga mji wa mwanakondoo? Maelfu ya watu waliokuwa wanakanyagana pale kawe na ubungo hapo waendelee kuiamini mikono yako? Nauliza tu askofu wangu ! Wale ulikuwa unawatolea mapepo na kuponya magonjwa yao kwa sasa wanajua wewe ni mwanasiasa ! Ninini kimekuondoa madhabahuni na kwenda kwenye ulingo wa siasa uliojaa chuki ,visasi ,matusi na dhihaka za Kila aina ? Waumini wako wanakuona bunju unacheza singeli ! Nini kimekupata tajiri mkubwa! ....si ni wewe uliagiza trein? Si ni wewe uliagiza ndege? Si ni wewe ulikuwa unaongea na Amina chifupa kwa nguvu ya maombi ? Ninini kimekupata? Wewe unaonaje kanisa lako la 2000 ni sawa na la Leo? Najua utajikaza kisabuni lakini kiufupi Hilo nianguko kubwa sana kwako! YESU alisema toshekeni na mishahara ! Mungu wako alikunyima nini ukiwa mtumishi wake? Akija Josephat yule wa 2010 akakutana na wewe Josephat wa 2024 ! Atakupiga vibaya sana umemharibia heshima yake ! Na umemuondolea Nuru yake! Kwa nini unamfanyia hivi josephati gwajima yule asilia? Wewe ni gwajima yupi? Ok sawa ! Umeamua kuchagua mauti na kuukataa uzima? Umeamua kuchagua kumtumikia herode ? Umeamua kuchagua kuvaa utukufu wa farao !? Nimeona nikukumbushe huenda macho yako yamepofuka hayaoni ! Asante sana
Kama yule mama Lwakatare alijiingiza kwenye siasa akitegemea uwaziri umkwamue kimaisha ndivyo huyu naye alitegemea uwaziri hakujua CCM ina wenyewe kama jina la ukoo wako halijaingia hautaingia kamwe.
 
Huna ulijualo.

Mungu ni yule yule,

Askofu Gwajima hakuingia siasani Kwa Bahati mbaya. Bado ni mtumishi wa Mungu.

Utajibiwa Kwa vitendo soon!!
 
Mimi siwezi kujibiwa kwa vitendo labda wafuasi wake nyinyi ndio mtajibiwa kwa vitendo
 
Karibu hapa askofu Josephat gwajima! Heri konzi Moja pamoja na furaha ! Kuliko konzi mbili pamoja na huzuni ,nakuuliza askofu wangu ndugu Josephat kwamba hulioni anguko lako Bado najua Unafahamu thamani na heshima ya kuhani wa mungu ! Mimi nauliza tu Bado tuendelee kuiamini mikono yako vichwani mwetu? Bado tuendelee kunywa mvinyo ambayo tayari imechanganywa na siasa? Nauliza tu ameenda wapi yule Josephat gwajima wa mwaka 2000? Yameenda wapi Yale maono makubwa ya kujenga mji wa mwanakondoo? Maelfu ya watu waliokuwa wanakanyagana pale kawe na ubungo hapo waendelee kuiamini mikono yako? Nauliza tu askofu wangu ! Wale ulikuwa unawatolea mapepo na kuponya magonjwa yao kwa sasa wanajua wewe ni mwanasiasa ! Ninini kimekuondoa madhabahuni na kwenda kwenye ulingo wa siasa uliojaa chuki ,visasi ,matusi na dhihaka za Kila aina ? Waumini wako wanakuona bunju unacheza singeli ! Nini kimekupata tajiri mkubwa! ....si ni wewe uliagiza trein? Si ni wewe uliagiza ndege? Si ni wewe ulikuwa unaongea na Amina chifupa kwa nguvu ya maombi ? Ninini kimekupata? Wewe unaonaje kanisa lako la 2000 ni sawa na la Leo? Najua utajikaza kisabuni lakini kiufupi Hilo nianguko kubwa sana kwako! YESU alisema toshekeni na mishahara ! Mungu wako alikunyima nini ukiwa mtumishi wake? Akija Josephat yule wa 2010 akakutana na wewe Josephat wa 2024 ! Atakupiga vibaya sana umemharibia heshima yake ! Na umemuondolea Nuru yake! Kwa nini unamfanyia hivi josephati gwajima yule asilia? Wewe ni gwajima yupi? Ok sawa ! Umeamua kuchagua mauti na kuukataa uzima? Umeamua kuchagua kumtumikia herode ? Umeamua kuchagua kuvaa utukufu wa farao !? Nimeona nikukumbushe huenda macho yako yamepofuka hayaoni ! Asante sana
Gwajiboy boy..
 
Back
Top Bottom