Askofu Gwajima: Tanzania hatufungamani na upande wowote

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
17,879
27,524
Salaam, Shalom!

Askofu Gwajima ambaye pia ni Askofu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima duniani kote, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la kawe, amerejea msimamo wa Tanzania tangu uhuru wa kutofungamana na upande wowote katika siasa za Dunia.

Ameeleza hayo akiwa ibadani wiki kadhaa zilizopita kuwa, vita hii ya Israel na Palestina kamwe sisi Watanzania tusiichukue kidini. Mungu ni MMOJA wa wote, wakristo, waislamu, wapagani nk nk.

Mungu angekuwa wa waislamu pekee, angewanyima Pumzi Wakristo, kadharika, angekuwa wa Wakristo pekee, au Wayahudi pekee, angewanyima Pumzi wengine,lakini Mungu hafungamani na upande wowote ndo sababu anatupenda wote.

Hivyo, Nchi yetu, kamwe tusiingie mtego wa kusimama na upande mmoja kuchukua upande katika vita hii, tuendelee kuunga mkono Amani na utulivu Mashariki ya kati.

Hatufungamani na siasa za Kimagharibi(West) Wala Mashariki (East).

Mwisho wa kunukuu.
,................................................................

Tumepoteza ndugu zetu wawili , Joshua na Clemence waliouwawa na Magaidi wa kikundi Cha Hamas.

Narudia, Hamas ni kikundi Cha magaidi, Si chama Cha siasa, maana kamwe, chama Cha siasa hakitumii silaha na kutumia Raia kama Kinga Yao kibita.Ndugu zetu wawili wameuwawa na Magaidi.

Wizara ya Mambo ya nje chini ya ndugu Makamba, itoke waziwazi kulaani kitendo Cha magaidi wa kikundi Cha Hamas kuua Watanzania wenzetu bila huruma, ikumbukwe kuwa Watanzania wenzetu hawakuwa askari, Bali raia, na SHERIA za kivita zote zinakataza kuua raia.

Ndugu Tundu Lissu aonyeshe Uzalendo Kwa Watanzania waliopoteza maisha Kwa kuuwawa na Magaidi wa kikundi Cha Hamas. Hamas wameua Watanzania wenzetu hivyo ni magaidi, na kamwe hawawezi kuwekwa kundi moja la wapigania uhuru kama Tundu Lisu alivyonukuliwa Juzi akitetea Hamas.

ANGALIZO: AMEBARIKIWA AIBARIKIYE ISRAEL, NA AMELAANIWA AILAANIYE ISRAEL.
Tanzania ni Mbarikiwa sana, shikamana na Israel uepuke LAANA.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Mungu Mbariki Askofu Gwajima, mbunge wa kitaifa, Ameonyesha Dira ya nchi yetu tangu Uhuru.

Source: Josephat Gwajima, Rudisha TV.

Amen
 
vipi kuhusu ANC pale South Africa nao walikuwa wanatumia silaha na tuliwaita freedom fighter sasa na wao walikuwa magaidi, vipi kuhusu FRELIMO hapo angola?

Guys vita ya mashariki ni ngumu sana ile tuwaachie wenyewe sisi tupiganie mkate wetu, wenzetu wamekufa walikuwa wameenda kutafuta kama watanzania wengine huko nje imetokea basi ni hivyo

lakini pia mm najiuliza mfano wahusika wangekuwa wanajitete kuwa wao ni watanzania na watanzania ni marafiki wa palestine maana kuna balozi huku bado wangeuliwa?
 
Salaam, Shalom!!

Askofu Gwajima ambaye pia ni Askofu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima duniani kote, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la kawe, amerejea msimamo wa Tanzania tangu uhuru wa kutofungamana na upande wowote katika siasa za Dunia.

Ameeleza hayo akiwa ibadani wiki kadhaa zilizopita kuwa, vita hii ya Israel na Palestina kamwe sisi Watanzania tusiichukue kidini. Mungu ni MMOJA wa wote, wakristo, waislamu, wapagani nk nk.

Hivyo, Nchi yetu, kamwe tusiingie mtego wa kusimama na upande mmoja kuchukua upande katika vita hii, tuendelee kuunga mkono Amani na utulivu Mashariki ya kati.

Hatufungamani na siasa za Kimagharibi(West) Wala Mashariki (East).

Tumepoteza ndugu zetu wawili waliouwawa na Magaidi wa kikundi Cha Hamas.

Narudia, Hamas ni kikundi Cha magaidi, Si chama Cha siasa, maana kamwe, chama Cha siasa hakitumii silaha.Ndugu zetu wawili wameuwawa na Magaidi.

Wizara ya Mambo ya nje chini ya ndugu Makamba, itoke waziwazi kulaani kitendo Cha magaidi wa kikundi Cha Hamas kuua Watanzania wenzetu bila huruma , ikumbukwe kuwa Watanzania wenzetu hawakuwa askari, Bali raia, na SHERIA za kivita zote zinakataza kuua raia.

Ndugu Tundu Lissu aonyeshe Uzalendo Kwa Watanzania waliopoteza maisha Kwa kuuwawa na Magaidi wa kikundi Cha Hamas. Hamas wameua Watanzania wenzetu hivyo ni magaidi, na kamwe hawawezi kuwekwa kundi moja la wapigania uhuru kama Tundu Lisu alivyonukuliwa Juzi akitetea Hamas.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Amen
kwa mtu aliyeona clip ya Joshua, ameteseka sana kabla ya kifo, na ameuawa vibaya sana. tuwashukuru Israel kwa kuua yale magaidi yote yaliyomuua Joshua.
 
vipi kuhusu ANC pale south africa nao walikuwa wanatumia silaha na tuliwaita freedom fighter sasa na wao walikuwa magaidi..vipi kuhusu FRELIMO hapo angola?

Guys vita ya mashariki ni ngumu sana ile tuwaachie wenyewe sisi tupiganie mkate wetu.. wenzetu wamekufa walikuwa wameenda kutafuta kama watanzania wengine huko nje imetokea basi ni hivyo

lakini pia mm najiuliza mfano wahusika wangekuwa wanajitete kuwa wao ni watanzania na watanzania ni marafiki wa palestine maana kuna balozi huku bado wangeuliwa...?
Hamas hawana sifa ya kuwa chama Cha siasa,

Huwezi kutumia ngao ya raia Kupambana na adui.

Ndugu zetu wameuwawa wakiwa wanajitetea kuwa wao ni raia, hii kamwe haikubaliki.

Utanzania kwanza. Tuwe wazalendo wa Nchi yetu.
 
Hamas hawana sifa ya kuitwa Freedom fighters,

Ni simply, magaidi.
 
Hamas hawana sifa ya kuwa chama Cha siasa,

Huwezi kutumia ngao ya raia Kupambana na adui.

Ndugu zetu wameuwawa wakiwa wanajitetea kuwa wao ni raia, hii kamwe haikubaliki.

Utanzania kwanza. Tuwe wazalendo wa Nchi yetu.
Tunachoshukuru Mungu ni kwamba, Netanyahu amesema pale hamas hawatakuja kuishi tena, watapafanya bufferzone, manake pale wapalestina hawatarudi tena, na hata wakirudi wataishi chini ya utawala wa Israel, meaning hata wayahudi sasa wataruhusiwa kujenga na kuishi pale. baada ya muda, eneo lote litakuwa la wayahudi. bora mara mia kuliko haya magaidi mauaji.
 
Hawa hawatakaa waonekane tena kwenye uso wa dunia
 
Hatuchaguliani rafiki wala adui.Ni kutumia uwezo wako wa kufikiri na mapenzi yako tu.
Huna Rafiki mwingine zaidi ya Watanzania na ndugu zao waliopoteza vijana wawili Kwa kuuwawa na Magaidi ya Hamas.

Kama hushikamani na Watanzania, nawe ni Gaidi, tutakufikia tu.
 
Back
Top Bottom