Bila kupatikana kwa katiba mpya ya wananchi tume huru ya uchaguzi Nchi haitakuja kutawalika tena

Kiweli

Senior Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
137
Reaction score
115
Kwa heshima ujengwe mnara mkubwa wa makumbusho ya kumbukumbu ya kuwa kumbuka kila mwaka wahanga wetu wote. Walioteswa Waliopotezwa ama kuuwawa na CCM kabla na baada ya mauwaji ya uchaguzi wa October 29,2025 kwa kuyaandika majina yao wote kama Mashujaa wa Taifa.

IMG-20260321-WA0000.jpg

Kwa heshima ujengwe mnara mkubwa wa makumbusho ya kumbukumbu ya kuwa kumbuka kila mwaka wahanga wetu wote. Walioteswa Waliopotezwa ama kuuwawa na CCM kabla na baada ya mauwaji ya uchaguzi wa October 29,2025 kwa kuyaandika majina yao wote kama Mashujaa wa Taifa.View attachment 3560893
View attachment 3560892
For the record kwa nchi hii, hakuna kitu kinaitwa tume huru.
 
Jirani yetu Kenya kiliwaka mwaka 2007 Baada ya uchaguzi mkuu watu zaidi ya 1000 walipoteza maisha. Viongozi wa Kenya wataitwa ICC kujibu case mashitaka walifanya mizahazaha maigizo na michezo ya kuigizaigiza kama walivyozoea kufanya CCM. Kenya waliunda tume ya usuluhishi na upatanishi ya taifa la Kenya iliongozwa na Kofi Anani pamoja na Marais wetu wawili wastaafu wa Tanzania Ben Mkapa na Jakaya Kikwete. Miaka 18 baadae Tanzania yametokea mauaji zaidi ya yaliyotokea Nchini Kenya watu zaidi ya 10,000 wameuwawa. Kama nchi tupo kwenye mifadhaiko na majonzi watu wanaendelea kulia kila kukicha.
mpaefa0gfevyfc8e5f1b26e92964f.jpg
kenyan.jpg
 
Jirani yetu Kenya kiliwaka mwaka 2007 Baada ya uchaguzi mkuu watu zaidi ya 1000 walipoteza maisha. Viongozi wa Kenya wataitwa ICC kujibu case mashitaka walifanya mizahazaha maigizo na michezo ya kuigizaigiza kama walivyozoea kufanya CCM. Kenya waliunda tume ya usuluhishi na upatanishi ya taifa la Kenya iliongozwa na Kofi Anani pamoja na Marais wetu wawili wastaafu wa Tanzania Ben Mkapa na Jakaya Kikwete. Miaka 18 baadae Tanzania yametokea mauaji zaidi ya yaliyotokea Nchini Kenya watu zaidi ya 10,000 wameuwawa. Kama nchi tupo kwenye mifadhaiko na majonzi watu wanaendelea kulia kila kukicha.View attachment 3560985View attachment 3560986
After this kenya ikapata katiba mpya ambayo ilibadili kabisa taswira ya utawala wa kenya. So ule utawala wa kihuni huni ulishia hapo.

Katiba ambayo ili change elimu yao kwenda juu kivingine

Although bado kuna madhaifu mengi , ila walipata true changes from here
 
Bila katiba mpya na tumehuru ya uchaguzi,2030,tutaichoma nhi kwa wivu mkubwa
CCM kwa uroho wao na ulevi wa madaraka wameshafanya mizaha mingi sana. Wamekaa mifumo ya vyama vingi iliyotokea duniani kote miaka 34 iliyopita Mzee wa miaka 88 wasira alisema kwa kufuru"CCM haitaondoka madarakani mpaka yesu akataporudi"

Hii picha ilipigwa mwaka 2008 ni tume iliongozwa na Kofi Anani kutatua mkwako wa kisiasa uliosababisha wamachafuko na mauajib yaliyotoke. Katika hawa viongozi watano wanaoonekana hapa kwenye hii picha wanne wote washatangulia mbele haki kabaki mmoja tu Rais mstaafu Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. Tuokoe Baba Nchi yetu ishaelekezwa kiblaa tayari.....! chorus twende wapi wapi twende Taifa linaangamia x2

kenyan.jpg
 
Kwa heshima ujengwe mnara mkubwa wa makumbusho ya kumbukumbu ya kuwa kumbuka kila mwaka wahanga wetu wote. Walioteswa Waliopotezwa ama kuuwawa na CCM kabla na baada ya mauwaji ya uchaguzi wa October 29,2025 kwa kuyaandika majina yao wote kama Mashujaa wa Taifa.View attachment 3560893
View attachment 3560892
gentleman,
Tanzania itaendelea kua nchi ya kidemokrasia na iliyojengwa katika misingi imara ya kishria whether kuna katiba mpya au hakuna.

katiba iliyoko inajitosheleza vya kutosha licha yakwamba kuna mabadiliko machache ya kimazingira na yele yaliyo katika siasa za kimataifa.

Ni vema kujiepusha na upotoshaji, porojo na uzushi dhidi ya uhuru, uwazi na haki ya Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi iliyopo kwasasa, kwasababu itaendelea kufanya kazi zake kwa uwazi na uhuru bila kujali mashinikizo au mihemko ya mamaluki na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.

Kwa wakati muafaka CCM itafanya mabadiliko ya katiba ikiwa inaona inafaa, na hakuna kubabaika juu ya hilo.
 
Chizi karogwa tena
 
Kwa heshima ujengwe mnara mkubwa wa makumbusho ya kumbukumbu ya kuwa kumbuka kila mwaka wahanga wetu wote. Walioteswa Waliopotezwa ama kuuwawa na CCM kabla na baada ya mauwaji ya uchaguzi wa October 29,2025 kwa kuyaandika majina yao wote kama Mashujaa wa Taifa.

View attachment 3560893

View attachment 3560892
Juma Homera alimuua huyu dogo Shadrack Chaula akazawadiwa Uwaziri wa Katiba na Sheria, inasikitisha sana.
 
CCM kwa uroho wao na ulevi wa madaraka wameshafanya mizaha mingi sana. Wamekaa mifumo ya vyama vingi iliyotokea duniani kote miaka 34 iliyopita Mzee wa miaka 88 wasira alisema kwa kufuru"CCM haitaondoka madarakani mpaka yesu akataporudi"

Hii picha ilipigwa mwaka 2008 ni tume iliongozwa na Kofi Anani kutatua mkwako wa kisiasa uliosababisha wamachafuko na mauajib yaliyotoke. Katika hawa viongozi watano wanaoonekana hapa kwenye hii picha wanne wote washatangulia mbele haki kabaki mmoja tu Rais mstaafu Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. Tuokoe Baba Nchi yetu ishaelekezwa kiblaa tayari.....! chorus twende wapi wapi twende Taifa linaangamia x2

View attachment 3561043
Aisee
 
gentleman,
Tanzania itaendelea kua nchi ya kidemokrasia na iliyojengwa katika misingi imara ya kishria whether kuna katiba mpya au hakuna.

katiba iliyoko inajitosheleza vya kutosha licha yakwamba kuna mabadiliko machache ya kimazingira na yele yaliyo katika siasa za kimataifa.

Ni vema kujiepusha na upotoshaji, porojo na uzushi dhidi ya uhuru, uwazi na haki ya Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi iliyopo kwasasa, kwasababu itaendelea kufanya kazi zake kwa uwazi na uhuru bila kujali mashinikizo au mihemko ya mamaluki na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.

Kwa wakati muafaka CCM itafanya mabadiliko ya katiba ikiwa inaona inafaa, na hakuna kubabaika juu ya hilo.

Sawa nimepokea maoni yako Tlaatlaah nyie ndio mnayo hati miliki ya kuitawala Nchi milemile. Mtatuwekea viraka hiyo katiba yenu mpaka pale mtakapoona inafaa itapendeza zaidi.

tutu-crying.jpg
 
View attachment 3561241
Yes,
hilo liko wazi kwa waTanzania wote na dunia nzima inafahamu kwamba CCM ndio chama pekee Tanzania chenye ridhaa ya wananchi wa Tanzania, na ndicho chenye dhamana ya kushika dola, kuunda serikali, kuongoza nchi, kuwatumikia waTanzania na kuwaletea maendeleo endelevu kijamii, kisiasa na kiuchumi.

CCM itatawala Tanzania kwa miaka mingi mno ijayo gentleman.
 
Back
Top Bottom