Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 5,495
- 7,031
Leta ushahidi kua gati moja moja imeuzwa unaongea kwa hasira na Wivu , DP world Yuko mpaka marekani achilia mbali Tanzania, hapo Mombasa kuna mpaka gari za tycoons wa nje ya Kenya na ndani ya Kenya 😂😂
Joho pekee anamiliki bearth tatu muhimu hapo Mombasa port na hata hakuoni shida😂😂
Joho hana uwezo wakumiliki gati hata moja Mombasa, kitu anachomiliki ni CFS mbili moja iko miritini nyingine ipo nairobi. Kurudia rudia jambo halitalifanya kuwa kweli gati zote Kenya zinamilikiwa na GOk tofauti na tanzania ambayo imeanza kuzipeana kwa kampuni binasfi kutoka Dubai (DP World). Saivi watu wameanza kuchagua Kama wabakie TPA ama waingie DP World