Battle: Ilala VS Kinondoni

Bemendazole

JF-Expert Member
Nov 14, 2020
2,521
6,226
Kulingana na baadhi ya Watanzania kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Ilala kipo hakipo Kinondoni na kipo Ilala hakipo Kinondoni.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Ilala wale wa Kinondoni wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
 
Kwenye viwanda ILALA mpinzani wake ni TEMEKE ilala ina jumla ya viwanda 52 akifatiwa na Temeke. 51 Kinondoni ana viwanda 35 tu.
 
Kinondoni Kuna oysterbay,masaki , Morocco,mikocheni Aya ilala mtamalizia wenyewe
 
Kulingana na baadhi ya Watanzania kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Ilala kipo hakipo Kinondoni na kipo Ilala hakipo Kinondoni.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Ilala wale wa Kinondoni wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Ilala iko juu,maana sky scrapers ndefu zipo Ilala mass buildings za maghorofa zipo Ilala,CBD kubwa ipo Ilala,bandari ipo Ilala na biashara nyingi na kubwa zipo Ilala.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom