ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 74,609
- 139,983
Ndio wanatakiwa wachague ww unataka wafanye nn 🤣🤣🤣 kwani Nani amekwambia gati zote za dar hazimilikiwi na serekali ya Tanzania, tofautisha kuendesha na kumiliki, DP world iko mpaka marekani inaendesha bandari za marekani, Malaysia, Singapore, Egypt etcJoho hana uwezo wakumiliki gati hata moja Mombasa, kitu anachomiliki ni CFS mbili moja iko miritini nyingine ipo nairobi. Kurudia rudia jambo halitalifanya kuwa kweli gati zote Kenya zinamilikiwa na GOk tofauti na tanzania ambayo imeanza kuzipeana kwa kampuni binasfi kutoka Dubai (DP World). Saivi watu wameanza kuchagua Kama wabakie TPA ama waingie DP World
View attachment 2947477
Swali ni kwann kachagua dar port na sio Mombasa port , ntakupa homework kaa chini ujiulize Sana alaf aniletee majibu 🤣🤣