Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Compare and contrast. 🤣 🤣

2059848824-jpg.2938863
Capture-800x493.png
Mzee, the winner 🏆 ni Sisi mzee, kwa mkapa kwenyewe hakujai kila siku maana ya uwanja mkubwa hivyo ni nini!?
Arusha ndo capital ya track athletics hapa Tanzania, lazima tuwafikirie na wao.

Huo Talanta mmekurupuka tu!! Viwanja vyenu hujaa wakati wa siasa Tu au na Diamond akija kupiga shoo huko🤣. Unafikiri rugby ndo itajaza huo uwanja!! Kwa mashindano gani!!

Cape town green point stadium wana struggle na wao wanahost 7s series. Nyie hapo je itakuwaje???
Hata tukisema mpira, kwa mpira gani Kenya!? Bora mngeweka running track mka leverage na mbio zenu!!

Ila mmebugi mzee! Mtaniambia!
 
Negotiating stage.😎😎
 
Negotiating stage.😎😎
Sio mimi mzee, ni nyie, mngeweka running track hapo Talanta mngeweza pigana mkapata haya IAAF Diamond league series. Yakwamza Africa. Na mngeweza maana mngetumia leverage ya wakimbianaji wenu na mahusiano mazuri mliokuwa nayo na IAAF.

sasa kwenye rugby man leverage gani?? Timu yenu ya 15s ni mbovu!! Bora kwenye sevens kidogo ila huko pia mnajulikana kama wasimdikizaji tu!

Msipokuwa makini TALANTA will be a white elephant 🐘🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom