ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Mpe dawa akapumzishe domo 🤣🤣👇👇Wewe utakua hauna akili utakua zwazwa.
Kipindi cha ufunguzi wa AFL mataifa yalipigia upato mashindano yafunguliwe Benjamin Mkapa stadium kwasababu kuna uwanja mzuri na mkubwa wenye hadhi pili kuna motisha ya mpira hapa Tanzania.
Hata mataifa mengi yalichagua BM kama uwanja wa nyumbani kwaajili ya kufuzu Afcon 2023.
Kwasababu walipenda BM ulivyo na ubora na hadhi yake.
Kama CAF na rais wa FIFA wamesifia uwanja wewe ni nani uuponde??
Wivu utawasumbua ninyi na sababu zisizo za msingi.
View: https://youtu.be/AEBJ99gZdEs?si=iYwdqSJriR9DyIoz