Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Y’all going to drain your resources just to remain relevant to Kenya 😂😂
Started with Lamu port mkaanza bagamoyo (which was scaled to be bigger) sijui imefika wapi hio project, tukajenga SGR- nyinyi ndo hao mkalaunch esigiara ya umeme- 10 years and counting haijabeba abiria raia hata mmoja, tukanunua B 787-8’s… same thing and a lot of other projects, s
So your stadium story is no different. Let’s wait and see 😂
Tanzania inajenga 1500km of SGR hvi tunavoongea nyinyi yenu iliishiwa wapi naivasha maporini 🤣🤣🤣 over 3 yrs Leo hakuna treni ilishatembea kutoka nairobi kwenda naivasha

SGR ya Tanzania imefika 10 yrs?🤣🤣🤣🤣🤣

Haya tuoneshe ndege ilionunulia na Kenya airways B787 maana tunavojua Sisi
17 aircrafts loan
20 za kukodiaha
3 owned by kq na tena chakavu 🤣🤣🤣🤣

Kwani pinnacle na montave haikua same story??😅😅😅😅 Munaumizwa na maendeleo ya Tanzania mafedhuli nyinyi
 
Tanzania inajenga 1500km of SGR hvi tunavoongea nyinyi yenu iliishiwa wapi naivasha maporini 🤣🤣🤣 over 3 yrs Leo hakuna treni ilishatembea kutoka nairobi kwenda naivasha

SGR ya Tanzania umefika 10 yrs🤣🤣🤣🤣🤣

Haya tuoneshe ndege ilionunulia na Kenya airways B787 maana tunavojua Sisi
17 aircrafts loan
20 za kukodiaha
3 owned by kq na tena chakavu 🤣🤣🤣🤣

Kwani pinnacle na montave haikua same story??😅😅😅😅 Munaumizwa na maendeleo ya Tanzania mafedhuli nyinyi
Sisi tunavyopiga hatua kukabiliana na changamoto zetu kama taifa vijamaa vinahisi tunashindana navyo 🤣🤣🤣

Sasa sijui vilitaka tusijenge uwanja mpya eti kwasababu na wao pia wanajenga.? 🤣🤣

Sijui vilitaka tusijenge reli ya kisasa ili kurahisisha shughuli za kiuchumi nchini.? 🤣🤣

Sijui vilitaka tusijenge barabara pana ili kuondosha traffic jam mijini mwetu.? 🤣🤣

Hawa mbwa wanaumizwa sana na kuona taifa lingine likiendelea
 
Mbona waliiga BRT wakaishia kutoa kamasi 😅 na walidhani BRT ni kama Kula mutura au managu

Wana Wivu Sana na maendeleo ya Tanzania
 
tanzania had zero plans of building a stadium....even that sub standard thing they want to build in Arusha might never materialize. It's the same one in dodoma that they sang about in 2017 situation. They are building because Kenya is building..hehe
 
AFCON FINALS itakua ndani ya TALANTA STADIUM wapende wasipende, that has been sealed. 😂 😂 👇 👇 The only proper football stadium in the region.

What are the criteria for being recognised as a FIFA standard stadium
 
Back
Top Bottom