Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo Daladala hapo sio Hiace kama za post niliyojibu. Hizo Toyota Coaster,Nissan civilian 26+ passengers zipo hadi leo kwenye baadhi ya route.
Hiace ndio zimekuwa banned. That 1993 minivan you posted was Toyota Hiace aka Kipanya.
Show me a Hiace in this picture I posted.
1710668835490~2.jpg

Huenda tuanajadiliana na watu wasiojielewa
 
Uwanja kama huu wenye running track kwa mkoa wa Arusha ni kitu kizuri sana. Umekaa kimkakati sana, hasa katika masuala ya utalii. Msishangae kuona international sports nyingi zinazoshirikisha EAC, Africa au Dunia nzima zitakuwa zinafanyika hapo Arusha.
Mnacheka uwanja una running track, wakat sisi tuna mikakati yetu
Yani kwa sasa Arusha ikipigwa exhibition centre, ikaongezwa na conference centre moja kali!

Mbona itakuwa balaa!!
Maana kwa hiyo olympic size swimming pool. Tunaweza tukawa tunahost hata mashindano makubwa ya kuogelea.
 
Kuna siku uliambiwa Tz hatupendi miti? BTW hio miti ipo tangu hio barabara nimeanza kuiona.
Za Nairobi ndio hamupendi sivyo?
Mnapenda sana miti lakini zikiwa Nairobi, zinakuwa pori.

Sasa ita vilaza wenzako muimbe Ile wimbo mpendayo wa pori 😂😂
Screenshot_20231114-201923.png
Screenshot_20231114-201937.png
Screenshot_20231110-092048.jpg
Screenshot_20231109-163036.png
Screenshot_20231109-163036.png
Screenshot_20231109-115428.png
Screenshot_20231109-114858.png
Screenshot_20231103-232940.png
Screenshot_20231110-092302.png
 

Attachments

  • Screenshot_20231114-201923.png
    Screenshot_20231114-201923.png
    940.4 KB · Views: 4
Whether its a Hiace, Nissan Urvan,Caravan it's a minivan we call them Kipanya. Banned ages ago. Tell me it's not 30yrs old coz I know in Kenya you only use brand new cars.
Sema tu hujui Hiace ni gari aina gani bongolala badala ya hizi slideshows. It's impossible to know everything under the sun
 
Sema tu hujui Hiace ni gari aina gani bongolala badala ya hizi slideshows. It's impossible to know everything under the sun
Angalia hii mbuzii. Eti nisijue Hiace ni gari gani. Nyie Wakenya kwenye hii thread kama hamjatoka vijijini mmekulia kwenye umaskini sana. Kuna mpumbavu mwenzio humu alikuwa anasema kuna mtu hajui router ni nini? SMH
 
Sema tu hujui Hiace ni gari aina gani bongolala badala ya hizi slideshows. It's impossible to know everything under the sun
Hawa hawajuangi majina ya magari. Wanangoja utaje jina alafu google kuisearch and thrn thry come kupingana na wewe ni kama wanajua anything kumbe ni watu nunge. I saw it yesterday when I mentioned Nissan Dualis, the likes of Ichoboy walikimbilia google kujua hiyo ni gari gani.
 
Back
Top Bottom