Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu yule chokoraa wa kuokota ATM slip anakasirika juu nimesema hiyo stadium Iko na running track which they don't know how to use๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
ni lini mmeanza kutupangia cha kufanya sisi ndio hupanga kama tulivyompangia uganda bomba la mafuta lipite wapi. Na sasa mafuta pitisha tanga unapigwa unaona kastuka au ni namna gani.
 
Kuanzia awali nimekwambia kwamba Kinondoni Iko na makazi tofauti tofauti ulipoanza kupinga ile picha niliyopost kwamba si Kinondoni, Nimekukamata umeanza kubadili mada.? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Wewe ndio ulianza comparison za kipuzi after nimepost picha za South C. Ni vizuri umejua South C huwezi pata takataka kama hii. ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚

ScreenShot Tool -20240319123124.png
 
With no doubt, this will be the most beautiful stadia in Africa ๐Ÿ‘‡
GJBsTP5XoAABhhl.jpeg
GJBsThnXMAADqeN.jpeg
1268245040.jpg
kubabake ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ wazee wamepandisha hasira hadi wanataka kunilipia kodi ya mwaka mzima, kufaaleki ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ. Oya we NairobiWalker. Njoo huku mbuzi wewe.. pigia simu


The most important thing is huu uwanja unawekwa pale Chugaa the 3rd most developing city of Tz, yani kwa lugha raisi ni kwamba we are going to host Afcon in four different cities, Dar, Dom, A city and Zanzibar.

Kama nawaona wanuka nnya mioyo inavyowaenda mbio ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Kitu nimegundua kuhusiana na hii design ya huu uwanja wa Arusha ni kwamba wamelenga kufananisha na Tanzanite gamestone ambayo ulimwenguni kote unapatikana hapo Arusha tu, unaweza kuona kwa ukaribu hii design ๐Ÿ‘‡
GJBsTP5XoAABhhl.jpeg
GJBsThnXMAADqeN.jpeg
1268245040.jpg
..

Ila mimi nae nilitaka kupost picha moja ila nikajikuta Nimepost picha tatu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ kiherehere hiki duh..

Mniwie radhi wanuka mavi or sorry nilitaka kusema northeners ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom