Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuanzia awali nimekwambia kwamba Kinondoni Iko na makazi tofauti tofauti ulipoanza kupinga ile picha niliyopost kwamba si Kinondoni, Nimekukamata umeanza kubadili mada.? 🀣🀣🀣
Wewe ndio ulianza comparison za kipuzi after nimepost picha za South C. Ni vizuri umejua South C huwezi pata takataka kama hii. πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ˜‚ πŸ˜‚

ScreenShot Tool -20240319123124.png
 
With no doubt, this will be the most beautiful stadia in Africa πŸ‘‡
GJBsTP5XoAABhhl.jpeg
GJBsThnXMAADqeN.jpeg
1268245040.jpg
kubabake 🀣🀣🀣 wazee wamepandisha hasira hadi wanataka kunilipia kodi ya mwaka mzima, kufaaleki 🀣🀣. Oya we NairobiWalker. Njoo huku mbuzi wewe.. pigia simu


The most important thing is huu uwanja unawekwa pale Chugaa the 3rd most developing city of Tz, yani kwa lugha raisi ni kwamba we are going to host Afcon in four different cities, Dar, Dom, A city and Zanzibar.

Kama nawaona wanuka nnya mioyo inavyowaenda mbio 🀣🀣
 
Kitu nimegundua kuhusiana na hii design ya huu uwanja wa Arusha ni kwamba wamelenga kufananisha na Tanzanite gamestone ambayo ulimwenguni kote unapatikana hapo Arusha tu, unaweza kuona kwa ukaribu hii design πŸ‘‡
GJBsTP5XoAABhhl.jpeg
GJBsThnXMAADqeN.jpeg
1268245040.jpg
..

Ila mimi nae nilitaka kupost picha moja ila nikajikuta Nimepost picha tatu 🀣🀣🀣 kiherehere hiki duh..

Mniwie radhi wanuka mavi or sorry nilitaka kusema northeners 🀣🀣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom