Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1714402279332.png
 
Kuna kitu kinaitwa preserved architecture. KICC ni jengo ambalo limepata award nyingi kwa design yake ya kipekee. Ni miongoni mwa majengo ya Nairobi ambayo ni historical sites ambayo hayawezi bomolewa. Ukimodify hili jengo, utaaribu design yake ya mwanzo ndio maana lipo jinsi lilivyo na bado ndio the most respected conference center in East Africa na pia one of the best in Africa. Hivyo viti vipo jinsi vilivyo sababu tumetaka viwe hivo. Najua nyinyi watu wa kushobokea blue glass buildings hamwezi elewa maana ya preserved architecture.
Kwahiyo renovation mwiko? Nyoko sana wewe!
 
Back
Top Bottom