Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 29,695
- 26,214
Wewe nyang'au brt ni kifupi cha bus rapid transit. Sio kila public transport ni brt. Hebu nenda kajifunze Kiingereza vizuri😎Kingereza ndio huelewi ama?
Wewe nyang'au brt ni kifupi cha bus rapid transit. Sio kila public transport ni brt. Hebu nenda kajifunze Kiingereza vizuri😎Kingereza ndio huelewi ama?
Ni hivi Mama ameweka Nguvu kubwa sana kwenye sekta zinazowagusa wanawake na Watoto.Leo nimepata taarifa kuwa public hospitals za Tanzania ndio zinaongoza Africa nzima kwa huduma nzuri za tiba, vifaa na modernity
Ujenzi wa lile jengo ulikwama Toka 2018 na likawa na kesi zisizoisha,watu walipiga pesa wakasepa.Dah it seems tuna hela nyingi za kuchezea
Anajua maana ya BRT kwanza? Maana majibu yake yanatafakarisha. Kwake BRT ni commuter rail 🤣🤣🤣Where is BRT in Kenya??😂😂😂😂
Lakini bado ni jengo zuri tuu ambalo with good organisation kwa ndani lingefaa tuu kuliko kuingia gharama mpya.Ujenzi wa lile jengo ulikwama Toka 2018 na likawa na kesi zisizoisha,watu walipiga pesa wakasepa.
Mambo ya Samia haya ambayo haters wake Huwa hawataki kuyasikia 😂😂
View: https://youtu.be/_SS1HDFQKzc?si=5QpbnhZ3r5kp5kUq
Wamepita wengi hapo hakuna Cha maana wamwfanya.Hata Mwanza mnaenda kutibiwa na Samia 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/C38GTLAiifS/?igsh=MWNtamIyMWI5NzNvcA==
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣If You expect me to argue with you then I'm sorry to let you know that I don't have that time to waste.
Kama lilijengwa hayo mabilioni yaliyolewa Ili kukupamba wewe au?Jengo lishajengwa ww unaongelea jengo ambalo lipo kilichobakia ni kuweka vifaa😂😂 na tena linaoneshwa jengo lenyewe
Jengo la mbeya same limeshajengwa muda mrefu ilibakia ufunguzi 😂😂😂😂😂😂
Hakuna mtanzania mjinga SASA hvi
Aliesema limejengwa chini ya kiwango Nani?Wanasema eti limejengwa chini ya kiwango na limekaa kama godown 😂😂😂
Kama lilijengwa hayo mabilioni yaliyolewa Ili kukupamba wewe au?
Uwe unaelewa au kambishie RC basi ngoja nikupe Account yake 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/C38ECNAt1jk/?igsh=M3Nwa2IweGp4a2Fu
Hater unatapatapa sana 😁😁😁😁
Ingia kwenye jukwaa letu kule la Mwanza vs Arusha utamjua aliyesema.Aliesema limejengwa chini ya kiwango Nani?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Munatumia nguvu nyingi Sana lakini bahat nzuri ni kua kizuri lazma kijiuze Tu bila nguvuIngia kwenye jukwaa letu kule la Mwanza vs Arusha utamjua aliyesema.
Pili fuatilia taarifa zote za RC Makalla Utajua sababu
Jengo la abiria songwe limejengwa toka kipindi cha magu na limemalizika muda tu🤣🤣🤣
Nashangaa Sana kwann watu wanatumia nguvu Sana
View: https://twitter.com/ngaizer/status/986598212667666432?t=_cz0qwNjg2SILr-fHAf5mw&s=19
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mada imebadilika sasaKwa nini lilikuwa halitumiki? Mlikuwa mnasubiria nini? Sisi tunajua Samia ndio ametukamilishia uwanja Wetu kuwa wa Kisasa,full stop.