Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo nimepata taarifa kuwa public hospitals za Tanzania ndio zinaongoza Africa nzima kwa huduma nzuri za tiba, vifaa na modernity
Ni hivi Mama ameweka Nguvu kubwa sana kwenye sekta zinazowagusa wanawake na Watoto.

Kuanzia Zahanati Hadi Hospitals Kuu kama hizo za Kitaifa Kuna vifaa tiba vya kutosha na kazi inaendelea 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C34oaemqMmQ/?igsh=MWcyZ3o3dDB0cHR6Mg==

View: https://www.instagram.com/p/C3xJ88VLFU6/?igsh=dXJicGlpNGg2ZGQ2
 
Mambo ya Samia haya ambayo haters wake Huwa hawataki kuyasikia 😂😂

View: https://youtu.be/_SS1HDFQKzc?si=5QpbnhZ3r5kp5kUq

Wamepita wengi hapo hakuna Cha maana wamwfanya.Hata Mwanza mnaenda kutibiwa na Samia 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C38GTLAiifS/?igsh=MWNtamIyMWI5NzNvcA==

Jengo lishajengwa ww unaongelea jengo ambalo lipo kilichobakia ni kuweka vifaa😂😂 na tena linaoneshwa jengo lenyewe

Jengo la mbeya same limeshajengwa muda mrefu ilibakia ufunguzi 😂😂😂😂😂😂

Hakuna mtanzania mjinga SASA hvi
 
If You expect me to argue with you then I'm sorry to let you know that I don't have that time to waste.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Jengo lishajengwa ww unaongelea jengo ambalo lipo kilichobakia ni kuweka vifaa😂😂 na tena linaoneshwa jengo lenyewe

Jengo la mbeya same limeshajengwa muda mrefu ilibakia ufunguzi 😂😂😂😂😂😂

Hakuna mtanzania mjinga SASA hvi
Kama lilijengwa hayo mabilioni yaliyolewa Ili kukupamba wewe au?

Uwe unaelewa au kambishie RC basi ngoja nikupe Account yake 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C38ECNAt1jk/?igsh=M3Nwa2IweGp4a2Fu

Hater unatapatapa sana 😁😁😁😁

Unaumia sana baada ya kuona kwamba Samia Ametoa Pesa za kukamilisha ujenzi wa jengo la abiria,kufanya runway,kufunga taa na Sasa coldroom facilities loading
 
Ningependa kujua zile weapons tanzania wana produce
1709236547074.png

1709236506807.jpeg

IMG_9533.jpeg

Ama ni nyumbu
1709236720680.jpeg
 
Attachments

  • 1709236475887.jpeg
    1709236475887.jpeg
    45.1 KB · Views: 1
Kama lilijengwa hayo mabilioni yaliyolewa Ili kukupamba wewe au?

Uwe unaelewa au kambishie RC basi ngoja nikupe Account yake 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C38ECNAt1jk/?igsh=M3Nwa2IweGp4a2Fu

Hater unatapatapa sana 😁😁😁😁

Jengo la abiria songwe limejengwa toka kipindi cha magu na limemalizika muda tu🤣🤣🤣
Nashangaa Sana kwann watu wanatumia nguvu Sana

View: https://twitter.com/ngaizer/status/986598212667666432?t=_cz0qwNjg2SILr-fHAf5mw&s=19
 
Back
Top Bottom