Ulivyo fala unashindwa kujua kwamba watanzania wapo zaidi ya milioni 65. If we do calculations, then here under will be the true answer 👇👇
Tanzania popn = over 65m
Tz = 1.7m÷65m×100
= 2.6%
Kenya population= over 50m
Ke = 1.4m÷50m×100
= 2.8%
So, kwa maneno mepesi kenya kuna maambukizi mengi kuliko Tanzania, hii hata kiuhalisia tu iko wazi, no Wonder kanchi kadogo mpo wengi kama kumbikumbi, mnapigana miti mpaka kwenye recreational parks, tena wazi wazi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣