Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unauliza about funding wakati groundbreaking ishafanyika meaning kazi imeanza rasmi!

Round hii mtalilia chooni😆
Kenya sio Tanzania, mtaishia kuchekesha tu, tafadhali post GTC ya mchina na vile vi apartments vya foreigners, apo Kenya kwishaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ujenzi gani wakati wanafanya recycling!

They are not building anything from scratch for AFCON. They are simply renovating their rundown facilities
Napenda vile wameweka running track nje ya main stadium. Viwanja vingi vya Africa huwa havina envrionment poa kama vya ulaya kisa vimezungukwa na running track na kufanya mashabiki wawe mbali sana na action.
 
Kenya sio Tanzania, mtaishia kuchekesha tu, tafadhali post GTC ya mchina na vile vi apartments vya foreigners, apo Kenya kwishaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Vi apartments vya foreigners?😂😂
Kumbe huwa zinakuumiza sana?
I had no idea.

Now tell me, which foreigners own these ones one by one?
maxresdefault (1).jpg
images - 2023-12-07T211849.083.jpeg
images - 2023-12-07T211127.473.jpeg
images - 2023-12-07T203258.032.jpeg
e3a5ed1c240e4a8faa7c3503dfa4430e_387749552_1454818338634714_9099578824105438464_n.jpg
1709143227607.jpg
images (96).jpeg
 
Napenda vile wameweka running track nje ya main stadium. Viwanja vingi vya Africa huwa havina envrionment poa kama vya ulaya kisa vimezungukwa na running track na kufanya mashabiki wawe mbali sana na action.
The first one of its kind in East and Central Africa
 
Huo uwanja mpya wa kunyan utajaa watu wakati wa afcon baada ya afcon watafugia mbuzi na machokoraa
Naona rhythms zishaanza kubadilika! Kuna wenye washaanza kuona uwepo wa huo uwanja, tena ikijaa wakati wa AFCON. 😆😆😆

Polepole tutaelewaba tu mibongolalala

Hey you doubting Thomases!!!
 
Napenda vile wameweka running track nje ya main stadium. Viwanja vingi vya Africa huwa havina envrionment poa kama vya ulaya kisa vimezungukwa na running track na kufanya mashabiki wawe mbali sana na action.
Unaonekana hujui kuhusu viwanja kabisa.
Hata ulaya kuna viwanja vina running tracks nje na ni moja kati ya viwanja bora Afrika hakuna.
Au nikuletee mifano??
Kiwanja hutizamwa playing pitch,eneo la benchi la ufundi,pakubadili nguo,majukwaa.
 
Tanzania kiviwanja tunahitaji marekebisho machache sanaaa.
Sio kama ninyi,suala la viwanja vya mpira Tz usiguse kijana.
I've never understood where you guys get the confidence to brag about stadiums. Which stadiums for heaven's sake?🤣
 
Naona rhythms zishaanza kubadilika! Kuna wenye washaanza kuona uwepo wa huo uwanja, tena ikijaa wakati wa AFCON. 😆😆😆

Polepole tutaelewaba tu mibongolalala

Hey you doubting Thomases!!!
Wewe kweli ni kichaa 🤣🤣🤣 mpaka kufkia sasa sisi tayari tuko na viwanja viwili already kwaajili ya Afcon, hiv hapa 👇
Zanzibar.jpg
-1751056540.jpg
another one 👇
FMjWf9UXIAQQ5ta.jpg
.. they're both qualify CAF standards, na likija suala la kujenga viwanja vipya sisi tunajenga viwanja viwili, kati ya hivyo kimoja hiki hapa render yake hii Arusha stadium 👇
Arusha_Stadium.png
F7MuDXoX0AEWITB.jpg
vs hii renda enye ndio utakua Uwanja pekee wenye utapata CAF standards 👇
ta1.JPG
🤣🤣🤣🤣 sasa sijajua unatutishia nini
 
Back
Top Bottom