Kingereza ndio huelewi ama?Where is BRT in Kenya??😂😂😂😂
Onesha BRT jaluo jinga wewe😂😂😂😂Kingereza ndio huelewi ama?
Akii haya jamaa majinga!!Onesha BRT jaluo jinga wewe😂😂😂😂
BRT yetu itakua longest 50km iko wapi sasa
View attachment 2920552
Unafkiri BRT ni kama Kula githeri😂😂😂
Ni kweli au wanamzushia mzee wa Ruksa
View: https://twitter.com/MwanaHabariNews/status/1763246585952039207?t=x6tayNhYEhsy3q0kGu1LTQ&s=19
Sema bongo hii tabia ya magari kupakiwa kwenye njia za watembea kwa miguu sijui itaisha lini Yani inanikera mpaka basi
Wewe bwege nimevuka kigongo Busisi na ferry kote nakufahamu.UNA UTINDI WA UBONGO.
Halafu kwa kutaja Ferri umejichimbia kaburi mwenyewe.
PALE FERI KUVUKA ULE UMBALI AMBAO HATA MITA 500 HAZIJAFIKA INACHUKUA NUSU SAA NZIMA MIMI NAVUKAGA.
SASA PIGIA MAHESABU KWA KILOMETA 30 MTAVUKA KWA MASAA MANGAPI??
PIA USIFANANISHE SHUGHULI ZA DAR NA MWANZA,WATU WA KIGAMBONI NA KIVUKONI WENGI WA MAOFISINI NA WAFANYABIASHARA,WENGI WAO UHAKIKA WA MSHAHARA UPO.
Watu wa kigogo Busisi wengi wao asipoenda kujishughulisha MKONO HAUENDI KINYWANI HIYO NDIO MAANA HALISI YA HAND TO MOUTH.
Yani bila kazi ya kila siku mkono hauendi kinywani.
USIKUTE NABISHANA NA WEWE HATA MAANA YA HAND TO MOUTH HUKUITAMBUA.
Narudia tena kama Kigamboni kwenda Kivukoni umbali wa nusu kilometa kivuko hutumia nusu saa je umbali wa kilometa 30+ utatumia masaa mangapi??
We huoni utakua unachelewesha uzalishaji na shughuli za watu za kiuchumi???
If You expect me to argue with you then I'm sorry to let you know that I don't have that time to waste.Onesha BRT jaluo jinga wewe😂😂😂😂
BRT yetu itakua longest 50km iko wapi sasa
View attachment 2920552
Unafkiri BRT ni kama Kula githeri😂😂😂
Mambo ya Samia haya ambayo haters wake Huwa hawataki kuyasikia 😂😂
View: https://youtu.be/_SS1HDFQKzc?si=5QpbnhZ3r5kp5kUq
Wamepita wengi hapo hakuna Cha maana wamwfanya.Hata Mwanza mnaenda kutibiwa na Samia 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/C38GTLAiifS/?igsh=MWNtamIyMWI5NzNvcA==
Wanasema eti limejengwa chini ya kiwango na limekaa kama godown 😂😂😂Hivi lile jengo jipya la abiria lenye glass cladding shida yake ni nini mbona liko poa tuu na bado halijaanza kutumika?
Wakundustan wamekubali mziki wa Tanzania 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C375WpMKTxm/?igsh=MTZhdTNtb2ZiajJiNA==
Delusional 🤣🤣🤣Very eager to see the route that will be taken if Tanga Port is the one to be used.
View attachment 2920429
Dah it seems tuna hela nyingi za kuchezeaWanasema eti limejengwa chini ya kiwango na limekaa kama godown 😂😂😂