Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kutana na ndugu wa damu wa Bwana Dickson Mwai Sadika in his dealings😅😅
E73073F7-5076-4E54-ACE6-438726AF13A6.jpeg
 
Kwann wasijenge majukwaa kabisa ili baadhi ya mechi kubwa duniani zije kupigwa hapo kama sehemu ya kuweka historia, wazungu wanapenda sana upekee, ukijenga kwa standard ya dunia huo uwanja lazima upate utalii wa kutosha, tatizo la Africa ni kutojiamini na kudhani baadhi ya mambo sio level zetu kumbe sio kweli, tunapenda jua kali jua kali tu.
Sidhani kama ita-make business sense! Uwe uwanja wa tennis kwa kiingilio kipi cha ku-support utalii product ya sports ndani leisure attraction? Halafu unajua what it takes say to come up with EIA ya kuruhusu ujenzi wa tennis court ya 20,000 seats in a WHS?
 
Back
Top Bottom