Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwann wasijenge majukwaa kabisa ili baadhi ya mechi kubwa duniani zije kupigwa hapo kama sehemu ya kuweka historia, wazungu wanapenda sana upekee, ukijenga kwa standard ya dunia huo uwanja lazima upate utalii wa kutosha, tatizo la Africa ni kutojiamini na kudhani baadhi ya mambo sio level zetu kumbe sio kweli, tunapenda jua kali jua kali tu.
Sidhani kama ita-make business sense! Uwe uwanja wa tennis kwa kiingilio kipi cha ku-support utalii product ya sports ndani leisure attraction? Halafu unajua what it takes say to come up with EIA ya kuruhusu ujenzi wa tennis court ya 20,000 seats in a WHS?
 
Nyinyi vilaza vya bongo mtasumbuka sana.
View attachment 2834948View attachment 2834961View attachment 2834963
And this is how the final products will look like upon completion
View attachment 2834965View attachment 2834967View attachment 2834969
View attachment 2834982
Sasa nenda kalilie chooni
Kumbe Kisumu ndio mnaanza kujenga saizi 😂😂

Shindaneni kwanza na Sumbawanga
maxresdefault.jpg
maxresdefault.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom