Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Yeye alikua anajaribu kucheza fix mimi nimembonda na vitu vyenye ni real kwa ground🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hio picha ndio 8km ??
Yeye alikua anajaribu kucheza fix mimi nimembonda na vitu vyenye ni real kwa ground🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hio picha ndio 8km ??
🤣🤣🤣🤣 Hii taarifa nilikua sijaiona. Jamaa kumbe ndio wanataka wafungue portal ya kuangalia matokeo mwaka kesho.? 🤣🤣🤣🤣🤣. Hii tumetumia Tz mbona ni muda mrefu sana. Mdogo angu nilimuangalizia tokeo lake la kidato cha nne 2015 . NairobiWalker nyie mbwa mpo nyuma yetu in so many ways.Utasikia kondoo mmoja akisema wametuacha mbali kweli technology. 😂😂😂
So You've changed gear from "wapi madirisha?" and you are now talking about muonekano and elevators?😅😆The buildings r ugly! Pretty sure no elevators will be provided!
Hizi chocolate bars zimefikaje huku jukwaani? Alafu zinatajwa kwenye sentensi na Kisumu?? Jokers mko wengi sana humuKumbe Kisumu ndio mnaanza kujenga saizi 😂😂
Shindaneni kwanza na Sumbawanga View attachment 2835349View attachment 2835349
Haya majamaa ni zero brain kabisa yaani Hadi Leo hii hawana portal ya kuangalizia matokeo 😂😂
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1732695273850249268?t=Obr3bHyFwChFDoYThIs2IQ&s=19
Ati Kisumu umepata this year?😂😂Utakunya kwa wivu, baada ya kuona madai yako ni upuuzi mtupu umekimbilia kusema zingine sio traffic lights 🤣🤣🤣🤣. Wewe ni mpumbavu. Sina muda wa ku zoom mimi your claims can't change nothing.. traffic lights kwa Mwanza zipo karibu maeneo yote muhimu ya katikati ya mji na nje pia.. I've just decided to show you kwamba wewe ni kima unavyonaia eti Mwanza hakuna traffic lights eti kwasababu Kisumu ndio imepata moja this year. 🤣🤣🤣 Mimi nilifika Mwanza my first time 2018 na nilizikuta mingi tu.
Kidato cha nne umeenda mbali sana.🤣🤣🤣🤣 Hii taarifa nilikua sijaiona. Jamaa kumbe ndio wanataka wafungue portal ya kuangalia matokeo mwaka kesho.? 🤣🤣🤣🤣🤣. Hii tumetumia Tz mbona ni muda mrefu sana. Mdogo angu nilimuangalizia tokeo lake la kidato cha nne 2015 . NairobiWalker nyie mbwa mpo nyuma yetu in so many ways.
Nilitaka niulize same qns😂😂😂😂😂Kwahyo mzee baba hapa unatutambia pavements au.? 🤣🤣
Haya majamaa ni zero brain kabisa yaani Hadi Leo hii hawana portal ya kuangalizia matokeo 😂😂
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1732695273850249268?t=Obr3bHyFwChFDoYThIs2IQ&s=19
Haya majamaa ni zero brain kabisa yaani Hadi Leo hii hawana portal ya kuangalizia matokeo 😂😂
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1732695273850249268?t=Obr3bHyFwChFDoYThIs2IQ&s=19
By 2030 all major highways in Nairobi will be dual carriageways. Kazi inaendelea hapa Limuru Road
View: https://youtu.be/cBfl8Nn0aNQ?si=y-zJVqBHThY-mcZ0
Uwende ukawaulize wao kwnn wamekuja kujifunza huku wkt wana yakwao inafanya kazi, ukimaliza kuwauliza wa Ethiopia uende ukawaulize na CAF kwnn nchi nyingi za Afrika mkiwemo nyie mmechagua kutumia viwanja vyetu vya mpira wakati mna vyenu.Benchmarking for what?
Na wako na Yao inafanya KAZI since 2016?
Ama yenu Iko na traffic ya maana mnabeba tonnes of cargo plus million's of Passengers tayari
Hasira haitokusaidia chochote 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii ni port ama slum
Vile ni kadogo!!!
Tulileta battle ya dual humu tukawachapa vibaya.Sisi Dar siku nyingi all major roads ni dual.
Serikali imeanza kazi imebaki kwa private sector na hata wasipokuja tutajenga wenyewe kupitia GoT.I think ni muda sasa wa kuona private investments zinawekwa hapo. Eneo kubwa la mji ambalo lipo well planned na lami kali kabisa bado linaonekana lipo empty.. what's their plan.?
Kenya nzima.Hivi Jiji Gani Kenya watu wankufa njaa?
Barabara juakali tupu.Hizi picha nilibahatika kupiga mwaka jana kwenye maeneo kadhaa ya jiji la Mwanza, wala sikua najua kama kuna siku nyie wapumbavu mtauliza kuhusu traffic lights za Mwanza humu ndani, luckly I did.. heb fumbua macho we kima 👇View attachment 2835492nyingine👇View attachment 2835494tena👇View attachment 2835495ingine👇View attachment 2835496nyingine👇View attachment 2835497View attachment 2835499hiki ni kitu cha kawaida huko Mwanza traffic lights zipo kaziru kila sehemu yenye msongamano.