Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,913
- 103,782
Kelele zote na Kisumu haikuwa na traffic lights? Khaa wanaweka kwa mainstream media kabsaa? Eti walikuwa wanashindanisha Kisumu na Mwanza! Ukunya ni tabia!
Sasa aje atuambie kati ya lift ya ghorofa na traffic light ipi muhimu.Kelele zote na Kisumu haikuwa na traffic lights? Khaa wanaweka kwa media kabsaa?
Kumbe Kisumu ndio mnaanza kujenga saizi 😂😂Nyinyi vilaza vya bongo mtasumbuka sana.
View attachment 2834948View attachment 2834961View attachment 2834963
And this is how the final products will look like upon completion
View attachment 2834965View attachment 2834967View attachment 2834969
View attachment 2834982
Sasa nenda kalilie chooni
By 2030 all major highways in Nairobi will be dual carriageways. Kazi inaendelea hapa Limuru Road
View: https://youtu.be/cBfl8Nn0aNQ?si=y-zJVqBHThY-mcZ0
Umesikiliza vizuri hii video ama darasani ulikuwa kilaza? Kuna mahali walifanya makosa kwenye ujenzi wa SGR yao tulipokwenda kwao for benchmarking tuliweza kujenga ya kwetu bila kuwepo na makosa waliyofanya Ethiopia nao wamekuja sasa kujifunza nini tulichofanya ili kukwepa makosa waliyofanya wao hapo mwanzo.Benchmarking for what?
Na wako na Yao inafanya KAZI since 2016?
Ama yenu Iko na traffic ya maana mnabeba tonnes of cargo plus million's of Passengers tayari
Sisi Dar siku nyingi all major roads ni dual.🤣🤣 Wazee mnafkiria kujenga vitu obvious. Hadi ukifika huo mwaka DAR yote iko na BRT all over
Utakuwa mkongwe wewe 🤣🤣🤣😂😂😂😂😂Swaraj Mazda, umenikumbusha mbali sana
Kweli Mbeya walikosa lifti miaka mingi ila hawakuwahi kufa kwa njaa. Vyakula kule kila kona, mpaka vinaoza.Whatever you say, mji size ya Mbeya kukosa lift ni aibu.
Hivi Jiji Gani Kenya watu wankufa njaa?Kweli Mbeya walikosa lifti miaka mingi ila hawakuwahi kufa kwa njaa. Vyakula kule kila kona, mpaka vinaoza.
Hivi Jiji Gani Kenya watu wankufa njaa?
Mwanza gani!Meanwhile, Mwanza has no traffic lights.
Ni Mwanza gani unaongelelea budaa.? 🤣🤣🤣.Meanwhile, Mwanza has no traffic lights.
Haamini anachokiona😂😂😂. Wala kama tumewazidi na kuwaacha mbali.Mwanza gani!
USHAURI KWA TANROADS MKOA WA MWANZA BAADA YA KUWEKA TAA ZA KUONGOZA MAGARI KATIKA ENEO LA BUZURUGA.
BMG BLOGwww.bmgblog.co.tz
Somehow, BRT may never work in Kenya especially in Nairobi. Nairobians have a kind of culture that makes implementation of BRT quite difficult.🤣🤣 Wazee mnafkiria kujenga vitu obvious. Hadi ukifika huo mwaka DAR yote iko na BRT all over