tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,198
Ndio maana hasa ya serikaliMkapa alipitisha tu kama raisi ila mambo mengi aliyafanya jpm akiwa kama waziri.
Mawaziri wa sasa hivi no ubunifu wanasubiri maelekezo Toka juu
Ndio maana hasa ya serikaliMkapa alipitisha tu kama raisi ila mambo mengi aliyafanya jpm akiwa kama waziri.
Mawaziri wa sasa hivi no ubunifu wanasubiri maelekezo Toka juu
Sijasahau kazi ya mwamba lahashatuusan, nchi lazima iwe na vipaumbele na kuvisimamia kwa nguvu zote. Enzi za Nyerere vipaumbele vilikua ni Elimu, Afya, kilimo na viwanda.
Kwa uwezo wa uchumi wetu wakati ule, hayo yalitosha Sana kukausha pesa ya taifa.
Nyerere alifanikiwa kujenga shule nyingi na kutoa Elimu na Afya Bure, wakulima walipewa pembejeo Bure au kwa malipo kidogo Sana, wakulima hawakukopwa mazao yao. Viwanda vilijengwa na kutapakaa nchi nzima.
Ktk kutimiza vipaumbele hivyo, baadhi ya maeneo yalidumaa kabisa, Barabara na reli vilidumaa, mishahara ya watumishi ilikua midogo Sana, bidhaa muhimu hazikupatikana madukani, zikiwemo nguo, sabuni, sukari na vinginevyo. Watumishi hawakulalamika Sana kwasababu Nyerere alikua alieleza nini anataka kuifanyia nchi.
Magufuli pia alikua na vipaumbele vyake, reli, Barabara, viwanda, Afya na Elimu na ujenzi wa meli na kufufua ATCL, nidhamu na uwajibikaji serikalini, kubana matumizi serikalini
Alikua akisema kwamba, hatoweza kuongeza mishahara hadi atakapokamilisha hiyo miradi, sote tuliona ni kiasi gani hii miradi ambayo watangulizi wake waliogopa hata kuigusa lakini yeye aliamua kuianza.
Kati ya Kikwete ambaye kila mwaka alikua akiongeza mishahara na kusafiri kila wiki lakini alishindwa hata kujenga daraja la Wami, na Magufuli ambaye alikua hasafiri Wala kuongeza mishahara lakini alifanikiwa kukusanya pesa ya kujenga
1)Bwawa la Nyerere $2.9B
2)Daraja la Kigongo busisi Tsh 700B
3)Ndege 11 za ATCL $700M
4)Upabuzi wa Barabara ya Kibaha $60M
5)Daraja la Wami
6)Mali ya MV Mwanza Tsh 90M
7)SGR Dar - Moro $1.9B
Hivi kweli unasahau haya yote eti kwasababu watumishi wa serikali wasiozidi 2M hawajaongezewa mishajara?.
Sasa ukiacha kuongeza mishahara, tena kwa asilimia ndogo ambayo bado haiwatoshi ninyi watumishi hebu tupe vipaumbele vya SSH, ukiacha hiyo miradi aliyoikuta.
It was first few people now new reason is Arid, I don't see the relation between being Arid and lack of infrastructureTurkana is a very arid county, 3 times the size of Rwanda.
If it had the same population density as Rwanda, its population would be 40 million.
It's a miracle anyone lives in such hostile conditions.
Kama ulaya mwanangu au sio
Yote uliyotaja katika sekta ya Afya na kilimo ni muendelezo ya aliyoanzisha Magufuli, vifaa vyote vikubwa katika Hospital zetu ni kazi ya Magufuli. Mimi nilikua hapo Muhimbili kipindi cha Mwinyi na Mkapa Hadi Kikwete, hali ya Hospital zetu ilianza kubadilika mara tu JPM alipoingia madarakaniSijasahau kazi ya mwamba lahasha
Viapaumbele ya SSH kwa navyoliona game lake ni kama ifuatavyo
1.Afya (kwasasa ruzuku za dawa zinafika kwa wakati,vifaa vya kisasa vinakuja mara kadhaa na kaongeza watumishi )
2.Elimu(kuondoa ada f6,kuongeza budget ya mkopo wanafunzi wa vyuo vikuu,fedha za tafiti nk), kijenga madarasa elimu ya sekondari na kuajiri walimu)
3.Mazingira rafiki ya biashara na uwekezaji(task force kuondolewa watu wamalipa kodi bila kutumia nguvu kubwa, apa hata revenue imeongezeka)
4.Kilimo..(kupandisha budget ya kilimo×4 na kuanzisha block farms nk)
It was first few people now new reason is Arid, I don't see the relation between being Arid and lack of infrastructure
It was first few people now new reason is Arid, I don't see the relation between being Arid and lack of infrastructure
Umia pole pole mana hakuna uwezekano wa kupata electrifitried SGR wala BRT system huko kwenu kwa miaka 100 ijayo.
Mbona hauna adabu?Bongolala pathetic education on display again. Babu Nyerere aliwakosea sana.
If you can't see the relationship between land size and population, you are just as illiterate as the everyone thinks TZ people are.
Kila kitu kimesanifiwa na wachina hapo,mlianza kusema hatuwezi jenga sgr sahv mnasema the slowest?ushawahi drive at 160km/hr ukaona namna gari inatembea ama unaongea tu..Mje Nairobi mjifunze architectural designs.
Na venye huwa mnachocha hio electric SGR yenu, mgeni anaweza kadhani speed yake ni 400km/h kama zinazojengwa nchi zingine.
Kumbe tofauti yake na SGR ya Kenya ni 20km/h
Ikimalizwa, Tanzania itashikilie rekodi ya 'THE SLOWEST ELECTRIC TRAIN IN THE WORLD'
View attachment 2406739
Hawa ndio wana IQ kubwa na elimu nzuri ukanda huu ....Wakenya wapo kwenye line ya msaada wa chakula
Kumbe unatambua mkikuyu ndiye kingpin wa East and Central AfricaHawa ndio wana IQ kubwa na elimu nzuri ukanda huu ....
Nilichogundua wakenya hawana aibu daaa...Hawa ndio wana IQ kubwa na elimu nzuri ukanda huu ....
Njoo ukawaambie ombaomba wenu huku mitaani.Nilichogundua wakenya hawana aibu daaa...
Tz mtu kupewa chakula bure anaona aibu yaani
160km/hr - 120km/hr = 20km/hr eti?Mje Nairobi mjifunze architectural designs.
Na venye huwa mnachocha hio electric SGR yenu, mgeni anaweza kadhani speed yake ni 400km/h kama zinazojengwa nchi zingine.
Kumbe tofauti yake na SGR ya Kenya ni 20km/h
Ikimalizwa, Tanzania itashikilie rekodi ya 'THE SLOWEST ELECTRIC TRAIN IN THE WORLD'
View attachment 2406739