Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,317
- 79,780
Hata Nairobi kwenye quality Hotels inakalishwa Zanzibar haina mpinzani kwenye Hotels East and central Africa!alaf mombasa ndio ishindane na znz ya 2021 hahahha acheni Mungu aitwe Mungu
Hata Nairobi kwenye quality Hotels inakalishwa Zanzibar haina mpinzani kwenye Hotels East and central Africa!alaf mombasa ndio ishindane na znz ya 2021 hahahha acheni Mungu aitwe Mungu
That was not the point, na ujue pia Kenya imewekeza kwa wind, solar na geothermal.., ila kabla ya kufanya haya kwa Tz na Kenya, still u were below in fuel consumption.., pia ikija kwa umeme ni vile vile, mko chini ukilinganisha so nothing to yap about here π π , anyway pongezi kwa maendeleo ya gesi, hope it boost your economyπππMuhimu ni kwamba, wakati Kenya mnatumia kigezo cha utumiaji wa mafuta mengi kuwa ni "positive" na inaonekana mnazidi kuongeza matumizi ya mafuta, sisi tunatazama "opposite" kabisa na ninyi, ndio sababu tuaongeza uzalishaji wa umeme na gesi, tunabadili matumizi ya mafuta katika maeneo mengi na tuna "replace"umeme na gas.
Mitambo mingi ya kuzalisha umeme ambayo awali ilikua ikitumia mafuta, Sasa inatumia gas, viwanda vingi ambavyo awali vilikua vinatumia mafuta, ikiwemo migodi ya madini, Sasa hivi vinatumia gas au umeme.
Another empty rhetoric as usual π π π π π ., hadithi za vijiweni nimezizoea kutoka kwako π π π π π π π π ., sawa nimesikiza hadithi as I sip kahawa tungu na njugu karanga, na relax uki ni entertain π π π π π π π
ππππ Dah .!Sisi ni nyang'au hilo usisahau, lazima tutawanyang'anya biashara kadhaa.., watch, na usilie wao si Tz, we rule Eastern Africa π π π π π π
kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake,hivyo mjinga siku zote anaachwa na ujinga wake maana hata ukimpa werevu hawezi eremika,Sasa ujinga yangu inakusaidia nini, wewe si uwekee uerevu wako tuone then
U rule Eastern Africa kwa njaa!Sisi ni nyang'au hilo usisahau, lazima tutawanyang'anya biashara kadhaa.., watch, na usilie wao si Tz, we rule Eastern Africa π π π π π π
Why are you so angry sir?U rule Eastern Africa kwa njaa!
reminded u on what exactly Kenya leads in Eastern and central Africa! NJAA...Why are you so angry sir?
Is that enough to make you so angry? πreminded u on what exactly Kenya leads in Eastern and central Africa! NJAA...
Kwani ulichoambiwa ni uongo kijana.? ππππ Hapa ndio mnatuongozea EAIs that enough to make you so angry? π
suala kama hili, Tanzania tunakwama wapi kujenga viwanja vipya 3 ?
ujue sionagi ugumu Tanzania kuwa na viwanja vya kisasa vya mpira wa miguu angalau vinne kama cha Mkapa stadium
$500 mln worth of investment in Zanzibar
Ila hawa wakenya wanaakili za kipumbavu sana.. iko hiv, kusafirisha mizigo kutoka Ethiopia mpaka Djibouti zamani walitumia malory lakini ili kurahisisha zaidi jamaa wakatengeneza reli ili mizigo ya Ethiopia iingizwe Djibouti then isafirishwe kwa reli kuelekea Ethiopia.. π. Ajabu eti wakenya wanataka wawe wanapokea na kuingiza mizigo ya Ethiopia kwa aslimia kubwa kuliko nchi yoyote EA πππ kupitia mradi wa Lamu port, bila miundombinu wezeshi yoyote.. ππ huu ni uchizi na kuna matahira tukiyaambia huu mradi ni white elephant yanabisha kwa kelele kama hizi π
ππππ Dah .!
πππ Jamaa ni kama wamekatwa vichwaYani ni ujinga waliofanya yani hawa jamaa kitu kitakacho wasevu labda wajenge SGR mpaka mpakani na ithiopia ila bandari tuu ya lamu ni kazi bure kwa sababu we fikiria gharama za kusafirisha kwa reli haiwezi kuwa sawa na kusafirisha kwa malori na kinginee wachina wanampango wakulink SGR ya ithiopia na bandari ya Djibouti kwaiyo yajayoo yanafurahishaππ