Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Muhimu ni kwamba, wakati Kenya mnatumia kigezo cha utumiaji wa mafuta mengi kuwa ni "positive" na inaonekana mnazidi kuongeza matumizi ya mafuta, sisi tunatazama "opposite" kabisa na ninyi, ndio sababu tuaongeza uzalishaji wa umeme na gesi, tunabadili matumizi ya mafuta katika maeneo mengi na tuna "replace"umeme na gas.

Mitambo mingi ya kuzalisha umeme ambayo awali ilikua ikitumia mafuta, Sasa inatumia gas, viwanda vingi ambavyo awali vilikua vinatumia mafuta, ikiwemo migodi ya madini, Sasa hivi vinatumia gas au umeme.
True
 
That was not the point, na ujue pia Kenya imewekeza kwa wind, solar na geothermal.., ila kabla ya kufanya haya kwa Tz na Kenya, still u were below in fuel consumption.., pia ikija kwa umeme ni vile vile, mko chini ukilinganisha so nothing to yap about here πŸ˜‚ πŸ˜‚ , anyway pongezi kwa maendeleo ya gesi, hope it boost your economyπŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Ila hawa wakenya wanaakili za kipumbavu sana.. iko hiv, kusafirisha mizigo kutoka Ethiopia mpaka Djibouti zamani walitumia malory lakini ili kurahisisha zaidi jamaa wakatengeneza reli ili mizigo ya Ethiopia iingizwe Djibouti then isafirishwe kwa reli kuelekea Ethiopia.. πŸ‘‡. Ajabu eti wakenya wanataka wawe wanapokea na kuingiza mizigo ya Ethiopia kwa aslimia kubwa kuliko nchi yoyote EA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kupitia mradi wa Lamu port, bila miundombinu wezeshi yoyote.. πŸ˜‚πŸ˜‚ huu ni uchizi na kuna matahira tukiyaambia huu mradi ni white elephant yanabisha kwa kelele kama hizi πŸ‘‡
Another empty rhetoric as usual πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., hadithi za vijiweni nimezizoea kutoka kwako πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., sawa nimesikiza hadithi as I sip kahawa tungu na njugu karanga, na relax uki ni entertain πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Sisi ni nyang'au hilo usisahau, lazima tutawanyang'anya biashara kadhaa.., watch, na usilie wao si Tz, we rule Eastern Africa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dah .!
 
Sasa ujinga yangu inakusaidia nini, wewe si uwekee uerevu wako tuone then
kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake,hivyo mjinga siku zote anaachwa na ujinga wake maana hata ukimpa werevu hawezi eremika,

kwa hiyo wewe ni mjinga tu na utabaki kuwa mjinga abadani
 
Bado wanaishindana na Tanzania kwenye tourism?

2022-1-20_19-19-50.PNG
 
suala kama hili, Tanzania tunakwama wapi kujenga viwanja vipya 3 ?
ujue sionagi ugumu Tanzania kuwa na viwanja vya kisasa vya mpira wa miguu angalau vinne kama cha Mkapa stadium

Yani cameroon imenishangaza kweli walivyopiga hatua kwenye iyo sekta vIwanja vyao vinapendeza, serikali inahitajika ijenge viwil tu vikubwa kimojaa dodoma na kingine mwanza au arrusha au zanzibar kwaajili ya kupromote utalii maeneo hayo alfu hivyo vingine vi karabatiwe tutakua tumepiga hatua kwel kwel
 
Ila hawa wakenya wanaakili za kipumbavu sana.. iko hiv, kusafirisha mizigo kutoka Ethiopia mpaka Djibouti zamani walitumia malory lakini ili kurahisisha zaidi jamaa wakatengeneza reli ili mizigo ya Ethiopia iingizwe Djibouti then isafirishwe kwa reli kuelekea Ethiopia.. πŸ‘‡. Ajabu eti wakenya wanataka wawe wanapokea na kuingiza mizigo ya Ethiopia kwa aslimia kubwa kuliko nchi yoyote EA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kupitia mradi wa Lamu port, bila miundombinu wezeshi yoyote.. πŸ˜‚πŸ˜‚ huu ni uchizi na kuna matahira tukiyaambia huu mradi ni white elephant yanabisha kwa kelele kama hizi πŸ‘‡

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dah .!

Yani ni ujinga waliofanya yani hawa jamaa kitu kitakacho wasevu labda wajenge SGR mpaka mpakani na ithiopia ila bandari tuu ya lamu ni kazi bure kwa sababu we fikiria gharama za kusafirisha kwa reli haiwezi kuwa sawa na kusafirisha kwa malori na kinginee wachina wanampango wakulink SGR ya ithiopia na bandari ya Djibouti kwaiyo yajayoo yanafurahishaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Jamaa ni kama wamekatwa vichwa
 
Back
Top Bottom