Muhimu ni kwamba, wakati Kenya mnatumia kigezo cha utumiaji wa mafuta mengi kuwa ni "positive" na inaonekana mnazidi kuongeza matumizi ya mafuta, sisi tunatazama "opposite" kabisa na ninyi, ndio sababu tuaongeza uzalishaji wa umeme na gesi, tunabadili matumizi ya mafuta katika maeneo mengi na tuna "replace"umeme na gas.
Mitambo mingi ya kuzalisha umeme ambayo awali ilikua ikitumia mafuta, Sasa inatumia gas, viwanda vingi ambavyo awali vilikua vinatumia mafuta, ikiwemo migodi ya madini, Sasa hivi vinatumia gas au umeme.