Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

FB_IMG_1525021728161.jpg
 
Huyu mzee nilichokuwa nampendea ni ujasiri wake. Hata mimi naomba Mungu anipe ujasiri kama huu. Yaani Wageni wanakuja Ikulu ya Tanzania kumtembelea mzee kisha mzee anawapa juice ile ya rangi ya kuchanganywa na maji na peremende. Hahaha
View attachment 2089712
Alikuwa anajiamini sana, ndivyo wasukuma walivyo ni watu wanaojiamini mnoo.
 
Yani ni ujinga waliofanya yani hawa jamaa kitu kitakacho wasevu labda wajenge SGR mpaka mpakani na ithiopia ila bandari tuu ya lamu ni kazi bure kwa sababu we fikiria gharama za kusafirisha kwa reli haiwezi kuwa sawa na kusafirisha kwa malori na kinginee wachina wanampango wakulink SGR ya ithiopia na bandari ya Djibouti kwaiyo yajayoo yanafurahisha😂😂
Mbona SGR ya Ethiopia ipo linked na Port Djibouti siku nyingi! Labda useme link ya SGR Ethiopia na Asmara Eritrea!
 
Huyu mzee nilichokuwa nampendea ni ujasiri wake. Hata mimi naomba Mungu anipe ujasiri kama huu. Yaani Wageni wanakuja Ikulu ya Tanzania kumtembelea mzee kisha mzee anawapa juice ile ya rangi ya kuchanganywa na maji na peremende. Hahaha
View attachment 2089712
ww umejuaje kama juice ya kuchanganywa na rangi?? ww ndio ulikua ikulu??🤣🤣🤣
 
Ila hawa wakenya wanaakili za kipumbavu sana.. iko hiv, kusafirisha mizigo kutoka Ethiopia mpaka Djibouti zamani walitumia malory lakini ili kurahisisha zaidi jamaa wakatengeneza reli ili mizigo ya Ethiopia iingizwe Djibouti then isafirishwe kwa reli kuelekea Ethiopia.. . Ajabu eti wakenya wanataka wawe wanapokea na kuingiza mizigo ya Ethiopia kwa aslimia kubwa kuliko nchi yoyote EA kupitia mradi wa Lamu port, bila miundombinu wezeshi yoyote.. huu ni uchizi na kuna matahira tukiyaambia huu mradi ni white elephant yanabisha kwa kelele kama hizi



Dah .!
Usitumie nguvu nyingi, wakenya wengi Wana uwezo mdogo Sana wa akili
 
pia, mfano. hiv kama tunasaini mikopo ya zaidi ya $1 b kujenga SGR (mpka sasa zishatumika zaid ya $3 b) .. tunashindwa kuomba mkopo hata wa $500-700 m tujenge viwanja vi3, indoor arena hata mbili (for michezo yote ya indoor) na hata angalau international swimming pool moja kubwa
Kaka haiiitaji hata mkopo revenue tu za ndani..

Good stadium 45k seater ..plus indoor complex 150mil usd to 200milusd hii ni international standard ..

tukipata 500mil usd zitazokusanywa in 3 years next afcon tuna bid kuhost ..
 
Back
Top Bottom