Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

QUOTE="Tony254, post: 40822628, member: 433037"]
Kwa nini hakuenda South Sudan au Somalia au hata Tanzania? Hadhi ya Kenya iko juu bro. Kubali ukatae Kenya iko ligi ya juu na hata Wazungu wanajua.
[/QUOTE inawezekana akawaletea msaaada wa chakula.
 
Hebu mwenyewe tu jiulize ikiwa NAIROBI Iko na slums zaidi ya kumi na watu wake wanaishi maisha haya 👇View attachment 2014158View attachment 2014159na ukumbuke hapa ni mjini kuna mishe kibao za kuingiza kipato, vipi maskini wa vijijini huko watakua na hali gani since Ardhi yenu haina rutuba, hakuna mishe mingi za kukupatia kipato .?
Kijana wa Tandale, you can yap all you want but that won't change the fact that there are more people living in extreme poverty in Tanzania than in Kenya. Nishakuambia kwamba kama hiyo ripoti ya WB inakuuma sana ama hukubaliani nayo, andikia WB barua ya malalamishi, pengine watatoa Tanzania kwenye hiyo list ya ufukara na waweke Kenya instead
 
Ni kweli mkuu, hata Bongo hapa tunategemea vitu vingi tu kutoka nje. Tena Kwa hii miradi mikubwa inayoendelea ndio kabisa maelfu ya Tani yanaingia daily. Na bado mizigo mingi sana inayokwenda nchi za jirani. Sasa Kwa vyote hivyo bado bandari ya mombasa iipite ya Dar kwa mizigo?

Huoni hawa jamaa wanaka udwanzi flani kucheza na akili za watu.. Hiyo hata mtoto mdogo hawezi kukubali.
Hebu tupatie ripoti ya TPA ya mwaka huu kuhusu bandari ya Dar tulinganishe na ya Mombasa. Hapo ndio tutajua mbivu na mbichi. Hapa tunatumia data, sio maneno na fikra za mtu binafsi
 
hapo mkuu umembana korodani huyo nyang'au ila inawwzekana wakawa wanategemea vitu vingi kutoka nje kwasababu uzalishaji wao wa ndani ni hafifu
Kenya imports mostly industrial machinery and transportation equipment, petroleum products, motor vehicles, iron and steel, resins and plastics. These are Kenya's leading import items.

Hebu niambie, kwa hizo vitu zote tunazoigiza kwa wingi, ni gani Tanzania inajitengenezea mwenyewe au inatengeneza kwa wingi kuliko Kenya? Debating with you guys is a total waste of time!
 
Kijana wa Tandale, you can yap all you want but that won't change the fact that there are more people living in extreme poverty in Tanzania than in Kenya. Nishakuambia kwamba kama hiyo ripoti ya WB inakuuma sana ama hukubaliani nayo, andikia WB barua ya malalamishi, pengine watatoa Tanzania kwenye hiyo list ya ufukara na waweke Kenya instead
Nicxie msela, tumia akili kidogo tu, mzungu asikuwekee mipaka ya kufikiri wew mwehu, extreme poverty iko hapo NAIROBI kwenye slums, watu maskini zaidi ni hao slum dwellers watu wenye wanaishi kwenye nyumba za mabati, baridi, yani sio mvua sio jua vyote haviwaachi salama, hao ndio ni watu maskini zaidi ukilinganisha na maskini waliopo DSM .. unataka kubishana na ukweli unaonekana kwa macho tu, hauhitaji hata elimu ya Darasa la nne, ni kwa kuona tu .. Tz huku mtu anaeitwa maskini kijijini huko kwa mfano ni mkulima au mfugaji, kwenu kenya maeneo mengi hayana hata rutuba kwahiyo maskini wa huko ni hamjiwezi kabisa.. tz huku maskini hawafi njaa babu .. sasa wapi kuko na extreme poverty.?
 
2cd525647c8b4cb6b6ccece97564b95f.jpg
 
Uduwanzi wanao tena si kidogo!!!walijifungia wakati wa COVID ila utaskia Jomo Kenyatta ilihudumia abiria wengi kuliko Julius Nyerere miaka miwili iliyopita!!!! Waacheni waendelee kujitekenya na kucheka wenyewe!!!
Facts scream loud bongolala. There ain't nothing you gon do about it. JKIA has always been ahead of JNIA even during pre-covid times and it will always be so don't go looking for excuses.
 
Kwa nini hakuenda South Sudan au Somalia au hata Tanzania? Hadhi ya Kenya iko juu bro. Kubali ukatae Kenya iko ligi ya juu na hata Wazungu wanajua.
Kwa sababu you are the closest neighbor wa Ethiopia ambaye hana mapigano kwa sasa.

Hawezi kufanya mkutano Tanzania (sisi siyo jirani wa Ethiopia), hawezi kufanya Sudan, Somalia au Eritrea ishu za kiusalama.

It's not about you ndugu yangu, it's about jirani yenu Ethiopia. Dah..

Yaani mtu kaja kuzungumzia mapigano ya jirani yenu wewe kichwa kina kina kujaa. Huu utumwa huu.
 
Nicxie msela, tumia akili kidogo tu, mzungu asikuwekee mipaka ya kufikiri wew mwehu, extreme poverty iko hapo NAIROBI kwenye slums, watu maskini zaidi ni hao slum dwellers watu wenye wanaishi kwenye nyumba za mabati, baridi, yani sio mvua sio jua vyote haviwaachi salama, hao ndio ni watu maskini zaidi ukilinganisha na maskini waliopo DSM .. unataka kubishana na ukweli unaonekana kwa macho tu, hauhitaji hata elimu ya Darasa la nne, ni kwa kuona tu .. Tz huku mtu anaeitwa maskini kijijini huko kwa mfano ni mkulima au mfugaji, kwenu kenya maeneo mengi hayana hata rutuba kwahiyo maskini wa huko ni hamjiwezi kabisa.. tz huku maskini hawafi njaa babu .. sasa wapi kuko na extreme poverty.?
Aren't you the same guys wenye husema hapa kila siku kwamba mzungu si mjinga aone slum Nairobi na asione Dar? Now that the same mzungu anasema karibia nusu ya watanzania wanaishi in EXTREME poverty, maneno yake sasa yamekuwa ya uongo all of a sudden, na hayafai kuaminiwa! Why is it that something can only be true if it subscribes to your line of thought? That anything that goes against it isn't true? Why do you people feel that you have a monopoly on the truth?

Narudia tena, peleka malalamishi yako WB kuhusu hiyo ripoti. Hizi povu unatoa hapa JF won't change anything about the level of extreme poverty in Tanzania as outlined by the World Bank!
 
Hebu mwenyewe tu jiulize ikiwa NAIROBI Iko na slums zaidi ya kumi na watu wake wanaishi maisha haya View attachment 2014158View attachment 2014159na ukumbuke hapa ni mjini kuna mishe kibao za kuingiza kipato, vipi maskini wa vijijini huko watakua na hali gani since Ardhi yenu haina rutuba, hakuna mishe mingi za kukupatia kipato .?
Kenya mashinani ndio hamugusi mzee, kule usijaribu kabisa
 
Leta picha ya daraja refu kama hilo kutoka kunya land, for your information, Tanzanite bridge ndio daraja refu zaidi Africa mashariki kwasasa na record yake itavunjwa na KIgongo busisi (Magufuli bridge) Mwanza after it's accomplished
Bwahaha!!kitu km ni dwarf tu, km umeumwa peleka malalamishi kwenye mamlaka husika
 
Back
Top Bottom