Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You are just like your fellow Tanzanians in here. Hamna tofauti kabisa. Haya madai yote umetoa wapi? Akilini kama wenzako wanavyofanya ama?
Your point is not valid..over last 4 years we were on surplus..and 1st half of this year
Screenshot_20211117-190436_Chrome.jpg
 
Your point is not valid..over last 4 years we were on surplus..and 1st half of this yearView attachment 2014288
This is the post I quoted kijana
Kwa Tanzania major export katika SADC market ni steel, plastics hivyo tuna produce in excess hadi kuuza nje. Hadi kenya huko mnapata plastics materials from Tanzania. Hasa mabomba.
Can you prove these claims above?
 
Wanasiasa bana, pale alialikwa kuhudhuria uzinduzi wa familia mpya au kuongelea siasa? Mimi nilitegemea baada ya kupewa nafasi ya kuongea, angetumia nafasi ile kuwashauri hawa wanandoa wapya, kwamba wafuate maadili mema kama walivyofundishwa na kiongozi wao wa dini kwa kutumia vitabu vitakatifu. Wapendane kama wanavyopendana sasa, wawe waaminifu kwa Mungu wao na pia kwa mmoja na mwenzake. Wavumiliane kama wenyewe wanavyovumiliana katika ndoa yao kongwe.

Magu mwenyewe alipoenda kwny msiba Masaburi alipopewa nafasi ya kuongea akaanza kusema ooh mimi nawajua wake za Masaburi wote na watoto wake wengi tu siwaoni hapa msibani.
 
i can say waTz strongly believe in one compact high density concrete structure city model like joburg for instance
images (38).jpeg
images (39).jpeg
 
whereas us, we believe in cascaded city model just like london,.. afterall we were strongly colonised by these britons, hence we were influenced by their city planning model

london👇🏽
images (40).jpeg

(here i could say, i would see cbd, westlands, upperhill😆)
 
Tunawazidi kiuchumi, tunawazidi kimaendeleo, tunawazidi kwenye anga za international influence and diplomatic relations, tunawazidi kwenye michezo, tunawazidi kwenye swala la middle-class population, tunawazidi kielimu, tunawazidi kwa human development index, tunawazidi kwa kuwa na idadi ndogo ya masikini, et al tunawazidi...tunawazidi...tunawazidi... Na tutaendelea kuwazidi!
middle class ya ndotoni labda kuhusu michezo hakuna mnachotuzidi landa mbio na kwenye diplomatic ndiyo kabisa usiguse ,hakuna mnachotuweza
 
Back
Top Bottom