Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aisee hii picha ni noma wakuu, salute NDINDA wao vi CBD vyao vimekaa kiafrika Africa cc tunaanza kufanana na Dubai View attachment 2013183
Unamaanisha nini mkuu kusema kiafrica Africa? Unajua vijijini ni wasafi kuliko Mjini.vijijini tunaamka asubuhi tunafagia uwanja na kumwagia maji uwanja kuzuia vumbi na Kuna vijiji vinatunza mazingira.Mijini watu wanajikifunza kua rafu.
 
Mjadala wa Madaraja ufungwe... Tanzania haina mpinzani kwa hili
TZ.jpeg
 
Ndio swali nimekuuliza, huo mziko wa around 30m MT huwa unakwenda wapi? Kumbe population yenu ni ndogo. Pia mko na population masikini sana huko mashinani na mjini pia slums dwellers wakutosha ambao purchasing power hawana na pia sijui wata consume what type of imported merchandise in that bigger volume.

Kwenye viwanda ndio hamna kitu.. Nadhani hata Bongo ina export mizigo mingi na mikubwa kuliko Kenya. Kama Mngekuwa more industrialized kuliko wengine tungeona influx of your products kila mahali. Lakini tuna one nyie ndio mmezidiwa hadi mnazuia bidhaa za majirani kuingia kwenu ili kulinda soko la bidhaa zenu mnazotumia gharama kubwa zaidi za kiuzalishaji.
Here we go again! Another bongolala with empty rhetoric as usual. What happened to using data and sources to prove our points in this forum? So nowadays anyone can say anything and it becomes gospel truth, even if there are many grey areas in it?!

Unauliza mahali 30m tonnes huenda? I already told you it remains in Kenya so sijui unataka nikuambie nini zaidi ya hiyo.

Talking about population maskini, have you forgotten that Tanzania sits in position three in the list of countries with more people living in extreme poverty in Africa?

Kama wakenya hawana purchasing power as you claim, iweje kwamba close to 80% of all cargo passing through our main port hubakia Kenya? Ama mtu alikudanganya kwamba wale ombaomba wenu waliovamia mitaa zetu kama nzige na bakuli mikononi ndio hununua hizo bidhaa?

Kwenye viwanda hatuna kitu? The leading import item ya Kenya ni industrial machinery
Where do you think these industrial machinery go to? Our industries of course! Last time I checked, your country's leading import item was refined petroleum followed by palm oil 🤔 😳 🤔 😳 . (The funny thing is that you actually believe Tanzania is doing better than Kenya industrially even after reading this).

Huoni influx za bidhaa zetu bongo? Well, do you know that Kenya is one of Tanzania's leading import partners?
Screenshot_20211117-164844~2.png

This should tell you that our manufacturing sector is robust, ndio maana tukawa one of your country's leading import partners.

Fanya homework yako vizuri before engaging me next time
 
Kenya imports mostly industrial machinery and transportation equipment, petroleum products, motor vehicles, iron and steel, resins and plastics. These are Kenya's leading import items.

Hebu niambie, kwa hizo vitu zote tunazoigiza kwa wingi, ni gani Tanzania inajitengenezea mwenyewe au inatengeneza kwa wingi kuliko Kenya? Debating with you guys is a total waste of time!
tafuta utapata

jipe quiz
 
Kwa sababu you are the closest neighbor wa Ethiopia ambaye hana mapigano kwa sasa.

Hawezi kufanya mkutano Tanzania (sisi siyo jirani wa Ethiopia), hawezi kufanya Sudan, Somalia au Eritrea ishu za kiusalama.

It's not about you ndugu yangu, it's about jirani yenu Ethiopia. Dah..

Yaani mtu kaja kuzungumzia mapigano ya jirani yenu wewe kichwa kina kina kujaa. Huu utumwa huu.
Hahaha
 
hakuna kitu mnatuzidi mzee ,

amini nachokuambia
Tunawazidi kiuchumi, tunawazidi kimaendeleo, tunawazidi kwenye anga za international influence and diplomatic relations, tunawazidi kwenye michezo, tunawazidi kwenye swala la middle-class population, tunawazidi kielimu, tunawazidi kwa human development index, tunawazidi kwa kuwa na idadi ndogo ya masikini, et al tunawazidi...tunawazidi...tunawazidi... Na tutaendelea kuwazidi!
 
Here we go again! Another bongolala with empty rhetoric as usual. What happened to using data and sources to prove our points in this forum? So nowadays anyone can say anything and it becomes gospel truth, even if there are many grey areas in it?!

Unauliza mahali 30m tonnes huenda? I already told you it remains in Kenya so sijui unataka nikuambie nini zaidi ya hiyo.

Talking about population maskini, have you forgotten that Tanzania sits in position three in the list of countries with more people living in extreme poverty in Africa?

Kama wakenya hawana purchasing power as you claim, iweje kwamba close to 80% of all cargo passing through our main port hubakia Kenya? Ama mtu alikudanganya kwamba wale ombaomba wenu waliovamia mitaa zetu kama nzige na bakuli mikononi ndio hununua hizo bidhaa?

Kwenye viwanda hatuna kitu? The leading import item ya Kenya ni industrial machinery
Where do you think these industrial machinery go to? Our industries of course! Last time I checked, your country's leading import item was refined petroleum followed by palm oil 😳 😳 . (The funny thing is that you actually believe Tanzania is doing better than Kenya industrially even after reading this).

Huoni influx za bidhaa zetu bongo? Well, do you know that Kenya is one of Tanzania's leading import partners?
View attachment 2014223

This should tell you that our manufacturing sector is robust, ndio maana tukawa one of your country's leading import partners.

Fanya homework yako vizuri before engaging me next time
Currently mna import zaidi kutoka kwetu
.
Screenshot_20211117-182439_Twitter.jpg
 
Hebu tupatie ripoti ya TPA ya mwaka huu kuhusu bandari ya Dar tulinganishe na ya Mombasa. Hapo ndio tutajua mbivu na mbichi. Hapa tunatumia data, sio maneno na fikra za mtu binafsi
Si ndio tunaongelea data za mombasa Sasa? Ama namna gani? Wewe leta breakdown ya hiyo mizigo yenu tujue your major imports for local consumption.
 
Kenya imports mostly industrial machinery and transportation equipment, petroleum products, motor vehicles, iron and steel, resins and plastics. These are Kenya's leading import items.

Hebu niambie, kwa hizo vitu zote tunazoigiza kwa wingi, ni gani Tanzania inajitengenezea mwenyewe au inatengeneza kwa wingi kuliko Kenya? Debating with you guys is a total waste of time!
Kwa Tanzania major export katika SADC market ni steel, plastics hivyo tuna produce in excess hadi kuuza nje. Hadi kenya huko mnapata plastics materials from Tanzania. Hasa mabomba.
 
Kwa Tanzania major export katika SADC market ni steel, plastics hivyo tuna produce in excess hadi kuuza nje. Hadi kenya huko mnapata plastics materials from Tanzania. Hasa mabomba.
You are just like your fellow Tanzanians in here. Hamna tofauti kabisa. Haya madai yote umetoa wapi? Akilini kama wenzako wanavyofanya ama?
 
Si ndio tunaongelea data za mombasa Sasa? Ama namna gani? Wewe leta breakdown ya hiyo mizigo yenu tujue your major imports for local consumption.
Umesahau ulisema kwamba bandari ya Mombasa haiwezizidi ya Dar kwa cargo volume? Sasa nikikuambia ulete data ya Dar port tulinganishe na ya Mombasa mbona unaanza povu? Wewe ni jinga type tu!
 
Back
Top Bottom