komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Sasa unapinga nini na wakati hilo daraja mumepigwa..we unayajua madraja kweli au ndio na we unaropoka tuUnachekesha kweli dwarf? Hiyo pic imepigwa mbali sana pics zinakuwa zimefinywa kdg
Sasa unapinga nini na wakati hilo daraja mumepigwa..we unayajua madraja kweli au ndio na we unaropoka tuUnachekesha kweli dwarf? Hiyo pic imepigwa mbali sana pics zinakuwa zimefinywa kdg
Back up your claimhuo ndiyo ukweli 89%
Sisi tumepokea wageni wengi sana kiserikali including mtoto wenu Obama!!!Na kuna mgeni mkubwa mwingine kutoka US anakuja for your information!!!Pia ni ujinga kuringia vitu hivi!!!.Let us build our economy kwa kutegemeana ndani ya East na Central Africa!!!Na mkubali kutuachia kiti cha kuendesha safari hii!!!Hata nyie mtanufaika pia kwa kiasi kikubwa amiin!!!Tumewashinda kwenye maswala ya uchumi. Inabidi sie tuwe baba yenu. Tunapokea wageni kwa niaba yenu na Uganda. Kwenye nyumba baba ndiye huwa anapokea wageni sio watoto.
Sisi tunaweza kuisemea East Africa na sio East Africa tu sisi tuna uwezo wa kuisemea Africa!!!Na hatujaanza leo!!!You coward!!!Sisi tumepokea wageni wengi sana kiserikali including mtoto wenu Obama!!!Na kuna mgeni mkubwa mwingine kutoka US anakuja for your information!!!Pia ni ujinga kuringia vitu hivi!!!.Let us build our economy kwa kutegemeana ndani ya East na Central Africa!!!Na mkubali kutuachia kiti cha kuendesha safari hii!!!Hata nyie mtanufaika pia kwa kiasi kikubwa amiin!!!
😂😂 Leta picha ya daraja refu kama hilo kutoka kunya land, for your information, Tanzanite bridge ndio daraja refu zaidi Africa mashariki kwasasa na record yake itavunjwa na KIgongo busisi (Magufuli bridge) Mwanza after it's accomplishedSasa unapinga nini na wakati hilo daraja mumepigwa..we unayajua madraja kweli au ndio na we unaropoka tu
Mtaisemea EA kwa lugha gani na hamjui Kiingereza? Au unadhani wazungu wanakifahamu kiswahili?Sisi tunaweza kuisemea East Africa na sio East Africa tu sisi tuna uwezo wa kuisemea Africa!!!Na hatujaanza leo!!!You coward!!!
Bila shaka hapo juu hapako vizuri unafikiri hili ni daraja kama la dongo kunduSasa unapinga nini na wakati hilo daraja mumepigwa..we unayajua madraja kweli au ndio na we unaropoka tu
Uweshawahi kuudhuria mikutano ya kimataifa especially Africa kaka!!!Kuna wakalimani this side and that side!!!unavaa vitu maskioni chagua lugha unayotaka you will be there!!!hii si tatizo kabisa trust me been there!!!!Na si mara moja!!!!.Kuna wakongo pia french muda wote!!!!Mtaisemea EA kwa lugha gani na hamjui Kiingereza? Au unadhani wazungu wanakifahamu kiswahili?
kwani tunaposhiriki mikutano ya kimataifa huwa tunaongeaga kichina?Mtaisemea EA kwa lugha gani na hamjui Kiingereza? Au unadhani wazungu wanakifahamu kiswahili?



Huenda watu wetu wanaishi kwenye nyumba za mabati, lakini hali yetu ya umasikini haijafika hapa mlipo. Tatu bora Africa hatupoNataka unijibu, watu wenu wanaishi kwenye nyumba za mabati, kweli au sio kweli.?
Unajiskia lakini ulivyo mwehu.? 😂😂😂 Watu wanaishi kwenye nyumba za mabati alafu eti wako na nafuu kuliko watu wenye wanaishi kwenye nyumba zao za blocks , you must be fucking crazyHuenda watu wetu wanaishi kwenye nyumba za mabati, lakini hali yetu ya umasikini haijafika hapa mlipo. Tatu bora Africa hatupoView attachment 2014123
Peleka malalamishi yako kuhusu hiyo ripoti WB kijana wa TandaleUnajiskia lakini ulivyo mwehu.? 😂😂😂 Watu wanaishi kwenye nyumba za mabati alafu eti wako na nafuu kuliko watu wenye wanaishi kwenye nyumba zao za blocks , you must be fucking crazy
Hunikimbii leo, mnaishi kwenye nyumba za mabati, ni uongo au kweli.?Peleka malalamishi yako kuhusu hiyo ripoti WB kijana wa Tandale
😂😂😂 Maskini wenu wanaishi humu 👇Peleka malalamishi yako kuhusu hiyo ripoti WB kijana wa Tandale
Hebu mwenyewe tu jiulize ikiwa NAIROBI Iko na slums zaidi ya kumi na watu wake wanaishi maisha haya 👇Peleka malalamishi yako kuhusu hiyo ripoti WB kijana wa Tandale