joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Ninaomba ushahidi kuonyesha kwamba wamarekani 80M wamegomea chanjo.Kuna badhi ya nchi zinatoa religious or medical exemptions, hivyo msafiri anachotakiwa kufanya ni kuonesha negative covid test (24hrs before boarding).
Marekani, watu wengi tuu wamegoma (karibu 80mil) na ndiyo sababu ya kuanzisha ushurutishwaji.
Tanzania watu wameishi na Corona kwa zaidi ya mwaka bila kuwa na outbreak kama za nchi nyingine, kuna sababu gani ya kulazimisha wakati uhalisia ulishaonekana kuwa si tishio?
Swali la kizushi.
Unafikiri ni nini kilichoifanya Uingereza ghafla kuiweka Tz kwenye "safe" list ya nchi zinazoruhusiwa raia wake kwenda Uingereza, wakati 99% ya Watanzania hawajachanja. Tena baada ya Tony Blair kuwa "mshauri" wa masuala ya Uviko?
Tanzania zaidi ya watu 700 wamekufa wakiwemo wataalamu na wasomi tuliowasomesha kwa pesa za serikali, uchumi na biashara nyingi zimeparaganyika na watu kupoteza ajira, vipi bado unasema Corona sio tatizo kubwa?, au hadi ndugu yako wa damu atakapofariki ndio utajua kwamba hili tatizo ni real?,
Uingereza imetuweka kwenye list ya nchi zinazoruhusiwa raia wake kuingia Uingereza baada ya Tanzania kukubali kutumia chanjo, kumbuka kwamba hakuna mtanzania atakayeruhusiwa kuingia Uingereza bila kuonyesha certificate ya chanjo