Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukileta upumbavu unataka nani akuchekee? Atakuchekea Mkeo fala wewe na kwa taarifa yako Unajisumbua ,punde ukileta upumbavu wako nitakukoti kuweka sawa na huna cha kunifanya..

Na deal na contents zako si deal na sura yako kima jike wewe.
Content wapi ,,,,,,kwani umemaliza ku deal na mkunyenge
 

Nchi maskini ndio zinaongoza kwa kusupport mabwabwa
Kama huna Ufahamu wa kutosha kuhusu topic yoyote ni Heri ukae kimya! Umesoma na kuelewa article kweli? Spain ni nchi Masikini? Nchi nyingi zilizoorodheshwa hapo ambazo zinapinga LGBTQ rights ni third-world African countries. Sio vinginevyo. Na sababu kuu ya pingamizi la haki za LGBTQ people kwenye nchi nyingi za Kiafrika ni historia ya kutawaliwa na Sheria za kikoloni, uhaba wa demokrasia na nguvu ya dini. Mfano ni sheria ya Uingereza wakati wa ukoloni, ambayo ili criminalize same sex relations Tanganyika na makoloni mengine, even though kuna sehemu nyingi tu Africa ushoga ulikuwa jambo la kawaida.
 
Duh, Wakulungwa , Barabara ya Obama kutokea Ikulu pale upande wa Baharini hadi Aga Khan ishakua Marked, No noma nadhani ni Barabara nzuri zaidi Bongo. Ntarudi kupiga picha.

Leo nilikua na mtu mzito sijapata nguvu ya kutoa simu na kupiga picha

Wameiwasha na taa, aisee panapendeza, I can’t wait unaunganisha na daraja mpaka coco….what an ocean drive.
 
Kenyatta /Toure wameweka Traffic lights pale vibuyu vilizidi.

IMG_1313.jpg

IMG_1314.jpg

IMG_1315.jpg

IMG_1316.jpg

IMG_1317.jpg
 
Labda unipe jina manake hata hio middle weight iko na levels nyingi za championship.... Alafu bingwa wa Africa si kitu, kuna michezo mingi sana ya Africa tunashikilia ubingwa, lakini tunapotoka kule nje tunaonyeshwa kivumbi.. Ukiwa top 5 bingwa wa dunia hapo ndo ntampa huyo mwanandondi wenu heshima
hassan mwakinyo
 
Back
Top Bottom