The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,537
Wakenya hivi mnajisikiaje mnapoona Tz inazidi ku shine wakati nyie mnaporoka 

















Banana reli imesha tandikwa kote naona wameamua kufungua kuanzia mjini hadi moro siyo pugu tu moro
Kama huna Ufahamu wa kutosha kuhusu topic yoyote ni Heri ukae kimya! Umesoma na kuelewa article kweli? Spain ni nchi Masikini? Nchi nyingi zilizoorodheshwa hapo ambazo zinapinga LGBTQ rights ni third-world African countries. Sio vinginevyo. Na sababu kuu ya pingamizi la haki za LGBTQ people kwenye nchi nyingi za Kiafrika ni historia ya kutawaliwa na Sheria za kikoloni, uhaba wa demokrasia na nguvu ya dini. Mfano ni sheria ya Uingereza wakati wa ukoloni, ambayo ili criminalize same sex relations Tanganyika na makoloni mengine, even though kuna sehemu nyingi tu Africa ushoga ulikuwa jambo la kawaida.![]()
The 20 most and least gay-friendly countries in the world - The World from PRX
It just got a little bit better to be gay in the US. But what about the rest of the world? A recent study shows which countries have gay pride and which close their doors to the LGBT communitywww.pri.org
Nchi maskini ndio zinaongoza kwa kusupport mabwabwa
Duh, Wakulungwa , Barabara ya Obama kutokea Ikulu pale upande wa Baharini hadi Aga Khan ishakua Marked, No noma nadhani ni Barabara nzuri zaidi Bongo. Ntarudi kupiga picha.
Leo nilikua na mtu mzito sijapata nguvu ya kutoa simu na kupiga picha![]()
Hivi na hzi ndege Tano zinanunuliwa cash au?
Kachambe kwanza umetoka kuliwa mtaro wako wa huko nyuma unananuka pumbavu.Content wapi ,,,,,,kwani umemaliza ku deal na mkunyenge![]()
@Moderator huyu jamaa anatuletea siasa tutoleeMm siwezi mpenda yule utopian man na mkomunisti wa zama za information era,anakinzana na wakati tunaumia nyasi.
achaneni nayeSputnik II. dealView attachment 1949713
hassan mwakinyoLabda unipe jina manake hata hio middle weight iko na levels nyingi za championship.... Alafu bingwa wa Africa si kitu, kuna michezo mingi sana ya Africa tunashikilia ubingwa, lakini tunapotoka kule nje tunaonyeshwa kivumbi.. Ukiwa top 5 bingwa wa dunia hapo ndo ntampa huyo mwanandondi wenu heshima
Wanaona wakipotezeana ni kama wanapungukiwa kitu yaaniwakuu ni vyema mkapotezea watu wanaoleta siasa nakuacha kuwaquote maana kuna washaona huu uzi ni wakupotezea atress nakuleta ukatuni,,
kama hamuwezi ni bora huu uzi ufungwe tu



kabisaWanaona wakipotezeana ni kama wanapungukiwa kitu yaani![]()
wakuu ni vyema mkapotezea watu wanaoleta siasa nakuacha kuwaquote maana kuna washaona huu uzi ni wakupotezea atress nakuleta ukatuni,,
kama hamuwezi ni bora huu uzi ufungwe tu
Sura ya bia kabisa 😁😁😁😁Presidential View attachment 1949987